Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Sasa dada angu kwani izo mimba huwa mnabeba maisha yenu yote baada ya kuingia tu kwenye mahusiano. Ofcourse kuna situation ambazo ambazo mwanamke hawezi kujigawa mfano ana mimba au ananyonyesha mtoto mchanga ivyo ivyo kuna situation ambazo mwanaume hawezi kutimiza majukumu yake ipasavyo mfano anaugua nankushindwa kwenda kibaruani ili apate mahitaji ya familia kwaiyo ni suala la kuangalia namna ya kumsaidia mwenza wako hapo. Katika scenerio ya kukutana na uyo dada wa kijapani aliyoongelea jamaa ulikua ni mtoko tu wa kawaida uyo dada hakua na mimba, ulemavu wala tatizo lolote la kumfanya ashindwe kufanya kazi kwa utimilifu hili kupata hela ya mahitaji yake, hiki kitu ni tofauti na wadada wa kibongo ambao mkitoka out watataka mpaka bodaboda uwalipie. Reply yako kwangu umetumia lugha kali kidogo sitokujibu kwa namna ulivyonijibu kuepuka ban maana nipo chini ya uangalizi wa moderatorsYawezekana huna akili na pia huna mke
Ungekua na akili timamu ungeelewa kwamba ukiwa na mke muda wa uzazi na muda wa kunyonyesha hawezi kufanya kazi sawa sawa na mumewe (achana na hizo 9-5 kind of jobs pay ni constant)
Pia hawezi tu kuamka asubuhi akataka kwenda kusoma ili walau mshahara upande bila kuangalia welfare ya watoto hapo nyumbani
Lakini wewe muda wowote, wakati wowote opportunity ikija huna kikwazo chochote
Haya wewe ambae 365 days a year huna kikwazo chochote cha kibaiolojia unamcompensate vipi huyo mtu????
Huko kwenye 50/50 kuna tabu kibao ambazo mkiletewa ninyi wala hamuwezi kuvumilia
Acha kutafuta ajira, katafute akili ya kung'amua mambo madogo madogo kwanza
Soma kimyakimya sababu sitosoma majibu yako wala kukujibu.... stupid