Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
Belo,Hizi hoja ulizozitoa tayari zimeleta mabishano yasiyo na maana na umekubali kukabiliana nayo kama huna factor ya kuverify hayo madai yako hayana msingi na watu wataendelea kukupinga mpaka utapoleta huo ushahidi .Najua hii hoja unaikwepa makusudi kwa sababu ndio itakayopangua hiyo hoja yako kuu
Unamanisha Waislamu walinyimwa elimu kuanzia enzi ya Wakoloni na sio enzi za Nyerere?
Hoja zako nyingi unazozitoa ni za miaka ya 60s ,karibia miaka 60 iliyopita baaada ya Nyerere,wamepita Mwinyi,Mkapa,Kikwete,Magufuli na sasa tuko na Samia wewe bado unamlalamikia Nyerere hebu tuambia hao wengine walivyowahujumu waislamu kwenye elimu
Swali: hao Walowezi "Sykes" kwanini hawakutumia jina lao la ukoo la Kizulu walilotoka nalo huko Uzuluni? Jee, walifanya uamuzi huu kimkakati sababu walijua siyo Wazawa wa Tanganyika?Schmidt,
Neno nilokusudia ni "vizingiti" suggest imeweka "vicinity."
Nimesahihisha.
Kiingereza Cambridge 1970 Oral English Merit Pass.
Unazitoa Id zako nyengine kwenye box Mr Azariel?“Vicinity vingi kutoka serikali” ndiyo nini? Hicho kitabu uliandikiwa na ghost writer(s) kina Mlamali et al. maana inaonekana Kiingereza chako ni duni. Kwa Kiingereza chako, vicinity ni sawa na vizingiti?
Kaa pembeni, wanaume tunajadiliana na bwana wako siyo wewe kijbwa.Wafia dini ni wakatoliki Na akina gwajima Kama Vile huelewi
Wewe mbona hujatumia Id yako ya AzarielSwali: hao Walowezi "Sykes" kwanini hawakutumia jina lao la ukoo la Kizulu walilotoka nalo huko Uzuluni? Jee, walifanya uamuzi huu kimkakati sababu walijua siyo Wazawa wa Tanganyika?
Belo,
Baada ya kuhujumiwa EAMWS mradi wa ujenzi wa Chuo Kikuu na ujenzi wa shule ukafa.
Hapa sasa kuna historia ya yale yaloyokuwa yakifanyika ndani ya Wizara ya Elimu.
Wizara hii ilikuwa mfano wa kigango na kulikuwa na mpango maalum wa kupitisha wanafunzi kuingia sekondari na vyuo vya elimu ya juu.
Waislam walikuwa hawazidi 10% na miaka yote ya utawala wa Nyerere Waziri wa Elimu ilikuwa lazima awe Mkristo.
Waziri 8 waliopita katika Wizara hii wote walikuwa Wakristo.
Prof. Malima aliwateua Waislam 4 kushika nafasi katika kurugenzi mbalimbali na karo ta
Prof. Malima ndiye akajakuwa Waziri wa kwanza wa Elimu Muislam na aliyoyakuta hapo wizarani yalimshtua na akaandika barua kumweleza Rais Ali Hassan Mwinyi.
Hii barua iliibiwa na kuvujishwa kwingi.
Balaa lake lilikuwa kubwa sana.
Kaa pembeni, wanaume tunajadiliana na bwana wako siyo wewe kijbwa.
Weledi huo hana. Waliomsaidia kutayarisha maandishi yake wengi ni marehemu kwa sasa, na isitoshe anahitaji kuuza kitabu cha Sykes walichomuandikia ili maisha yaende.Hizi hoja ulizozitoa tayari zimeleta mabishano yasiyo na maana na umekubali kukabiliana nayo kama huna factor ya kuverify hayo madai yako hayana msingi na watu wataendelea kukupinga mpaka utapoleta huo ushahidi .Najua hii hoja unaikwepa makusudi kwa sababu ndio itakayopangua hiyo hoja yako kuu
Unamanisha Waislamu walinyimwa elimu kuanzia enzi ya Wakoloni na sio enzi za Nyerere?
Hoja zako nyingi unazozitoa ni za miaka ya 60s ,karibia miaka 60 iliyopita baaada ya Nyerere,wamepita Mwinyi,Mkapa,Kikwete,Magufuli na sasa tuko na Samia wewe bado unamlalamikia Nyerere hebu tuambia hao wengine walivyowahujumu waislamu kwenye elimu
Aijibu mara ngapi au unakuwa husomi nenda nyuma kidogo utaionaMzee hii hoja unaikwepa sana ya ratio ya Wakristu vs Waislamu ukiijibu hii mjadala umeisha ,nahitaji ushahidi kama huo wa Nyerere kwenye awamu za maraisi wengine 5.Enzi za Nyerere inajulikana wasomi walikuwa wachache sana na majority walikuwa ni Wakristu sababu inajulikana ndio maana enzi za ukoloni wapo baadhi ya waislamu walibadilisha majina ili wasome kwenye shule za wakristu
Weledi huo hana. Waliomsaidia kutayarisha maandishi yake wengi ni marehemu kwa sasa, na isitoshe anahitaji kuuza kitabu cha Sykes walichomuandikia ili maisha yaende.
Maalim MS anajua kutafuta asilimia za Waislamu dhidi ya Wakristo tu kwenye taasisi za Serikali kupitia majina ya wateuliwa.Azariel mbona unapenda kupakazia watu au ndiyo mafundisho uliyopata kwa Pengo ?
Weledi huo hana. Waliomsaidia kutayarisha maandishi yake wengi ni marehemu kwa sasa, na isitoshe anahitaji kuuza kitabu cha Sykes walichomuandikia ili maisha yaende.
Maalim MS anajua kutafuta asilimia za Waislamu dhidi ya Wakristo tu kwenye taasisi za Serikali kupitia majina ya wateuliwa.
Sykes wamekula na wanaendelea kula mema ya nchi hii...nachowakybaligi jamaa ni watu wanaokwenda na wakati,usasaWeledi huo hana. Waliomsaidia kutayarisha maandishi yake wengi ni marehemu kwa sasa, na isitoshe anahitaji kuuza kitabu cha Sykes walichomuandikia ili maisha yaende.
Sykes wamekula na wanaendelea kula mema ya nchi hii...nachowakybaligi jamaa ni watu wanaokwenda na wakati,usasa
Hata mvinyo wanapiga
Ova
Hawa ni elites nchi hii in every meaningful sense tokea zamani sana.Sykes wamekula na wanaendelea kula mema ya nchi hii...nachowakybaligi jamaa ni watu wanaokwenda na wakati,usasa
Hata mvinyo wanapiga
Ova
Gongo mbona whisky tuWewe umeacha gongo siku hizi?
Walikuwa na travel agency ya mwanzo mwanzoHawa ni elites nchi hii in every meaningful sense tokea zamani sana.
Urais tu wa tanganyikaHawa ni elites nchi hii in every meaningful sense tokea zamani sana.
1965,69 hko mtu alifungua traveling agency sykes,unajua jamaa walikuwa mbele sanaHawa ni elites nchi hii in every meaningful sense tokea zamani sana.