Moja ya makosa utafanya ni kuolewa na Mwanaume wa miaka 50+. Walioingia huko wengi wanalia


Unaweza kuandika ukurasa mzima ila ukimpa mtu mwingine ana andika mstari mmoja tu wenye hoja ya nguvu.
Mfano; Ungeweza kuandika tu; unapendekeza tofauti ya umri wa kuoana isizidi miaka pengine 15.
Huwezi kusema sijui mwanamke asiolewe na mtu wa umri wa miaka 50; umejiuliza mwanamke anaye olewa mwenyewe anamiaka mingapi?
 
Wanazungumzia juu ya matumizi ya "viagra" na ni kwa kiasi gani?
 

Huyo mtu mwingine hakuna aliyemzuia lakini.
Hata asingeandika aweke lugha ya alama tuu. Sio tatizo
 
SISI WATU WENYE 50+ NDIYO SUKARI YA WAREMBO,TUNAJUA KUWAPA MABINTI FURAHA YA UKWELI HALISIA.
1-Huduma ni za kutosha kwa 100%
2-Hatuwatesi warembo kwa kusimamia kucha usiku mzima,
3-Tunajua mengi hii kitu haikomolewi labda ujikomoe mwenyewe,
4- Tunajua kutosheleza kwa muda mfupi sana na roho ya bint ikawa shwari..
 
Wewe Dunia kwani unaionaje Mkuu?😂😂😂

Angalia filamu za wanyama mbugani. Dunia ndio iko vile. Kujihami ni kwingi sana ili uwe safe
Ni kweli. Hakuna kitu perfect thats why saa nyingine mtu ishi tu, furahia kilichopo. Kama wewe ni binti na kilichopo ni mchumba wa 50+ tafuta namna furahi nae maana mbadala wake haupo perfect pia.
 
SISI WATU WENYE 50+ NDIYO SUKARI YA WAREMBO,TUNAJUA KUWAPA MABINTI FURAHA YA UKWELI HALISIA.

Wengi wa mabinti wanafikiri kama hivi baada ya nyie kuwalaghai.

Unajua sura za watu wazima ni kama maaskofu au masheikhe kuziamini ni rahisi. Lakini sasa
 
Mzee akishtakiwa na mwanamke wake kua simu imeanguka kwenye maji,anakupa hela ya kununua simu nyingine mpya,
Ila akishtakiwa kijana kua simu imeangukia kwenye maji,atakwambia uiweke hiyo simu kwenye mchele ikauke.
 
Huyo mtu mwingine hakuna aliyemzuia lakini.
Hata asingeandika aweke lugha ya alama tuu. Sio tatizo

Wanawake wanaolewa na watu wenye miaka hata 60 na wana happy life... na wapo vijana wengi wameona kwenye 30th lakini Kila kukicha ngumi mkononi na kulala bar na mwishowe talaka.....
Mambo mengine ni maisha binafsi ya watu
 
Hakuna jibu la moja kwa moja, mikikimikiki ya haya mambo yanaendelea kuwepo na walikuwepo, mpaka anaolewa na mtu mzima tayari wewe unachangamoto kwa hiyo isionekana mtu mzima ana tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…