Moja ya uongo watu wanaodanganywa ni kwamba waliopo kwenye ndoa wanateseka jambo ambalo sio kweli

Shetani ni mbaya sana, haijawahi tokea tajiri akawaambia maskini strategy ya kweli ya mafanikio

Ndoa ni baraka kubwa, vijana walio kwenye zinaa wanajidanganya wenyewe ili wabaki kwenye shimo la anguko lao
 
Ni kweli Kabisa.
Alafu wanaotangaza hayo wanalenga kuzototesha nguvu za waliochini
 
Unamjua yule Oscar mtangazaji wa wasafi, huyo jamaaa ni bingwa wakupinga ndoa, nilipo mfatilia nikagundua yeye kaoa na mdogo wake majuzi hapa wameenda kalikua kwenye ndoa ya huyo mdogo wake nilishangaa sana, ye anawatisha vijana ilihali ye kaoa

Hata humu Kataa ndoa ninaowajua wameoa na wanaishi vizuri tuuπŸ˜„πŸ˜πŸ˜πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…