M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Tena huu msimamo bado ni laini sana kwa Ayatullah Mojtaba.Mbali ya kuihami Iran, Yeye amepoteza baba ,Mke na mtoto unadhani damu yake itakuwa inachemka kiasi gani. We need more than this!
Tena huu msimamo bado ni laini sana kwa Ayatullah Mojtaba.Mbali ya kuihami Iran, Yeye amepoteza baba ,Mke na mtoto unadhani damu yake itakuwa inachemka kiasi gani. We need more than this!
Haujui Iran ya kale yaani persia imewahi kuwa superpower ya dunia ila mbona haikufanya hayo? Otherwise hao wayahudi wenu wangeshateketezwa kitambo tuHizi nchi kama Iran zingekuwa superpower dunia nzima tungesalishwa mara tano na kile kitoweo pendwa kingekuwa marufuku,wapigwe tuu
Halafu bado mnasema ana msimamo mkali zaidi.Haitoshi !!.
Ajitokeze sasa asome hotuba kama kiongozi wa nchi anakaa shimoni kama panyaHotuba yake imesomwa kwenye vyombo vya habari na haya ndiyo yaliyojiri:-
Kiongozi Mkuu mpya wa Iran amezungumza sasa hivi, na ni mbaya zaidi kuliko nilivyotarajia. Kauli kuu:
1.“Vituo vyote vya Marekani vinapaswa kufungwa mara moja katika eneo hilo, vituo hivyo vitashambuliwa”
2.“Tutapata fidia kutoka kwa adui. Ikiwa watakataa, tutachukua mali zao kwa kiwango tunachofikiri kinachofaa, na ikiwa hiyo haiwezekani, tutaharibu kiasi sawa cha mali zao”
3."Tumefanikiwa kuzuia majaribio ya kugawa nchi”
4."Mlango wa Hormuz lazima ubaki umefungwa”
5.“Nchi za eneo hilo zinapaswa kufafanua msimamo wao kuhusu wale waliovamia Iran”
6"Mazungumzo yanaendelea kuhusu kufungua vituo vingine vipya katika maeneo ambapo adui ana uzoefu mdogo na yuko hatarini sana. Vituo hivi vipya vinaweza kuamilishwa ikiwa hali ya vita itaendelea na ikiwa itaonekana inafaa”
Kwa ufupi: Yeye ni mgumu zaidi kuliko baba yake, madai yake kwa Marekani ni makubwa, na yuko tayari (mtu anaweza kusema anapendelea) vita virefu. Kuchukua kauli hii kwa uzito wake halisi, mambo yanaelekea kuongezeka sana.
Hakuna ajuaye hali yake ikoje, kama majeraha aliyo nayo ni makubwa kiasi gani au kama bado yuko kwenye coma fahamu hazijarudi kama some speculations zinavyodai au kama keshakata kamba au yuko salama ila kafichwa tu kimkakati. Nobody knows anything labda tu watu wake wa karibu.Halafu bado mnasema ana msimamo mkali zaidi.Haitoshi !!.
Hajarithi. Amekuwa vetted na kukidhi vigezo kivyake. He just happened to be a son of his predecessor.jina lake kamili ni ayatollah mojtaba ali khamenei mtoto wa ali khamenei siyo?
mbona kulikuwa na makubaliano kuwa uayatollah hautakuwa wa kurithishana kama ufalme baada ya mapinduz ya 1976?
Endelea kuota ndoto za mwendawazimu!!Netanyahu anajuta kumshika masikio Trump. Kwa sasa bado anajifanya kichwa ngumu, lkn siku Marekani akiona gharama za vita zinamzidia na kuamua kujitoa, hapo ndo Israel kenge wataita mjusi, na mamba wataita kenge.
Iran atapata mwanya wa kujitandikia kila siku hadi dunia nzima itaingilia kati kuichangia Iran ili kuiokoa Israel.
Ogopa nchi inayotwangana na mataifa mawili ambayo Ulaya nzima wakati wa issue ya Greenland waliiogopa.
Sijui kama yu na afya njema,japo mie sina ubaya naeHotuba yake imesomwa kwenye vyombo vya habari na haya ndiyo yaliyojiri:-
Kiongozi Mkuu mpya wa Iran amezungumza sasa hivi, na ni mbaya zaidi kuliko nilivyotarajia. Kauli kuu:
1.“Vituo vyote vya Marekani vinapaswa kufungwa mara moja katika eneo hilo, vituo hivyo vitashambuliwa”
2.“Tutapata fidia kutoka kwa adui. Ikiwa watakataa, tutachukua mali zao kwa kiwango tunachofikiri kinachofaa, na ikiwa hiyo haiwezekani, tutaharibu kiasi sawa cha mali zao”
3."Tumefanikiwa kuzuia majaribio ya kugawa nchi”
4."Mlango wa Hormuz lazima ubaki umefungwa”
5.“Nchi za eneo hilo zinapaswa kufafanua msimamo wao kuhusu wale waliovamia Iran”
6"Mazungumzo yanaendelea kuhusu kufungua vituo vingine vipya katika maeneo ambapo adui ana uzoefu mdogo na yuko hatarini sana. Vituo hivi vipya vinaweza kuamilishwa ikiwa hali ya vita itaendelea na ikiwa itaonekana inafaa”
Kwa ufupi: Yeye ni mgumu zaidi kuliko baba yake, madai yake kwa Marekani ni makubwa, na yuko tayari (mtu anaweza kusema anapendelea) vita virefu. Kuchukua kauli hii kwa uzito wake halisi, mambo yanaelekea kuongezeka sana.
Hana cha kupoteza mkuu, hapo alitoa hotuba yupo ICU maana alikoswa koswa kifo siku baba yake anauwawa.
Aisee MkuuTena huu msimamo bado ni laini sana kwa Ayatullah Mojtaba.Mbali ya kuihami Iran, Yeye amepoteza baba ,Mke na mtoto unadhani damu yake itakuwa inachemka kiasi gani. We need more than this!
Sasa kama alikoswa koswa kufa pengine hana mguu au kaumia viungo vya ndani sasa kuna nini kingine cha kupoteza? Maana angekua ameshakufa hata wakati hakuwa kiongozi wala tishio kwa Israel.Unapoteza uhai unasema huna chakupotezza?
Hapa duniani hakuna cha thamani zaidi ya uhai wako
Kuna possibilities zote kuwa aweza kuwa amekufa pia. Tuzidi kusubiriJe yupo hai? Kama yuko hai majeraha yake ni makubwa kiasi gani? Je yuko kwenye coma?
Maswali ni mengi zaidi ya majibu na hiyo statement hakuna uhakika kama imetoka kwake au kwa kamati yake ya ulinzi. Kama wanamficha ili kumlinda asiuawe watamficha mpaka lini?
Let's wait and see.
Ni bora hao wako wazi kuliko ujambazi wa ccmjina lake kamili ni ayatollah mojtaba ali khamenei mtoto wa ali khamenei siyo?
mbona kulikuwa na makubaliano kuwa uayatollah hautakuwa wa kurithishana kama ufalme baada ya mapinduz ya 1976?