Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,473
- 3,542
True, lakini ameweka na kakibwagizo humo ndani, “Na pesa zinakusanywa…”Kama nimemuelewa mtoa mada,yeye hazungumzii swala la kufanya sherehe huku huna hela na kuwategemea wengine wamchangie,ila nilivyoelewa yeye shughuli nzima ya kufanya sherehe ukumbini anaona ni Ujinga!
Sasa hapo kama kuna tatizo tatizo ni harusi au tatizo ni ubunifu wa hao wanaopanga harusi?Events za harusi zinaboa sana. Miaka nenda miaka rudi ukumbini mambo ni yaleyale:
- Ingia ukumbini
- Cheza kidogo
- Kata keki
- Tambulisha ndugu
- Toa zawadi
- Nenda kwenye msosi
- Muziki
- Tuwaage maharusi wetu wakapumzike (wakaichape)
Kweli miezi 3-4 watu wazima wanakaa vikao kwa ajili ya ujinga kama huo! Na pesa zinakusanywa
Katukio ka saa 4 hadi 5 lakini boring and boring 🚮🚮
Harusi ya mdogo wangu ilikuwa na kadi na kioa kitu lakini ukumbini mlango ukikuwa wqzi watu wanaingia tu, hakuna habari ya kuangalia kadi.Kuna harusi moja nlialikwa mwaka jana yani hulipii kadi ni free ila lazma uwe invited....
Ilikua haina mchungaji/shekhe hakuna utambulisho ni mziki kula na pombe tu...
Bwana harusi ni doni flan hivi anakula monde yan iligeuka party sio harus
Ndoa yenyewe iliyogharimiwa mamilioni ya shilingi ni ya mwanamke used. Hii ndo inaboa sana.Events za harusi zinaboa sana. Miaka nenda miaka rudi ukumbini mambo ni yaleyale:
- Ingia ukumbini
- Cheza kidogo
- Kata keki
- Tambulisha ndugu
- Toa zawadi
- Nenda kwenye msosi
- Muziki
- Tuwaage maharusi wetu wakapumzike (wakaichape)
Kweli miezi 3-4 watu wazima wanakaa vikao kwa ajili ya ujinga kama huo! Na pesa zinakusanywa
Katukio ka saa 4 hadi 5 lakini boring and boring 🚮🚮
Hayo ndiyo mambo sasa, siyo vile mnachangishana kama ugomvi kisha mnapangia bajeti.Kuna harusi moja nlialikwa mwaka jana yani hulipii kadi ni free ila lazma uwe invited....
Ilikua haina mchungaji/shekhe hakuna utambulisho ni mziki kula na pombe tu...
Bwana harusi ni doni flan hivi anakula monde yan iligeuka party sio harus
😃😊😆🙆♂️😄🔥😂😀🤣😎👀🤪🙆♂️🙆♂️🙆♂️Ni upuuzi wa hali ya juu
Nakazia Sana Ni Kupungukiwa Akili Kukubwa Sana Ndugu ZanguNa usipotoa mchango lawama
Usipo hudhuria unaweza kutengwa
Unaweza kuta watu wako kwenye vikao vya harusi yako, halafu hapa unaponda.Kamati za nini mnajadiliana ujinga tu, basi wanunulieni zawadi wanandoa wakaanze maisha yao
Wanakamati wanahangaikia harusi kuwa na li KEKI kubwa afu la ngazi, huku nyama zikiwa chache hio ndoa haiwezi kudumu
hizi sherehe za harusi ni SCAM 100%, mi huwa sichangii harusi na wameshanizoea sasaEvents za harusi zinaboa sana. Miaka nenda miaka rudi ukumbini mambo ni yaleyale: