Moja ya uongo watu wanaodanganywa ni kwamba waliopo kwenye ndoa wanateseka jambo ambalo sio kweli

Moja ya uongo watu wanaodanganywa ni kwamba waliopo kwenye ndoa wanateseka jambo ambalo sio kweli

Wito wangu kwenye ndoa usiingie na matarajio makubwa sana, wala usidhani unaenda kuishi na malaika. Penda kwa kutumia akili na sio moyo

Kabisa
Pia kama hauna kazi na hujiwezi kimaisha. Weka mbali na watoto. Huko hapafai watu wasio na kazi. Iwe Me au ke.
 
Mkuu, ukikua utaelewa kwamba tuliambiwa tuishi nao kwa akili.

Kwa kifupi, failure zote za mwanadamu zimesababishwa na mwanamke

Jaribu kusoma riwaya kama za ADAM na EVA na SAMSON na DELILAH,

Hapana!
Kuanguka kwa Dunia Failure ni sisi Wanaume.
Ushaambiwa wewe ndiye mtawala, kichwa cha familia.
Ukifeli umefeli wewe sio wale unaowaongoza.

Ndio maana hata sasa Unaona anayelaumiwa kwenye nchi yetu ni Rais Samia, kwa sababu yeye ndiye kiongozi
 
Issue ya ndoa iko a bit tricky

Watu wengi wako kwenye ndoa kwasababu kumuacha mwenzi wao kuna gharama kubwa, either be socially or economically or politically or theologically.

Kwa kiasi kikubwa ndoa nyingi zimeshikiliwa na UVUMILIVU na kukosa UTHUBUTU

Wenzetu walioendelea, wanakupigisha divorce chap kwa haraka

Kimsingi, wanandoa wengi wanateseka. SITAKUFUNDISHA TENA
 
Anakuambia hii miaka 5 ikiisha sigombei tena. Ikikaribia uchaguzi inatokea drama eti bodaboda wameamua kumchukulia fomu tena na kumlazimisha aendelee. 😄

Na analalamika jinsi asivyolala kwaajili ya wananchi. Anakuambia anajuta kuwa kiongozi. Anakuambia amenusurika kuuawa na aliwekewa sumu.

Lakini haachi ng'oo
 
Issue ya ndoa iko a bit tricky

Watu wengi wako kwenye ndoa kwasababu kumuacha mwenzi wao kuna gharama kubwa, either be socially or economically or politically or theologically.

Kwa kiasi kikubwa ndoa nyingi zimeshikiliwa na UVUMILIVU na kukosa UTHUBUTU

Wenzetu walioendelea, wanakupigisha divorce chap kwa haraka

Kimsingi, wanandoa wengi wanateseka. SITAKUFUNDISHA TENA

Hakuna kitu kama hicho

Saikolojia ya binadamu aliyehuru haiko hivyo.
Binadamu aliyehuru hawezi vumilia maumivu na mateso kama hanufaiki, hana maslahi. Maslahi yanazidi hayo mateso ndio maana anabaki.
Maslahi ndio furaha yenyewe.
 
Hili jambo linaweza kuamuliwa kisayansi kwa tafiti ndogo tu OPINION POLL

Tupate wanandoa 100 watuambie kwanini wako kwenye ndoa mpaka leo, you will be shocked

Mazingira yetu huku bado yako kinafki sana, ila tunaanza kupata figure kubwa sana ya divorce haswa mijini
 
Mwaka wa kwanza wa ndoa mpaka wa tano hakuna shida na kila mmoja anajitahidi kwa upande wake.

Mwaka wa tano mpaka wa kumi ubize wa kulea watoto wapya,, furaha na amani zinatawala muda huo.

Mwaka wa 10 mpaka 15.
Muda wa malezi hapa kila mmoja anamjua mwenzie nje ndani. karaha za malezi zinamuelemea zaidi mama!!!!!
Hapa ndio wanaume wengi hugeukia michepuko kwa kisingizio mama analea staki kumsumbua.
Kupitia michepuko baba atabadilika na mama hakuna rangi ataacha kuiona!!!! hapa ndio huwa tunaitwa wachafu, hatuna akili, wazembe.

Mwaka wa 20 na kuendelea.
Mama kalea kamaliza watoto wakubwa,, menopause kaingia minyege kama yote!!!! mama muda huo yuko 40+ anajiamini balaa mama anaanza kuishi. bila kusahau hajasahau vipindi vyote alivyopitishwa na ba mjengo.

Muda huu baba kakitembeza kaamua kutulia na si kutulia bali hakuishi health life vimagonjwa vya hapa na pale vimeshaanza!!!!
ba mjengo uchumi wa kitanzania na hana baba wala mama inabidi awe mpole tu kwa wife hana namna atakimbilia wapi?!. uzee na ugonjwa vimeshaingia........
wife yeye ndio kwanza kaanza kuishi usisahau life begins at 40. na sisi wanawake huwa tunatunza makosa yoote kwenye memory card zetu.

niiishie hapa kwanza nitarudi
 
Back
Top Bottom