Netanyahu anajuta kumshika masikio Trump. Kwa sasa bado anajifanya kichwa ngumu, lkn siku Marekani akiona gharama za vita zinamzidia na kuamua kujitoa, hapo ndo Israel kenge wataita mjusi, na mamba wataita kenge.Hotuba yake imesomwa kwenye vyombo vya habari na haya ndiyo yaliyojiri:-
Kiongozi Mkuu mpya wa Iran amezungumza sasa hivi, na ni mbaya zaidi kuliko nilivyotarajia. Kauli kuu:
1.“Vituo vyote vya Marekani vinapaswa kufungwa mara moja katika eneo hilo, vituo hivyo vitashambuliwa”
2.“Tutapata fidia kutoka kwa adui. Ikiwa watakataa, tutachukua mali zao kwa kiwango tunachofikiri kinachofaa, na ikiwa hiyo haiwezekani, tutaharibu kiasi sawa cha mali zao”
3."Tumefanikiwa kuzuia majaribio ya kugawa nchi”
4."Mlango wa Hormuz lazima ubaki umefungwa”
5.“Nchi za eneo hilo zinapaswa kufafanua msimamo wao kuhusu wale waliovamia Iran”
6"Mazungumzo yanaendelea kuhusu kufungua vituo vingine vipya katika maeneo ambapo adui ana uzoefu mdogo na yuko hatarini sana. Vituo hivi vipya vinaweza kuamilishwa ikiwa hali ya vita itaendelea na ikiwa itaonekana inafaa”
Kwa ufupi: Yeye ni mgumu zaidi kuliko baba yake, madai yake kwa Marekani ni makubwa, na yuko tayari (mtu anaweza kusema anapendelea) vita virefu. Kuchukua kauli hii kwa uzito wake halisi, mambo yanaelekea kuongezeka sana.
Huyu hajapewa u Ayatollah, bali ni Kiongozi Mkuu wa Iranjina lake kamili ni ayatollah mojtaba ali khamenei mtoto wa ali khamenei siyo?
mbona kulikuwa na makubaliano kuwa uayatollah hautakuwa wa kurithishana kama ufalme baada ya mapinduz ya 1976?
Je yupo hai? Kama yuko hai majeraha yake ni makubwa kiasi gani? Je yuko kwenye coma?Hotuba yake imesomwa kwenye vyombo vya habari na haya ndiyo yaliyojiri:-
Kiongozi Mkuu mpya wa Iran amezungumza sasa hivi, na ni mbaya zaidi kuliko nilivyotarajia. Kauli kuu:
1.“Vituo vyote vya Marekani vinapaswa kufungwa mara moja katika eneo hilo, vituo hivyo vitashambuliwa”
2.“Tutapata fidia kutoka kwa adui. Ikiwa watakataa, tutachukua mali zao kwa kiwango tunachofikiri kinachofaa, na ikiwa hiyo haiwezekani, tutaharibu kiasi sawa cha mali zao”
3."Tumefanikiwa kuzuia majaribio ya kugawa nchi”
4."Mlango wa Hormuz lazima ubaki umefungwa”
5.“Nchi za eneo hilo zinapaswa kufafanua msimamo wao kuhusu wale waliovamia Iran”
6"Mazungumzo yanaendelea kuhusu kufungua vituo vingine vipya katika maeneo ambapo adui ana uzoefu mdogo na yuko hatarini sana. Vituo hivi vipya vinaweza kuamilishwa ikiwa hali ya vita itaendelea na ikiwa itaonekana inafaa”
Kwa ufupi: Yeye ni mgumu zaidi kuliko baba yake, madai yake kwa Marekani ni makubwa, na yuko tayari (mtu anaweza kusema anapendelea) vita virefu. Kuchukua kauli hii kwa uzito wake halisi, mambo yanaelekea kuongezeka sana.
Hana cha kupoteza mkuu, hapo alitoa hotuba yupo ICU maana alikoswa koswa kifo siku baba yake anauwawa.Ni sawa la muda lazima ataliwa kichwa.
Hiyo inaitwa strategic ambiguity yaani hukatai wala hukubali maana kama hajafa ila wayahudi wanahisi kafa ni advantage kwa Iran maana Ayatollah atakua secured. Pia wakisema ameumia sana inampa advantage asionekane muoga au kujificha!!Je yupo hai? Kama yuko hai majeraha yake ni makubwa kiasi gani? Je yuko kwenye coma?
Maswali ni mengi zaidi ya majibu na hiyo statement hakuna uhakika kama imetoka kwake au kwa kamati yake ya ulinzi. Kama wanamficha ili kumlinda asiuawe watamficha mpaka lini?
Let's wait and see.
jina lake kamili ni ayatollah mojtaba ali khamenei mtoto wa ali khamenei siyo?
mbona kulikuwa na makubaliano kuwa uayatollah hautakuwa wa kurithishana kama ufalme baada ya mapinduz ya 1976?
Huyu hana tofauti na Chemical Ally, yule mpambe na mpiga propaganda wa marehemu Sadam HusseinKwa ufupi: Yeye ni mgumu zaidi kuliko baba yake
Let's wait and see what the undercover and double agents will come up with.Hiyo inaitwa strategic ambiguity yaani hukatai wala hukubali maana kama hajafa ila wayahudi wanahisi kafa ni advantage kwa Iran maana Ayatollah atakua secured. Pia wakisema ameumia sana inampa advantage asionekane muoga au kujificha!!
Either way it's a good strategy
Tena huu msimamo bado ni laini sana kwa Ayatullah Mojtaba.Mbali ya kuihami Iran, Yeye amepoteza baba ,Mke na mtoto unadhani damu yake itakuwa inachemka kiasi gani. We need more than this!Hotuba yake imesomwa kwenye vyombo vya habari na haya ndiyo yaliyojiri:-