Moja ya mambo yanayochangia migogoro kwenye ndoa nyingi ni wanaume kuingia kwenye ndoa wakitarajia wake zao kuwasaidia majukumu yao

Nimenukuu statement ya mama Samia ambaye ni mwanamke, unataka kuniambia kiuchumi kuna ambacho mama samia ananufaika kutoka kwa mumewe na hawezi kukipata kwa pesa yake mwenyewe?
Kuhusu mama samia usitake watu waongee makandokando yake hapa wakaonekana wanamchafua rais kwa sababu alikuwa na motives zake za kutamka vile, mtu yeyote hasa public figure kama yeye anaweza ongea chochote kizuri kumhusu mbele ya hadhara mradi tu aonekane mwema lakini kwenye matendo akawa tofauti, halafu yeye siyo idol wa wanawake wote kiasi cha kuona kwamba kila anachosema yeye basi ni sahihi na kinawakilisha hisia au tabia za wanawake wote duniani kote
 
Sijaoa zezeta mimi, hata yeye ukimwambia asichangie chochote kwenye familia yake atakuona huna akili. Wakes up at 5am, comes back at 8pm, then asichangie chochote? Huo ni ujinga!
As long as she is not your housegirl then she has the responsibility to contribute
 
Nimemchukulia mfano mama samia kwa sababu ndie mwanamke ambaye yupo katika cheo cha juu kabisa na ofcourse lazima awe idol wa wanawake wenzake vile vile ana uwezo wa kukengeuka kama angekua na akili za wakina cristina shusho au joyce kiria. Kuhusu makandokando yake kama wewe unayajua unaweza kuyataja kuthibitisha kwamba anachokiongea ni kujikosha tu mbele ya jamii. As long as hauna uthibitisho wa hayo unayoita makandokando yake basi hauna moral authority ya kumtilia mashaka
 
Siyo kila kitu ambacho mtu anashindwa kukisema mbele za watu basi maana yake hana ushahidi nacho, wakati mwingine unaweza ukawa unambishia mtu ambaye anajua kitu ambacho wewe hukijui ila tu hawezi kukisema hadharani, anaweza kuwa idol kwa wanawake kwenye masuala ya cheo tu ila siyo kwenye masuala ya ndoa kwa sababu huko ndio kama nilivyokuambia
 
Then I bet she is not your housegirl, Yes?
What do you mean she's not my housegirl? She does all house chores, doing house chores doesn't categorise her as a housegirl, I believe she does everything wholeheartedly, with the help of our house helper of course.

Kufanya kazi za nyumbani hakumfanyi awe/aitwe housegirl, ukiona mama anafanya kazi za home kwa manung'uniko hapo hamna mke, tena kama kuna msaidizi(wamama wengi wana wasaidizi), sasa kitu gani kitafanya awe mtumwa hapo?
 
Kwenye kipengere cha ndoa so far rekodi yake ni nzuri kwa sababu hatuna taarifa zake za kuchafua hali ya hewa kwenye ndoa au wewe una makandokando ya mama samia unayajua uko kwenye ndoa yake lakini kwa sababu za kimaadili hauwezi kuweka wazi? Maana naona umeshikilia msimamo wa kumuwekea doubts zaidi.
 
Kufanya kazi za nyumbani hakumfanyi awe/aitwe housegirl, ukiona mama anafanya kazi za home kwa manung'uniko hapo hamna mke, tena kama kuna msaidizi(wamama wengi wana wasaidizi), sasa kitu gani kitafanya awe mtumwa hapo?
Jamaa kaamua tu kuwa mbishi yaani zile gender insticts ndio anaitwa utumwa. Huyu mtu kama ni mwanamke kuna siku nae atataka mumewe nae akae mkao wa doggystyle
 
Kitakachofanya awe mtumwa ni yeye kufanya majukumu mengi zaidi ya mumewe ilihali yeye ni msaidizi tu na mumewe ndio kiongozi, anyway siyo kila mtumwa anajijua kama yeye ni mtumwa wengine huona ni kawaida sababu wako desperate na wana low self esteem, mwanamke anayejielewa hawezi kufanya majukumu mengi kuliko mume wake in the name of 'kusaidiana'
 
Sasa wewe hapo ulipo unataka nani akuletee taarifa za makandokando ya mama samia kwenye ndoa yake, hoja yangu ni kwamba hakuna mwanamke ambaye yuko tayari kuwa submissive kwa mwanaume bila kuwa na chochote anachonufaika toka kwa huyo mwanaume hakuna cha asili hapo, vinginevyo basi ndoa zote zingekuwa na amani kusingekuwa na malalamiko toka kwa wanaume kuwa wake zao ni viburi na malaya na wengine hadi kuwabambikizia watoto wa nje ya ndoa
 
Haya yote yanawezekana endapo mwanamke hafanyi kazi,anatumia muda wake wote kuitumikia ndoa.
Ni UPUMBAVU mke anatoka nawe ukitoka kwenda kufanya kazi,halafu akirudi eti umuhudumie,....huu ni USEN.GE
 
Jamaa kaamua tu kuwa mbishi yaani zile gender insticts ndio anaitwa utumwa. Huyu mtu kama ni mwanamke kuna siku nae atataka mumewe nae akae mkao wa doggystyle
Hakuna cha gender instincts hapo hizo ni propaganda kama propaganda nyingine tu, ingekuwa ni nature basi kusingekuwa na namna yoyote ambayo wanawake wangeweza kukengeuka, na wanawake wameshashitukia hayo ndio maana mnaona haya yote yanatokea na kilichobaki ni wanaume kuishia kutapatapa tu kama hivi
 
Maisha ya kijijini mwanaume na Mwanamke na watoto wanaenda shambani kulima kwa pamoja ili kuweza kupata chakula cha familia. kwa nini Mwanamke asikae ndani tu kungoja aletewe? Wanaume tuamke huu ni unyonyaji wazi wazi.
 
Haya umeshinda
 
Alimpa msaidizi na alimpa majukumu yake kuzaa kwa uchungu na Hilo ni jukumu ambalo hakuna mwanaume anaweza kumsaidia

Na mwanaume alipewa jukumu la kafanya kazi ahudumie familia
Kubeba ujauzito wanaume hatuwezi,je kufanya kazi mwanamke hawezi?
Yaani tunaamka wote tunaenda kazini, mshahara sawa,hutaki kutoa pesa zako eti nikuhudumie kilakitu,sasa pesa zako ni zanini?
Una kitu gani spesho ambacho hausigeli hana?
 
The opposite is true
 
Jadda,
Kwani kwako kufanya majukumu ya home ni mzigo? Yaani mwanamke kufanya kazi za nyumbani unaona kuna tatizo? Maana naona huwa unasisitiza "akichangia majukumu na house chores msaidiane".

Ujue tu wapo wamama wanajitambua sana, hawaoni ugumu wala shida kurudi jioni na kuingia jikoni, hakuna ugumu wala sio tatizo unless personally wewe uone ni uonevu. Unajua wanampikia nani, watoto na mume, wanajuvunia kupikia watoto wao na mume. Ukiona kuingia jikoni kupika ni kugumu, basi maisha ya ndoa yatakuwa magumu sana kwako.

N a kitu kingine, tukishaweka msaidizi ndani, kazi za ndani ni za mama na msaidizi. Kama hakuna msaidizi binafsi nasaidia kufanya baadhi ya majukumu, ila kama yupo ni wao wafanye...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…