Moja ya uongo watu wanaodanganywa ni kwamba waliopo kwenye ndoa wanateseka jambo ambalo sio kweli

Mara zote ni wale walioachika (hasa wanawake) ndio husambaza hii sumu like wanajribu kuwasaidia wemfine kumbe kiuhalisia wanataka na wenzao wawe kama wao. Yan wanachuki kuona wao wame fail so na wengine(wanawake) wakose kama wao

Sahihi kabisa
Alafu wenyewe wakiona watu wanafuraha watakuambia wana fake 😀😃😃
 
Nimetumwa niulize ☺️

View attachment 3650110

Hakunaga waliooa wenye muda na wasiooa.
Labda anazungumzia wazazi wake wanashangaa kwa nini vijana na mabinti hawataki kuoa au kuolewa wakati ndoa ni jambo zuri na tamu.

Wanapataje matunda ya ndoa? Ndio maana wanaambiwa waoe/waolewe kwa sababu ni hakika binadamu wa kawaida hawezi ishi bila kuyaonja matunda ya ndoa ambayo ni kama Sex, watoto, kampani ya mapenzi n.k
 
Hayo yote Ni ukweli

Kiufupi ndoa NI utapeli,kuoa na Sawa Sawa na kuchukua matatizo sehemu nyingine kisha kujipachika Halafu yanaanza kukumaliza taratibu,unakuja kushtuka umebaki masikini na maradhi ya non communicable
 
MOJA YA UONGO WATU WANAODANGANYWA NI KWAMBA WALIOPO KWENYE NDOA WANATESEKA JAMBO AMBALO SIO KWELI.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Hii Dunia inamifumo ambayo haitaki umiliki na uwe na maisha mazuri. Kwa namna hiyo zipo propaganda nyingi zinazopotosha jamii kwa lengo la kuwafanya watu wasiende kwenye vitu au mambo au maisha ya furaha.

Nitakupa mifano ya propaganda potofu, ambazo zipo mahususi kuwatisha watu na wale waoga wasile pepo wakiwa duniani;

1. Pesa haikupi furaha, au pesa ni chanzo cha maovu, au tajiri kupenya kwenye ufalme wa Mungu ni ngumu.
Hizi ni propaganda tuu za uongo kabisa. Na watu wengi huziamini.

Sisi Watibeli Pesa ni tools, silaha ambayo inaturahisishia mambo yetu.

2. Kuoa Mwanamke mrembo na mzuri sana ni kujipa magonjwa ya moyo.

Huu ni uongo mkubwa kabisa.
Lengo ni kuwatisha watu wasipate vizuri, wasifurahie maisha na wanawake wazuri.
Hakuna uhusiano wa tabia mbaya ya mwanamke na maumbile yake.
Sisi Watibeli kuoa mke mzuri ni lazima. Sio ombi.

3. Usioe mwanamke mwenye pesa au mwenye hadhi.

Mtu yeyote anayekuambia kauli hii mdharau kimoyomoyo. Au muone kama hakutakii maisha mazuri.
Kupata mwanamke mwenye pesa au hadhi ya juu kwenye maisha hiyo ni baraka na bahati pia.
Watu wote wenye Akili, wenye mamlaka, tabaka la juu wanajua kuwa mwanamke mwenye kipato au hadhi ya juu ni Tunu.

Vijana waliotoka kwenye jamii maskini na elimu duni hudanganywa sana. Na lengo ni kuwafanya wazidi kuwa maskini na waendelee kuwa vibarua na watumwa wa watu wengine.
Huwezi kuoa au kuzaa na mwanamke mwenye kipato cha juu au hadhi ya juu alafu kizazi na watoto wako wakawa hiivihivi.
Ni wazazi wachache huwaambia vijana wao mambo kama haya.

4. Wanaume Handsome boy wanasumbua na hawajatulia.
Sio kweli.
Vitu vizuri vinagharama. Na vinamilikiwa na watu wenye nguvu.
Binti unapoolewa kuchagua mbegu ni muhimu sana. Maisha ni uchaguzi.
Kama umfupi, tafuta mrefu.
Kama sura personal tafuta mwenye uso mzuri.
Kama mweupe sana tafuta mweusi au maji ya kunde.

Kuzaa watoto na kizazi kizuri ni mipango ya binadamu. Uumbaji ni wamungu lakini unatokana na wewe.
Huwezi taka mtoto chotara wa kizungu kwa kuzaa na muha wa kasulu.

Hizo ni baadhi ya propaganda.
Lakini ipo propaganda nyingine ambayo ndio mada yetu. Kwamba ndoa ni ndoano. Ndoani watu wanateseka.

Sijui wanandoa wanatamani kutoka. Sijui wanachakaa. Hawana Amani.

Misemo na propaganda hizo zinalenga kuwatisha watu ili wasipate baraka ya ndoa.
Uchunguzi wangu unaonyesha robo Tatu za wanandoa wanafuraha.

Wanafuraha na amani, sijasems hakuna changamoto ndogondogo lakini haimaanishi zinazidi furaha wanayoipata kwenye ndoa.

Kikawaida kitu kinachokupa furaha huwezi kukitangaza. Na ndivyo ilivyo.

Ndio maana hata wenye pesa huigiza hawapati furaha. Au hawana amani, lakini ni zuga kwa wale maskini wawaone hivyo.

Vijana, siku zote pepo na mambo mazuri huundiwa propaganda ili yabaki kuwa yawachache.

Ni kama Rais au viongozi wa wakuu wanakuambia yongozi6ni mateso lakini hawataki kuachia na wapo tayari kuua kwaajili ya kuongoza.

Wewe mtu anakuambia anateseka lakini anagangamala hujiongezi? Huna akili.

Kisaikolojia lazima ujue mwanadamu hawezi vumilia jambo lisilomnufaisha. Jiongeze

Usiwe mjinga.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Tatizo la kuishi maisha ya ndoa ni pale penzi linapofika mwisho..
Hapo ndy ndoa hugeuka shubiri..
 
Mapenzi ni uchaguzi sio Hisia.
Hisia hazina uwezo wa kudumu kwa miaka hata mitatu. Lazima mmwagane kama mtayachukulia mapenzi kama hisia.

Mapenzi kama uchaguzi ndio msingi wa kudumu kwa mahusiano
 
Lakini mbona vijana mnawadanganya kwamba kuoa ni kipengele lakini ninyi hamtaki kuvunja nyumba zaidi mnataka kuongeza mke watatu na wanne
Unamjua yule Oscar mtangazaji wa wasafi, huyo jamaaa ni bingwa wakupinga ndoa, nilipo mfatilia nikagundua yeye kaoa na mdogo wake majuzi hapa wameenda kalikua kwenye ndoa ya huyo mdogo wake nilishangaa sana, ye anawatisha vijana ilihali ye kaoa
 
Kwa Wanawake ni zaidi
Ila wanaume sio Kirilenko.

Tena wanawake Waone wewe na mkeo mnapendana sana. Na mambo yenu yanaenda. Walahi lazima wakurushie missiles
imenitokea huyo ndio maana nafahamu...shida waliporusha hizo missiles mke kaondoka na watoto je kuteseka kwa mke wangu na watoto ndio furaha yao??😳😳
 
Unamjua yule Oscar mtangazaji wa wasafi, huyo jamaaa ni bingwa wakupinga ndoa, nilipo mfatilia nikagundua yeye kaoa na mdogo wake majuzi hapa wameenda kalikua kwenye ndoa ya huyo mdogo wake nilishangaa sana, ye anawatisha vijana ilihali ye kaoa
ukitaka ushindi na fame kwenye dunia ya leo wewe simama na wapumbavu......ndicho anachokifanya oscar oscar
 
MOJA YA UONGO WATU WANAODANGANYWA NI KWAMBA WALIOPO KWENYE NDOA WANATESEKA JAMBO AMBALO SIO KWELI.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Hii Dunia inamifumo ambayo haitaki umiliki na uwe na maisha mazuri. Kwa namna hiyo zipo propaganda nyingi zinazopotosha jamii kwa lengo la kuwafanya watu wasiende kwenye vitu au mambo au maisha ya furaha.

Nitakupa mifano ya propaganda potofu, ambazo zipo mahususi kuwatisha watu na wale waoga wasile pepo wakiwa duniani;

1. Pesa haikupi furaha, au pesa ni chanzo cha maovu, au tajiri kupenya kwenye ufalme wa Mungu ni ngumu.
Hizi ni propaganda tuu za uongo kabisa. Na watu wengi huziamini.

Sisi Watibeli Pesa ni tools, silaha ambayo inaturahisishia mambo yetu.

2. Kuoa Mwanamke mrembo na mzuri sana ni kujipa magonjwa ya moyo.

Huu ni uongo mkubwa kabisa.
Lengo ni kuwatisha watu wasipate vizuri, wasifurahie maisha na wanawake wazuri.
Hakuna uhusiano wa tabia mbaya ya mwanamke na maumbile yake.
Sisi Watibeli kuoa mke mzuri ni lazima. Sio ombi.

3. Usioe mwanamke mwenye pesa au mwenye hadhi.

Mtu yeyote anayekuambia kauli hii mdharau kimoyomoyo. Au muone kama hakutakii maisha mazuri.
Kupata mwanamke mwenye pesa au hadhi ya juu kwenye maisha hiyo ni baraka na bahati pia.
Watu wote wenye Akili, wenye mamlaka, tabaka la juu wanajua kuwa mwanamke mwenye kipato au hadhi ya juu ni Tunu.

Vijana waliotoka kwenye jamii maskini na elimu duni hudanganywa sana. Na lengo ni kuwafanya wazidi kuwa maskini na waendelee kuwa vibarua na watumwa wa watu wengine.
Huwezi kuoa au kuzaa na mwanamke mwenye kipato cha juu au hadhi ya juu alafu kizazi na watoto wako wakawa hiivihivi.
Ni wazazi wachache huwaambia vijana wao mambo kama haya.

4. Wanaume Handsome boy wanasumbua na hawajatulia.
Sio kweli.
Vitu vizuri vinagharama. Na vinamilikiwa na watu wenye nguvu.
Binti unapoolewa kuchagua mbegu ni muhimu sana. Maisha ni uchaguzi.
Kama umfupi, tafuta mrefu.
Kama sura personal tafuta mwenye uso mzuri.
Kama mweupe sana tafuta mweusi au maji ya kunde.

Kuzaa watoto na kizazi kizuri ni mipango ya binadamu. Uumbaji ni wamungu lakini unatokana na wewe.
Huwezi taka mtoto chotara wa kizungu kwa kuzaa na muha wa kasulu.

Hizo ni baadhi ya propaganda.
Lakini ipo propaganda nyingine ambayo ndio mada yetu. Kwamba ndoa ni ndoano. Ndoani watu wanateseka.

Sijui wanandoa wanatamani kutoka. Sijui wanachakaa. Hawana Amani.

Misemo na propaganda hizo zinalenga kuwatisha watu ili wasipate baraka ya ndoa.
Uchunguzi wangu unaonyesha robo Tatu za wanandoa wanafuraha.

Wanafuraha na amani, sijasems hakuna changamoto ndogondogo lakini haimaanishi zinazidi furaha wanayoipata kwenye ndoa.

Kikawaida kitu kinachokupa furaha huwezi kukitangaza. Na ndivyo ilivyo.

Ndio maana hata wenye pesa huigiza hawapati furaha. Au hawana amani, lakini ni zuga kwa wale maskini wawaone hivyo.

Vijana, siku zote pepo na mambo mazuri huundiwa propaganda ili yabaki kuwa yawachache.

Ni kama Rais au viongozi wa wakuu wanakuambia yongozi6ni mateso lakini hawataki kuachia na wapo tayari kuua kwaajili ya kuongoza.

Wewe mtu anakuambia anateseka lakini anagangamala hujiongezi? Huna akili.

Kisaikolojia lazima ujue mwanadamu hawezi vumilia jambo lisilomnufaisha. Jiongeze

Usiwe mjinga.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Mateso kwa wenye ndoa ni makali ila ni kuvumilia kimya kimya. Ni kuchunga tu "maji yasifike shingoni"
 
Mapenzi ni uchaguzi sio Hisia.
Hisia hazina uwezo wa kudumu kwa miaka hata mitatu. Lazima mmwagane kama mtayachukulia mapenzi kama hisia.

Mapenzi kama uchaguzi ndio msingi wa kudumu kwa mahusiano
Ni kwl lakini lazima uwelewe kwamba kila.kitu kina date of production and date of expired..
Hata mapenzi pia yana expired date.
Ndy hapo ndoa huwa ndoano .
Kuna kipindi unaona kama mkeo sio yule aliyekuwa anakupenda na kukusikiliza,,ni kama umebadilishiwa..
Yote ni kwamba mapenzi hayapo tena,,
Imebaki mazoea tu..
 
Ni kwl lakini lazima uwelewe kwamba kila.kitu kina date of production and date of expired..
Hata mapenzi pia yana expired date.
Ndy hapo ndoa huwa ndoano .
Kuna kipindi unaona kama mkeo soo yule aliyekuwa anakupenda na kukusikiliza,,ni kama umebadilishiwa..
Yote ni kwamba mapenzi hayapo tena,,
Imebaki mazoea tu..

Unachoeleza ni sahihi katika upande wa Hisia.
Lakini kwenye maamuzi ni ishu nyingine.
Mtu akiamua kupotea au kufuata njia ameamua.

Mapenzi ni uchaguzi yenye maamuzi
 
Back
Top Bottom