saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
umeambiwa hairuhusiwi siyo maadili, au umezoea ubishi. Hivi watanzania wengi ni kwamba mnaumwa akili au ni nini, wahusika wanakuambia hairuhusiwi we unauliza kwani ina shida gani? bila hata aibu.Kiss na mapenzi wako ina shida gani?
Huyo mgonjwa aliye record tukio aruhusiwe ameshapona, watu wengine wana wivuu sanaa, khaah
Wamdunge sindano ya sumu huyo mjinga aliyerekodi.
Wivu ni Kidonda kmmmk [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yeye kama hana mtu wa kumla denda si angetulia tu. Hadi arekodi video asambaze online? Roho ya kichawi sana hio.
Hahahah yani uchawi full. Bongo kwa uchawi na wivu tuna 100%!!!
Mtu ukionekana una enjoy maisha tu lazma uletewe zengwe yote hio ni wivu tu. Utarogwa tu bila sababu ili tu usiendelee kuinjoy [emoji1787]
Ndio yale yale unagonga mpenzi wako kwenye gari yako anatokea mtu anawagongea vioo.
Hairuhusiwi kwa sheria ipi?umeambiwa hairuhusiwi siyo maadili, au umezoea ubishi. Hivi watanzania wengi ni kwamba mnaumwa akili au ni nini, wahusika wanakuambia hairuhusiwi we unauliza kwani ina shida gani? bila hata aibu.
Kwani hata WASAFI TV si wanaonyesha za kina zuchu na Diamond wanakulana denda kwa karibu zaidi kuliko hii?Tatizo hapo siyo kumla denda
Tatizo ni hiyo video kusambaa
Ova
Adm ataiondoa ila ipoHiyo video iko wapi tuone kama kweli au Laa
Ushoga unaingiaje hapa?Serikali imeruhusu ushoga Tanzania, huu si ndio uvunjifu wa maadili mkubwa sana?