Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maana nyingine mwanamke hapaswi kufanya kazi sio?Alimpa msaidizi na alimpa majukumu yake kuzaa kwa uchungu na Hilo ni jukumu ambalo hakuna mwanaume anaweza kumsaidia
Na mwanaume alipewa jukumu la kafanya kazi ahudumie familia
Nikiwa Japani some years ago, nilimualika Binti wa kijapani (baby) tukale piza kwenye piza shop. Tulipo maliza kula akachukua menu, then akatoa nusu ya cost. Nilijaribu kumsihi asifanye hivyo mie ndo nilimualika aligoma. Nikalipa nusu ilobaki tukasepa. Ole wenu wabongo na hizo mentality zenu, akialikwa na kijana wa kiume (girlfriend or boyfriend) for outing, beba na hela ya kulipia nusu ya bili. Ukienda na mentality za kiafrika utaumbuka.Naamini kuna mambo mengi yanayochangia migogogoro na kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa wakati huu
Ila Naomba nielezee hii sababu majawapo ambayo ni
Wanaume wengi au vijana pengine niwaite wavulana kuingia kwenye ndoa wakidhani wanawake wao watawasaidia baadhi ya majukumu na wengine wajinga wakitamani wasaidie hata majukumu yote
Kigezo kikubwa kwa mwanaume na jukumu la kwanza ni kuoa mwanamke anayempenda na kumvutia kwa asilimia kubwa tabia sura na hata maumbile
Na hapa tunatofautiana Kila mtu ana tabia sura na maumbile yanayomvutia
Ukifanikiwa kwenye kigezo na jukumu la kwanza hayo mengine yote ni rahisi
Jukumu la pili na muhimu ambalo wanaume wengi haswa wa wakati wanalikimbia wakidhani watabaki salama ni
Kumuhudumia mke wako kwa Kila kitu kuanzia Nguo yake ya NDANI mavazi ya nje mahitaji yote muhimu kwa mwanamke ni jukumu la mwanaume kumuhudumia
Tatu mahitaji yote ya familia ni jukumu la mwanaume kuhudumia hata Kama mwanamke ana mshahara ana hiari ya kuchangia mahitaji ya familia au la
Hata akichangia weka akilini mwako kwamba anakusaidia majukumu yako usibweteke,
Siku akijisikia kutochangia Basi ukubaliane na hali na umshukuru walau kwa kile alichochangia
Kwenye maandiko jukumu la mwanamke kubwa ni uzazi na kumtii mume wake
Ukiona mwanaume ambae kigezo chake kikubwa anataka mwanamke mwenye kazi au mshahara au mpambanaji hiyo ni dalili ya hao wanaume
Nashauri hakikisha unakuwa na msingi mzuri wa kipato kabla ya kuoa Bora uchelewe kuoa ili
Uoe mwanamke unayempenda na mwenye uwezo wa kumuhudumia
Kwa asili
Wanawake hawaji kuongeza kipato Ila kutumia kile kipato chako
Uanaume ni kazi Sana na uwajibikaji wake ni mkubwa
Sio rahisi kuwa mwanaume na Wakati mwingine kuwa baba wa familia
Dini ina hesabu ni moja ya mali zako! Ata matumizi yake ni wewe unatakiwa kuyapangia Au kuelekezaPesa za mkewe hazimuhusu
Anapaswa kukutumikia! Kufanyakazi kwa ruhusa yako!Kwa maana nyingine mwanamke hapaswi kufanya kazi sio?
Yaani asubiri kuzaa Kwa uchungu na kulea familia.
Hii ndio 50 kwa 50 inavyofanya kazi huko duniani ila huku ni 50 kwa 50 katika mambo mengineNikiwa Japani some years ago, nilimualika Binti wa kijapani (baby) tukale piza kwenye piza shop. Tulipo maliza kula akachukua menu, then akatoa nusu ya cost. Nilijaribu kumsihi asifanye hivyo mie ndo nilimualika aligoma. Nikalipa nusu ilobaki tukasepa. Ole wenu wabongo na hizo mentality zenu, akialikwa na kijana wa kiume (girlfriend or boyfriend) for outing, beba na hela ya kulipia nusu ya bili. Ukienda na mentality za kiafrika utaumbuka.
Mnaowaoa wana tabu sana....Anapaswa kukutumikia! Kufanyakazi kwa ruhusa yako!
Ndio maana wanawake wengi wanatumikishwa ktk ndoa zao na kulea familia hivyo hawana tofauti na wafanyakazi wa ndani,
Mahari ni ya mke sio wazazi .Dini ina hesabu ni moja ya mali zako! Ata matumizi yake ni wewe unatakiwa kuyapangia Au kuelekeza
Kumsaidia mzazi ni wewe kwa ruhusa yako!
Hivyo kuoa na kutoa mahari ni kufanya manunuzi kama watumwa wanavyo nunuliwa japo kwa sasa Eti ni shukrani!? Wewe wazazi wako nani anawashukuru?
Na ndio maana watoto wataitwa kwa majina yako, yule mwanamke ni mtumwa wako umemnunua!
Bible ukisoma mwanzo walikuwa wanatumia maneno mtumwa, ukinunua mtu ni mtumwa wako ana kutumikia wewe na kila kitakacho patikana ni chako wewe sio yeye
Kuna mwanaume halafu kuna wavulana.Dakika ya 75 pale, wanaume pumzi inakata.....ikiwa ni ke 3 me 0.
Na hao ndio wanatekeleza 50/50 kwa vitendo, huku kwetu wanataka usawa lakini hawataki wajibu unaotokana na huo usawa kwaiyo wamebaki kuokoteza tu vipengele vinavyowanufaisha. Elimu usawa, uongozi usawa, ajira usawa haya mama umepewa access zote kiuchumi tu-apply usawa kwenye gharama za ndoa/mahusiano hapo ndipo wanawake wa kibongo hawapatakiNikiwa Japani some years ago, nilimualika Binti wa kijapani (baby) tukale piza kwenye piza shop. Tulipo maliza kula akachukua menu, then akatoa nusu ya cost. Nilijaribu kumsihi asifanye hivyo mie ndo nilimualika aligoma. Nikalipa nusu ilobaki tukasepa. Ole wenu wabongo na hizo mentality zenu, akialikwa na kijana wa kiume (girlfriend or boyfriend) for outing, beba na hela ya kulipia nusu ya bili. Ukienda na mentality za kiafrika utaumbuka.
Hoja ya msingi ni kwamba wewe hata kujinunulia nguo zako za ndani huwezi unasubiri ununuliwe na mwanaume.Naona umeacha hoja ya msingi akafocus kwenye jambo ambalo una uwezo nalo
Rudia kusoma Tena
Nawe pesa yako hapaswi kukupangia wapi pa kuipeleka hata ukihongea malaya sawa tu ni yako.Hata tupige kelele vipi pesa za akina mama tuwaachie waamue nazo wenyewe
Sasa utachagua ulee wanao ama uhonge japo waweza fanya vyote kwa pamojaNawe pesa yako hapaswi kukupangia wapi pa kuipeleka hata ukihongea malaya sawa tu ni yako.
Siku mkikubali kuacha kuwatawala wanawake na kuwalazimisha wawatii na kuwaheshimu, na siku mkianza kufanya kazi za nyumbani na kulea watoto kila siku basi hata wanawake wataanza kuhudumia familia bila tatizo, yani ninyi mnataka majukumu sawa tu tena ikibidi mwanamke afanye zaidi ila haki sawa hamtaki kuwapaNa hao ndio wanatekeleza 50/50 kwa vitendo, huku kwetu wanataka usawa lakini hawataki wajibu unaotokana na huo usawa kwaiyo wamebaki kuokoteza tu vipengele vinavyowanufaisha. Elimu usawa, uongozi usawa, ajira usawa haya mama umepewa access zote kiuchumi tu-apply usawa kwenye gharama za ndoa/mahusiano hapo ndipo wanawake wa kibongo hawapataki