Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #21
Wito wangu kwenye ndoa usiingie na matarajio makubwa sana, wala usidhani unaenda kuishi na malaika. Penda kwa kutumia akili na sio moyo
hiyo ni ukweli mtupu, watu wengi wasio kwenye ndoa huwaonea wivu watu walio kwenye ndoa hasa wanawake wanaoneana wivu sana
HakikaPia wasome kisa cha CEO wa Apollo Global Management.
Mkuu, ukikua utaelewa kwamba tuliambiwa tuishi nao kwa akili.
Kwa kifupi, failure zote za mwanadamu zimesababishwa na mwanamke
Jaribu kusoma riwaya kama za ADAM na EVA na SAMSON na DELILAH,
KweliSasa kijana akishafanya kazi Anakosaje hela.
Mwanaume na mtu timamu lazima afanye kazi ya uzalishaji. Na ukishafanya kazi mambo mengi dunia hii yatakuwa mepesi.
Usipofanya kazi. Kila kitu dunia hii kitakushinda. Sio ndoa tuu
Issue ya ndoa iko a bit trickyHapana!
Kuanguka kwa Dunia Failure ni sisi Wanaume.
Ushaambiwa wewe ndiye mtawala, kichwa cha familia.
Ukifeli umefeli wewe sio wale unaowaongoza.
Ndio maana hata sasa Unaona anayelaumiwa kwenye nchi yetu ni Rais Samia, kwa sababu yeye ndiye kiongozi
Anakuambia hii miaka 5 ikiisha sigombei tena. Ikikaribia uchaguzi inatokea drama eti bodaboda wameamua kumchukulia fomu tena na kumlazimisha aendelee. 😄Au mtu anakuambia uongozi ni mateso😀😀😃
Anakuambia hii miaka 5 ikiisha sigombei tena. Ikikaribia uchaguzi inatokea drama eti bodaboda wameamua kumchukulia fomu tena na kumlazimisha aendelee. 😄
naonga mkono hoja
pamoja KICHWA CHA HABARI.
vijana waoe ila OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
Issue ya ndoa iko a bit tricky
Watu wengi wako kwenye ndoa kwasababu kumuacha mwenzi wao kuna gharama kubwa, either be socially or economically or politically or theologically.
Kwa kiasi kikubwa ndoa nyingi zimeshikiliwa na UVUMILIVU na kukosa UTHUBUTU
Wenzetu walioendelea, wanakupigisha divorce chap kwa haraka
Kimsingi, wanandoa wengi wanateseka. SITAKUFUNDISHA TENA
Naona unawashawishi vijana nao walambe waya wa umeme kama wewe 😊
Naunga hoja mkono kichwa na miguu
Mkuu hili Tamasha la Kizimkazi, essence au chimbuko lake ni nini?Naunga mkono hoja
Sijalifuatilia mkuu, mimi na huyo mama yenu ni paka na panyaMkuu hili Tamasha la Kizimkazi, essence au chimbuko lake ni nini?
Hili jambo linaweza kuamuliwa kisayansi kwa tafiti ndogo tu OPINION POLLHakuna kitu kama hicho
Saikolojia ya binadamu aliyehuru haiko hivyo.
Binadamu aliyehuru hawezi vumilia maumivu na mateso kama hanufaiki, hana maslahi. Maslahi yanazidi hayo mateso ndio maana anabaki.
Maslahi ndio furaha yenyewe.