Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Kuhusu mama samia usitake watu waongee makandokando yake hapa wakaonekana wanamchafua rais kwa sababu alikuwa na motives zake za kutamka vile, mtu yeyote hasa public figure kama yeye anaweza ongea chochote kizuri kumhusu mbele ya hadhara mradi tu aonekane mwema lakini kwenye matendo akawa tofauti, halafu yeye siyo idol wa wanawake wote kiasi cha kuona kwamba kila anachosema yeye basi ni sahihi na kinawakilisha hisia au tabia za wanawake wote duniani koteNimenukuu statement ya mama Samia ambaye ni mwanamke, unataka kuniambia kiuchumi kuna ambacho mama samia ananufaika kutoka kwa mumewe na hawezi kukipata kwa pesa yake mwenyewe?