Moja ya uongo watu wanaodanganywa ni kwamba waliopo kwenye ndoa wanateseka jambo ambalo sio kweli

Mara zote ni wale walioachika (hasa wanawake) ndio husambaza hii sumu like wanajribu kuwasaidia wemfine kumbe kiuhalisia wanataka na wenzao wawe kama wao. Yan wanachuki kuona wao wame fail so na wengine(wanawake) wakose kama wao

Sahihi kabisa
Alafu wenyewe wakiona watu wanafuraha watakuambia wana fake 😀😃😃
 
Nimetumwa niulize ☺️

View attachment 3650110

Hakunaga waliooa wenye muda na wasiooa.
Labda anazungumzia wazazi wake wanashangaa kwa nini vijana na mabinti hawataki kuoa au kuolewa wakati ndoa ni jambo zuri na tamu.

Wanapataje matunda ya ndoa? Ndio maana wanaambiwa waoe/waolewe kwa sababu ni hakika binadamu wa kawaida hawezi ishi bila kuyaonja matunda ya ndoa ambayo ni kama Sex, watoto, kampani ya mapenzi n.k
 
Hayo yote Ni ukweli


Kiufupi ndoa NI utapeli,kuoa na Sawa Sawa na kuchukua matatizo sehemu nyingine kisha kujipachika Halafu yanaanza kukumaliza taratibu,unakuja kushtuka umebaki masikini na maradhi ya non communicable
 
Tatizo la kuishi maisha ya ndoa ni pale penzi linapofika mwisho..
Hapo ndy ndoa hugeuka shubiri..
 
Tatizo la kuishi maisha ya ndoa ni pale penzi linapofika mwisho..
Hapo ndy ndoa hugeuka shubiri..

Mapenzi ni uchaguzi sio Hisia.
Hisia hazina uwezo wa kudumu kwa miaka hata mitatu. Lazima mmwagane kama mtayachukulia mapenzi kama hisia.

Mapenzi kama uchaguzi ndio msingi wa kudumu kwa mahusiano
 
Lakini mbona vijana mnawadanganya kwamba kuoa ni kipengele lakini ninyi hamtaki kuvunja nyumba zaidi mnataka kuongeza mke watatu na wanne
Unamjua yule Oscar mtangazaji wa wasafi, huyo jamaaa ni bingwa wakupinga ndoa, nilipo mfatilia nikagundua yeye kaoa na mdogo wake majuzi hapa wameenda kalikua kwenye ndoa ya huyo mdogo wake nilishangaa sana, ye anawatisha vijana ilihali ye kaoa
 
Kwa Wanawake ni zaidi
Ila wanaume sio Kirilenko.

Tena wanawake Waone wewe na mkeo mnapendana sana. Na mambo yenu yanaenda. Walahi lazima wakurushie missiles
imenitokea huyo ndio maana nafahamu...shida waliporusha hizo missiles mke kaondoka na watoto je kuteseka kwa mke wangu na watoto ndio furaha yao??😳😳
 
Unamjua yule Oscar mtangazaji wa wasafi, huyo jamaaa ni bingwa wakupinga ndoa, nilipo mfatilia nikagundua yeye kaoa na mdogo wake majuzi hapa wameenda kalikua kwenye ndoa ya huyo mdogo wake nilishangaa sana, ye anawatisha vijana ilihali ye kaoa
ukitaka ushindi na fame kwenye dunia ya leo wewe simama na wapumbavu......ndicho anachokifanya oscar oscar
 
Mateso kwa wenye ndoa ni makali ila ni kuvumilia kimya kimya. Ni kuchunga tu "maji yasifike shingoni"
 
Mapenzi ni uchaguzi sio Hisia.
Hisia hazina uwezo wa kudumu kwa miaka hata mitatu. Lazima mmwagane kama mtayachukulia mapenzi kama hisia.

Mapenzi kama uchaguzi ndio msingi wa kudumu kwa mahusiano
Ni kwl lakini lazima uwelewe kwamba kila.kitu kina date of production and date of expired..
Hata mapenzi pia yana expired date.
Ndy hapo ndoa huwa ndoano .
Kuna kipindi unaona kama mkeo sio yule aliyekuwa anakupenda na kukusikiliza,,ni kama umebadilishiwa..
Yote ni kwamba mapenzi hayapo tena,,
Imebaki mazoea tu..
 

Unachoeleza ni sahihi katika upande wa Hisia.
Lakini kwenye maamuzi ni ishu nyingine.
Mtu akiamua kupotea au kufuata njia ameamua.

Mapenzi ni uchaguzi yenye maamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…