Plaintiff
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 307
- 216
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafiki upi sasa, uzi unahusu wanyama najisi, ulitaka nianzie kuongelea dhambi zote ndio nije nimalizie hilo?Kinachowaponza watu aina ya mtoa mada ni unafiki. Wao wanafikiri dhambi ni kunywa pombe na kula tu kitimoto. Ila mambo mengine wanaona ni ruksa kufanya! Jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo.
AfI kabisa ajibu na hili andikoNa hapa je??
Wakolosai 2:16-17
[16]Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato;
[17]mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.
Kutoka 20:8-11 Hiyo ndio siku tuliyoamriwa kupumzika na kufanya ibada, Na huo siyo utaratibu wa Duniani tu hata kwenye mbingu mpya Mungu atakayoifanya bado watu watakwenda mbele zake kuabudi siku ya saba ya Juma, Unaweza kusoma Isaya 66: 23Mimi siyo mtaalam sana kwenye mambo ya dini. Naomba msaada ni kitabu gani na aya ipi kwenye Biblia iliyoelekeza kuwa ibada ni lazima ifanyike JUMAMOSI? Msaada please.
Kuanguka kupo lakini walau iwe bahati mbaya,Kila mmoja amepewa utashi wa kung’amua mema na mabaya na kila mtu Mungu anampa muda wa kujirudi usitumie nguvu nyingi kwa ajili ya wengine huku wewe hatma yako huijui.
Kwani wapi mimi nimejitanabaisha kwamba ni msafi kiimani, mbona malalamiko? Mtu akikemea mambo ambayo hayapo sawa ndio anakuwa msafiki kiimani?Bold kubwa,tusitumie maandiko matakatifu ku-justify udhaifu wetu na mimi nikikwambia kasome Luka 6:41-45 andiko mahsusi kwa wanaojifanya wasafi kiimani unadhani tutafika?
🤣🤣🤣🤣Wasabato mna shida sana. Nachowashangaa mnabagua Sheria za torati. Kuna mnazongangana nazo na Kuna zingine mnakataa. Hayo mambo ni mzigo ndugu zangu. Sheria ya kristo ni upendo kwa Mungu na jirani. Hayo mambo mengine yalikua ni tamaduni za kipindi hicho ambazo Mungu alikusudia kuwatenga watu wake na wapagani. Nowadays Mungu habagui Wala hawatengi watu wa jamii yoyote. Achaneni kushupaza vichwa na akili zenu na kujibebesha mizigo isiyo na ulazima.Kutoka 20:8-11 Hiyo ndio siku tuliyoamriwa kupumzika na kufanya ibada, Na huo siyo utaratibu wa Duniani tu hata kwenye mbingu mpya Mungu atakayoifanya bado watu watakwenda mbele zake kuabudi siku ya saba ya Juma, Unaweza kusoma Isaya 66: 23
Hujasoma marko 7:19 Yesu alihalalisha vyakula vyote,,,,agano la kale linamapungufu ndio mana likaja agno jipya soma Biblia ueleweWatu wanalitumia fungu hili kuhalalisha kula wanyama ambao wamekatazwa katika kitabu cha Mambo ya walawi. Na kwa kuweka mambo sawa fungu hili halizungumzii vyakula, na kudhihirisha hili ukisoma hiyo matendo ya mitume 10 yote utaelewa.
Fungu lenyewe linasema "Sauti ikamjia mara ya pili, ikimwambia, vituvilivyotakaswa na Mungu usiviite wewe najisi." Mwisho wa kunukuu.
Kwa kifupi labda nisimulie hiki kisa kilivyokuwa,
Ukisoma Matendo ya Mitume 10 kuanzia fungu la 9 Petro alikuwa na njaa sana wakati msosi unaandaliwa alizimia na alioneshwa maono na katika maono hayo Kilishushwa Chombo chenye pembe nne kutoka mbinguni ambamo ndani yake kulikuwa na wanyama mbalimbali, kisha sauti ikasema Ondoka Petro uchinje ule, Petro akajibu akisema Hasha Bwana, kwa maana sijakula kamwe kitu kilicho kichafu wala najisi.
Na tendo hilo la kumuambia kwamba achinje ale lilifanyika mara tatu na zote Petro alikataa, ndio ile sauti ikamwambia vitu alivyovitakasa Bwana usiviite najisi. Na mwisho alipozidi kugoma kile chombo kikarudishwa juu.
Kabla sijaendelea hapa kuna mambo mawili ya kujiuliza,
1. Bila shaka wanyama walikuwepo mle ndani wote walikuwa ni Najisi ndio maana Petro aliwakataa, Na hakuwa anamkatalia Binadamu mwenzake, Bali alikuwa anaikataa sauti ya Mungu.
2. Kama sheria ile ya mambo ya walawi ilifutwa, kama watu wanavyodai kwenye Marko 7 na Mathayo 15(Hili nitaletea uzi nalo maana nalo watu wanadanganywa sana). Ni kwanini Petro alikuwa anakataa na aliwaita wale wanyama najisi na wachafu? Zingatia huyu alikuwa mmoja kati ya wanafunzi wa Yesu.
Na mwisho kabisa yale yalikuwa ni maono tu na wakati anaendelea kuyafikiria kwamba yana maana gani, Roho mtakatifu akamuambia kuna watu watatu kawatuma kuja kwake hivyo aongozane nao.
Tafsiri ya Maono yale inakuja kupatikana katika Matendo ya Mitume 10:28 ambayo inasema "Akawaambia, Ninyi mnajua kuwa si halali mtu aliye Myahudi ashikamane na mtu aliye wa taifa lingine wala kumwendea, Lakini Mungu amenionya, nisimuite mtu awaye yote mchafu wala Najisi."
Watu wanachukua vifungu kidogo ambavyo vinafavor vitu vyao ambavyo kwa macho yao vinawavutia ila hawasemu ukweli.
Jina la Bwana Libarikiwe.
Muwe na Usiku mwema.
Kwamba hutaki kuamini kwamba yale yalikuwa maono?Yaani ujumbe tu wa Kumwambia Petrol aongozane na wale wasio wayahudi ilimkazimu kutumia Wanyama?
Yaani kusema kwamba yalikuwa maono ndio nayachukulia poa?Maono unayachukulia poa eti ilikuwa maono tu......mbona hakutumia Ng'ombe ambaO hazibishaniwi?
Ni stori hiyohiyo iko Mathayo 15 na ukisoma lile fungu la 17 linaelezea hichohicho kitu ila ule mstari unaosema alihalalisha vyakula vyote haupo.Hujasoma marko 7:19 Yesu alihalalisha vyakula vyote,,,,agano la kale linamapungufu ndio mana likaja agno jipya soma Biblia uelewe
Ufunuo 14:12 imewataja watakatifu kama watu wazishikao amri za Mungu na Imani ya Yesu,Mbinguni hatuingii Kwa kipimo Cha kula chakula, tutaingia Kwa kufanya matendo mema na ROHO nyeupe ambayo sio ya visasi wala husda
Mnyama akiitwa ' najisi' maana yake ni nini ?.... Kwenye hiyo mistari ya mambo ya walawi nguruwe ametajwa kama 'najisi' na tena mtu akila atakuwa 'najisi' mpaka jioni.Watu wanalitumia fungu hili kuhalalisha kula wanyama ambao wamekatazwa katika kitabu cha Mambo ya walawi. Na kwa kuweka mambo sawa fungu hili halizungumzii vyakula, na kudhihirisha hili ukisoma hiyo matendo ya mitume 10 yote utaelewa.
Fungu lenyewe linasema "Sauti ikamjia mara ya pili, ikimwambia, vituvilivyotakaswa na Mungu usiviite wewe najisi." Mwisho wa kunukuu.
Kwa kifupi labda nisimulie hiki kisa kilivyokuwa,
Ukisoma Matendo ya Mitume 10 kuanzia fungu la 9 Petro alikuwa na njaa sana wakati msosi unaandaliwa alizimia na alioneshwa maono na katika maono hayo Kilishushwa Chombo chenye pembe nne kutoka mbinguni ambamo ndani yake kulikuwa na wanyama mbalimbali, kisha sauti ikasema Ondoka Petro uchinje ule, Petro akajibu akisema Hasha Bwana, kwa maana sijakula kamwe kitu kilicho kichafu wala najisi.
Na tendo hilo la kumuambia kwamba achinje ale lilifanyika mara tatu na zote Petro alikataa, ndio ile sauti ikamwambia vitu alivyovitakasa Bwana usiviite najisi. Na mwisho alipozidi kugoma kile chombo kikarudishwa juu.
Kabla sijaendelea hapa kuna mambo mawili ya kujiuliza,
1. Bila shaka wanyama walikuwepo mle ndani wote walikuwa ni Najisi ndio maana Petro aliwakataa, Na hakuwa anamkatalia Binadamu mwenzake, Bali alikuwa anaikataa sauti ya Mungu.
2. Kama sheria ile ya mambo ya walawi ilifutwa, kama watu wanavyodai kwenye Marko 7 na Mathayo 15(Hili nitaletea uzi nalo maana nalo watu wanadanganywa sana). Ni kwanini Petro alikuwa anakataa na aliwaita wale wanyama najisi na wachafu? Zingatia huyu alikuwa mmoja kati ya wanafunzi wa Yesu.
Na mwisho kabisa yale yalikuwa ni maono tu na wakati anaendelea kuyafikiria kwamba yana maana gani, Roho mtakatifu akamuambia kuna watu watatu kawatuma kuja kwake hivyo aongozane nao.
Tafsiri ya Maono yale inakuja kupatikana katika Matendo ya Mitume 10:28 ambayo inasema "Akawaambia, Ninyi mnajua kuwa si halali mtu aliye Myahudi ashikamane na mtu aliye wa taifa lingine wala kumwendea, Lakini Mungu amenionya, nisimuite mtu awaye yote mchafu wala Najisi."
Watu wanachukua vifungu kidogo ambavyo vinafavor vitu vyao ambavyo kwa macho yao vinawavutia ila hawasemu ukweli.
Jina la Bwana Libarikiwe.
Muwe na Usiku mwema.
Naona hata wewe mwenyewe umechukua kifungu kidogo ukaanzishia mjadala mfupi japo sijaelewa hitimisho li wapiWatu wanachukua vifungu kidogo ambavyo vinafavor vitu vyao ambavyo kwa macho yao vinawavutia ila hawasemu ukweli.
Kabisa mkuu, agano la kale ni kivuli cha agano jipya tena mtume Paulo aliwaambia waebraniaNikiona mkristo anakimbilia agano la kale kuclarify imani yake namuona hajaelewa imani yake bado.
Kemea kula tigo ndio janga kubwa na ina madhara ya moja kwa moja kuliko kula kitimoto.Kwani mimi nimesema kula tigo siyo Dhambi? Acheni kuhamisha magoli