Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #41
Hili jambo linaweza kuamuliwa kisayansi kwa tafiti ndogo tu OPINION POLL
Tupate wanandoa 100 watuambie kwanini wako kwenye ndoa mpaka leo, you will be shocked
Mazingira yetu huku bado yako kinafki sana, ila tunaanza kupata figure kubwa sana ya divorce haswa mijini
Mwaka wa kwanza wa ndoa mpaka wa tano hakuna shida na kila mmoja anajitahidi kwa upande wake.
Mwaka wa tano mpaka wa kumi ubize wa kulea watoto wapya,, furaha na amani zinatawala muda huo.
Mwaka wa 10 mpaka 15.
Muda wa malezi hapa kila mmoja anamjua mwenzie nje ndani. karaha za malezi zinamuelemea zaidi mama!!!!!
Hapa ndio wanaume wengi hugeukia michepuko kwa kisingizio mama analea staki kumsumbua.
Kupitia michepuko baba atabadilika na mama hakuna rangi ataacha kuiona!!!! hapa ndio huwa tunaitwa wachafu, hatuna akili, wazembe.
Mwaka wa 20 na kuendelea.
Mama kalea kamaliza watoto wakubwa,, menopause kaingia minyege kama yote!!!! mama muda huo yuko 40+ anajiamini balaa mama anaanza kuishi. bila kusahau hajasahau vipindi vyote alivyopitishwa na ba mjengo.
Muda huu baba kakitembeza kaamua kutulia na si kutulia bali hakuishi health life vimagonjwa vya hapa na pale vimeshaanza!!!!
ba mjengo uchumi wa kitanzania na hana baba wala mama inabidi awe mpole tu kwa wife hana namna atakimbilia wapi?!. uzee na ugonjwa vimeshaingia........
wife yeye ndio kwanza kaanza kuishi usisahau life begins at 40. na sisi wanawake huwa tunatunza makosa yoote kwenye memory card zetu.
niiishie hapa kwanza nitarudi
Sawa kabisa uko sahihi.😆😁😁
Hizo ni changamoto za ndoa lakini bado haziondoi utamu wa ndoa.
Kuna utamu na convenienceDivorce sio sababu ya kusema ndoa sio Tamu mkuu.
Ndio maana hao wanapeana Divorce robo Tatu yao huhitaji kurudi tena ndoani.
Kama ndoa sio Tamu unafikiri kwa nini waliowahi kuoa na kuolewa wanataka kurudi tena kwenye buyu la asali?
Wanasema eti adui muombee ndoa.
Ila hilo la wanaume mahendsam ni kweli wanasumbua. Mwanamke akiwa mzuri atatongozwa sana ila ana uwezo wa kuruka viunzi vya ibilisi ila sio kwa mwanaum.
Kuna utamu na convenience
Set up ya ndoa inatupunguzia sisi wanaume kazi nyingi za nyumbani kama kufua, kupika, kusafisha nyumba na kulea watoto.
Naturally, kwetu sisi ndoa is a trap, ila ukitazama critically ni scam. Women are the one tends to benefit kwenye hiyo set up and they are legally protected.
Imagine, sheria inasema, domestic services rendered by a house wife are contribution towards acquisition of matrimonial properties. THIS IS VERY SERIOUS LEGAL FLAW
Mimi nikiwa Billionaire nita share wealthy yangu na mtu aliyekua anafanya kazi za ndani na kutoa papuchi
Angalia kesi ya Bill Gates and Jeff Bezos very disappointing. In as much as unataka utamu, ila ndoa isiwe option
Hii tunaijuaNawaondoa kwenye mitego mnayowatisha ili wasifurahie maisha
Kuna kipindi nilifanya kazi sehemu, nikiwa nyumbani kila nikifikiria kesho natakiwa kwenda kazini natamani kulia, ile kazi nilikuwa naichukia ilifika mahali natamani hata niumwe ili nisiende kazini ila sikuacha kwa sababu nilikuwa sina namna nyingine ya kupata kipato. Hadi nilipopata mbadala ndio nikaondoka.... Unaweza kuwa uko mahali kwa sababu tu huna option ambayo ni bora zaidi kuliko pale ulipo, naamini ndoa ni tamu lakini sio kila ndoa iko hivyo, zingine ni chunguHakuna kitu kama hicho
Saikolojia ya binadamu aliyehuru haiko hivyo.
Binadamu aliyehuru hawezi vumilia maumivu na mateso kama hanufaiki, hana maslahi. Maslahi yanazidi hayo mateso ndio maana anabaki.
Maslahi ndio furaha yenyewe.
Hii tunaijua
Je haya ni mawazo yako binafsi au ni ya WATIBELI wote?Mkuu hizo kazi ni vitu vidogo na vyakawaida sana.
Huwaga nashangaa kuona mwanaume ati anaona kazi kama kufua, kupika au kupika ni kazi ya mke au ya mwanamke. Jambo ambalo sio kweli.
Kupika hata wewe unaweza kuzifanya. Tena mkiwa pamoja inakuwa fresh.
Matatizo ya ndoa mengi yapo kwenye mindset potofu.
Kugawana mali na mwanamke sio tatizo kabisa.
Ndio maana sisi Watibeli tunaoa wanawake wanaozalisha mali na wenye fikra za uzalishaji.
Ndio maana hata ikitokea tumeachana sisi hatuoni tatizo kugawana.
Kugawana mali ni kipengele kwa wanaume wenye mtazamo kwamba mke ni Mama wa nyumbani au muosha vyombo au anayefanya kazi zisizo za uzalishaji.
Tangu mwanzo, mimi kama Mtibeli ninahubiri kuhusu wanawake kujitegemea nikiwa naangazia angle nyingi
Weka akilini, mwanamke kama hakupendi ni hakupendi tuu iwe anamali au hana
Kuna kipindi nilifanya kazi sehemu, nikiwa nyumbani kila nikifikiria kesho natakiwa kwenda kazini natamani kulia, ile kazi nilikuwa naichukia ilifika mahali natamani hata niumwe ili nisiende kazini ila sikuacha kwa sababu nilikuwa sina namna nyingine ya kupata kipato. Hadi nilipopata mbadala ndio nikaondoka.... Unaweza kuwa uko mahali kwa sababu tu huna option ambayo ni bora zaidi kuliko pale ulipo, naamini ndoa ni tamu lakini sio kila ndoa iko hivyo, zingine ni chungu
Je haya ni mawazo yako binafsi au ni ya WATIBELI wote?
Eti kuoa pisi kali ni sawa na kulima shamba la miwa pembeni ya shule
Ila now days watu wanadunguana sanaa ... ka huamini badilishaneni simu na mpenzi/mwenza wako kwa saa 24
Uzi wa Jana umekutouch hadi umeja kuujibu3. Usioe mwanamke mwenye pesa au mwenye hadhi.
Mtu yeyote anayekuambia kauli hii mdharau kimoyomoyo. Au muone kama hakutakii maisha mazuri.
Uzi wa Jana umekutouch hadi umeja kuujibu