MOI: Mwanaume aliyegongwa na Basi la Mwendokasi yuko ICU

Kwa Picha niliyoiona akipona ( akiwa Hai ) naenda Kujisaidia kwa Makusudi Haja Kubwa ( Kupupu ) Getini MP 1 Lugalo Makongo au Geti Kuu Magogoni Dar es Salaam au Chamwino Dodoma.
 

Kwani wakisema amefariki nini kitatokea. Kuna mantiki gani kuficha. Mbona ni raia wa kawaida tu.

👇 👇 👇

Wanabuy time tu ,hawezi kupona kwa ile impact.....wanatuliza tu kusiwe na kelele za raia mitandaoni ,wananchi wakishatulia ndiyo watatoa taarifa au umesahau kifo cha mchezaji aliyetokea Ghana Atsu?
 
Kwa Picha niliyoiona akipona ( akiwa Hai ) naenda Kujisaidia kwa Makusudi Haja Kubwa ( Kupupu ) Getini MP 1 Lugalo Makongo au Geti Kuu Magogoni Dar es Salaam au Chamwino Dodoma.

Yaani watu wanapenda kudanganywa waziwazi ,ile impact hawezi kuwa mzima hata kidogo,watu wanapokea kila wanachoambiwa bila hata kufikiria na ndiyo maana tunaendelea kudanganywa.
 
Tusidanganyane hapa kutokana na Mkoa wa Dar es Salaam kuwa Kimbilio la kila Mtanzania hakuna Mtu aliyeko Kijijini (Mkoani) au aliyeko hapa Mkoani Dar es Salaam halafu hana hata Ndugu yoyote yule.

Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa hamtaki Ndugu wajitokeze kwa sasa kwakuwa wataharibu Taarifa yenu ya Awali kuwa bado tunae Ulimwenguni na tutashuhudia nae pamoja Mechi za Simba na Yanga Weekend hii wakati zinazoendelea zinasema Israeli alishafanya yake Siku ile ile.

Halafu kwanini hamtaki Kumtaja Jina lake kila mnapozungumza na Media na badala yake mnaishia tu kusema (kumtaja) kwa Jina la Majeruhi. Kwahiyo Ndugu zake wanaomtafuta Wamtafute kwa Jina hilo la Majeruhi?

Yaani Israeli akutafute kabisa na ujae katika 18 zake kama Simba SC yangu ilivyojaa katika 18 za Raja Casablanca FC na Kula Gongo 3 Bila Safi na akuache? Thubutu!
 
Punguza utoto

Wapo watu hawana ndugu hapo dar wengi sana

Kumbuka kuna vijana wanakuja kutafta kwa kunandia magar ya mizogo nk

Na kutambua ndugu wa mgonjwa mpaka awe walau na nyaraka kama kitambulisho cha taifa au hata cha kazi na pengine hata leseni nk

Bila vitu hivyo ni nuujiza pekee hasa kama hata kuongea hawezi

Sio kila kitu tulalamikie selikal inakula dili kwa manufaa yapi?
 
Mkuu ndugu wapo mimi Kuna waburundi tuliishigi nao TZ toka nazaliwa cjawai ona ndugu zao ila ile day kafariki walikuja na hakuna aliejua nani alipa taarifa maana hata kumuuguza tuliwauguza kwa kuchanga Kijiji tukijua hakuna ndugu Hadi jeneza tulichanga kijiji.
 
Acha kukariri mkuu.

Wala hata usiende mbali, mimi niko mjini hapa ila ukinipatia milioni kumi kwamba nikupeleke kwa ndugu yangu hapa dar hiyo hela nitaikosa.

Jamani tusiishi kwa kukariri mambo, wengine tumekuja kufungua njia kwa ajili ya ndugu zetu walioko Kazuramimba Kigoma.
siyo wote tuna ndugu hapa mjini.
 
Umaskini ulionao ndo unakufanya ndugu wakutenge ila ungekuwa na kipato hukosi ndugu mjini ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…