Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Hivi kumbe wanapowasaidia hayo majukumu ndiyo huwa hamhongi malayaNawe pesa yako hapaswi kukupangia wapi pa kuipeleka hata ukihongea malaya sawa tu ni yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kumbe wanapowasaidia hayo majukumu ndiyo huwa hamhongi malayaNawe pesa yako hapaswi kukupangia wapi pa kuipeleka hata ukihongea malaya sawa tu ni yako.
Ndugu haujawahi sikia vile yale mahubiri ya kutoa yanavyo hit sehem maalum,utajikuta ukiuza kila kitu ili ukatoe halafu wewe unaki pee huku ukiamini Mungu ataleta😆😆😆Hilo suala la kutoa kanisani hela yote Sina uhakika nalo maana sadaka mara nyingi huwa na Siri
Na pia kimaandiko hakunaga utaratibu wa kutoa mshahara wote kanisani labda uwe malimbuko mshahara wa kwanza au MTU aamue mwenyewe
Pili naendelea kisisitiza huyo mwanaume Hana sababu yoyote ya kuumia maana hayo majukumu yote aliyoyataja ni ya kwake kama mwanaume ,
Ilipaswa ajipange kabla ya kuoa aone anaweza au la
Sio Kuja kumtegea mke wake majukumu yanayomuhusu
Matokeo yake ndo hayo Sasa unalia Lia
Na kwa taarifa hizo mali lazima wagawane na mke wake
Mke ana hiari ya kuchangia au kutokuchangia majukumu ya mwanaume
Maana yake Adam hawezi kufanya kila kitu pekee yake ndiyo maana Mungu akampa wa kumsaidiaKwani Mungu alipompatia Adam "msaidizi" wewe pale ulielewaje?
😂😂😂Sasa kazi ya mwanamke ni nini si bora ninunue malaya
Hakuna anaetawaliwa ni gender instincts tu ndio zinamuweka kila mtu kwenye nafasi yake, hata Rais mama Samia alishawahi kusema kwamba yeye ana cheo kikubwa lakini kwa mumewe anapiga goti(yaani ni mtiifu) na hii wanawake wanafanya kwa kuona fahari kwamba wanatimiza sehemu ya uanamke wao ni nyie tu ferminists trauma mlizozibeba kwenye mahusiano yenu ya nyuma zinawafanya muhishi na vinyongo, mnapotosha wenzenu ili nao mahusiano yao yayumbe mpate relief ya moyo(msiba wa wengi sherehe)Siku mkikubali kuacha kuwatawala wanawake na kuwalazimisha wawatii na kuwaheshimu, na siku mkianza kufanya kazi za nyumbani na kulea watoto kila siku basi hata wanawake wataanza kuhudumia familia bila tatizo
Mwanamke akikupenda kweli huhitaji kumuomba msaada pale utapouhitaji usijejidanganya kama unaweza mridhisha mwanamke kwa pesa
Sindio apo sasa huwezi kufanya kila kitu mwenyeweMaana yake Adam hawezi kufanya kila kitu pekee yake ndiyo maana Mungu akampa wa kumsaidia
Yale hayakua majukumu bali ilikua ni laanaAlimpa msaidizi na alimpa majukumu yake kuzaa kwa uchungu na Hilo ni jukumu ambalo hakuna mwanaume anaweza kumsaidia
Na mwanaume alipewa jukumu la kafanya kazi ahudumie familia
Hakuna mwanamke anayependa kuwa submissive kwa mwanaume bila sababu yoyote hiyo ni mentality tu ambayo babu zetu waliwajengea bibi zetu toka enzi na enzi, msijidanganye hakuna mwanamke anayefeel pride kwenye hiyo kitu isipokuwa ni kama tu pale anaponufaika na jambo fulani toka kwa mwanaume wake, kama ingekuwa hivyo unavyosema basi wanaume wengi wasingekuwa wanalalamika kuhusu ujeuri na viburi vya wake zao ndani ya ndoaHakuna anaetawaliwa ni gender instincts tu ndio zinamuweka kila mtu kwenye nafasi yake, hata Rais mama Samia alishawahi kusema kwamba yeye ana cheo kikubwa lakini kwa mumewe anapiga goti(yaani ni mtiifu) na hii wanawake wanafanya kwa kuona fahari kwamba wanatimiza sehemu ya uanamke wao ni nyie tu ferminists trauma mlizozibeba kwenye mahusiano yenu ya nyuma zinawafanya muhishi na vinyongo, mnapotosha wenzenu ili nao mahusiano yao yayumbe mpate relief ya moyo(msiba wa wengi sherehe)
Nimenukuu statement ya mama Samia ambaye ni mwanamke, unataka kuniambia kiuchumi kuna ambacho mama samia ananufaika kutoka kwa mumewe na hawezi kukipata kwa pesa yake mwenyewe?Hakuna mwanamke anayependa kuwa submissive kwa mwanaume bila sababu yoyote hiyo ni mentality tu ambayo babu zetu waliwajengea bibi zetu toka enzi na enzi, msijidanganye hakuna mwanamke anayefeel pride kwenye hiyo kitu isipokuwa ni kama tu pale anaponufaika na jambo fulani toka kwa mwanaume wake, kama ingekuwa hivyo unavyosema basi wanaume wengi wasingekuwa wanalalamika kuhusu ujeuri na viburi vya wake zao ndani ya ndoa
Mithali 31:1........Pesa za mkewe hazimuhusu