Mojtaba Khamenei atoa msimamo mkali kuhusu vita kwa njia ya maandishi

Mojtaba Khamenei atoa msimamo mkali kuhusu vita kwa njia ya maandishi

Pole yako. Khamenei hakutakaga Mojtaba awe kiongozi hata wosia wake unasema hivyo ukimtaja kutokuwa na wisdom.
Na una ushahidi upi kama Ebrahim Raisi aliuawa na baraza la mapinduzi!?
Kama Ayatollah alimuandaa Mujtaba si angemrithisha kipindi yupo hai? Kwanini aje kupigiwa kura ikiwa mzee ameshafariki!?
Upo nyuma ya wakati shekhe matopetope wa masjid kuba.
 
Kiongoz mkuu wa iran si ndo ayatollah au?
Kweli. Mpaka anachaguliwa alikuwa hajafikia u-Ayatollah, ila baada ya kupata hiyo nafasi anakuwa addressed kama Ayatollah
 
Hiyo siku haitakaa ije, labda marekani wafilisike kiuchumi.

Symbiotic relation between us na israel si rahis kuivunja, wote kuna vitu wanafaid kutoka kwa mwenzie
Huo ndiyo ukweli. Mayahudi duniani wana influence kubwa kwenye mchakato wa kumpata rais wa Marekani, all the time
 
Kweli. Mpaka anachaguliwa alikuwa hajafikia u-Ayatollah, ila baada ya kupata hiyo nafasi anakuwa addressed kama Ayatollah
kwa hyo hakukuwa na ayatollah iran mpaka mojtaba akapandishwa kuwa ayatollah kwa mfumo wa voda fasta?
 
Netanyahu anajuta kumshika masikio Trump. Kwa sasa bado anajifanya kichwa ngumu, lkn siku Marekani akiona gharama za vita zinamzidia na kuamua kujitoa, hapo ndo Israel kenge wataita mjusi, na mamba wataita kenge.

Iran atapata mwanya wa kujitandikia kila siku hadi dunia nzima itaingilia kati kuichangia Iran ili kuiokoa Israel.

Ogopa nchi inayotwangana na mataifa mawili ambayo Ulaya nzima wakati wa issue ya Greenland waliiogopa.
Amka utajikojolea kumekucha....hizo ndoto
 
Back
Top Bottom