Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Tatizo liko wapi? Kuna mambo ya kipuuzi sana Bongo.Unaweza kuta denda lilimpa nafuu mgonjwa.
Afya ya akili ni tatizo kubwa Tanzania kwa sasa.Ushoga unaingiaje hapa?
Ushamba unamsumbuaTatizo liko wapi? Kuna mambo ya kipuuzi sana Bongo.
Hivi mtu kabisa una acha issue zako kuwarecord video wapenzi Wawili? Hata kama mazingira si sahihi lakini aliyewarecord ni mpumbavu pro max
Uvunjifu wa maadili ni uvunjifu wa maadili tu haunaga ngazi, eti huu ni mdogo ule mkubwa hakuna hiyoSerikali imeruhusu ushoga Tanzania, huu si ndio uvunjifu wa maadili mkubwa sana?
Ndio nimeuliza "maadili ya mtanganyika" ni yapi?Yanavunjwa Maadili gani kumkiss Mpenzi??
upuuzi tu
Hapa umechanganya vitu viwili. Kuna mambo sote tunayafanya na ni halali kama mapenzi japo ni muhimu kujuwa unayafanyia wapi au hali ya kuonesha upendo sote tunafanya shida tu sehemu gani lakini yako mambo hayakubaliki na hayafanwi na watu wote ni kama mfano uliotoa kukojoa hovyo barabarani na mengine.
Yule mtu dhakari yake ilikuwa inawasha,kwa hiyo akawa anaisugua ile dhakari kwenye porcelain ya urinary,anaisugua mahali ambapo toka asubuhi mpaka saa ile,sijui ilikuwa saa ngapi,watu zaidi ya mia,zaidi ya mia mbili wamepiss. Ndio nasema ilikuwa ni uchafu. "My people perish for lack of knowledge",imeandikwa katika Biblia,nayo ndio motto ya Mossad.Hapa umechanganya vitu viwili. Kuna mambo sote tunayafanya na ni halali kama mapenzi japo ni muhimu kujuwa unayafanyia wapi au hali ya kuonesha upendo sote tunafanya shida tu sehemu gani lakini yako mambo hayakubaliki na hayafanwi na watu wote ni kama mfano uliotoa kukojoa hovyo barabarani na mengine.
Gari si langu jamani𤣠hamjaniagizia. Hamjanilipia kodi, hamjazi mafuta mle sasa shida ni nini?Na wewe kwann ufanyie kwenye gari? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amini kwamba uwezekano ni mkubwa sana umbeya ndio ulimkosti.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] itakuwa chanzo cha kuvunjika kwake kuna sehemu alikuwa anatafuta mambo yasiyomuhusu.
Watu wa taifa langu ni washamba kupindukia.Tatizo liko wapi? Kuna mambo ya kipuuzi sana Bongo.
Hivi mtu kabisa una acha issue zako kuwarecord video wapenzi Wawili? Hata kama mazingira si sahihi lakini aliyewarecord ni mpumbavu pro max
Ni zaidi ya upuuzi hizi bando mda mwingine unafikiria zipande tu mpaka 10k kwa mb1 labda watu watakuwa na ufikiri wa namna ya kutumiaHivi inakuwaje mtu kila akiona kitu ni kurecord video tu? Kwangu Mimi huu ni upuuzi mtupu na ushamba.
Pesa ni muhimu sana kuwa nayo kwani hata ukiuguwa pesa yako itakupa faragha kwa kulazwa private ward.
Gari si langu jamani[emoji1787] hamjaniagizia. Hamjanilipia kodi, hamjazi mafuta mle sasa shida ni nini?
Amini kwamba uwezekano ni mkubwa sana umbeya ndio ulimkosti.
Unaumwa kisha unakuwa Camera man/woman.Huyo mgonjwa aliye record tukio aruhusiwe ameshapona, watu wengine wana wivuu sanaa, khaah