Mojtaba Khamenei atoa msimamo mkali kuhusu vita kwa njia ya maandishi

Hizi nchi kama Iran zingekuwa superpower dunia nzima tungesalishwa mara tano na kile kitoweo pendwa kingekuwa marufuku,wapigwe tuu
Haujui Iran ya kale yaani persia imewahi kuwa superpower ya dunia ila mbona haikufanya hayo? Otherwise hao wayahudi wenu wangeshateketezwa kitambo tu
 
Ajitokeze sasa asome hotuba kama kiongozi wa nchi anakaa shimoni kama panya

Hasira za kufiwa na baba yake asilete kwenye vita ya kimataifa
Atulize akili
 
Halafu bado mnasema ana msimamo mkali zaidi.Haitoshi !!.
Hakuna ajuaye hali yake ikoje, kama majeraha aliyo nayo ni makubwa kiasi gani au kama bado yuko kwenye coma fahamu hazijarudi kama some speculations zinavyodai au kama keshakata kamba au yuko salama ila kafichwa tu kimkakati. Nobody knows anything labda tu watu wake wa karibu.
 
Mi paragraph namba sita siajelewa tafadhali alieelewa anieleweshe
 
Kiongozi mkuu mpya wa Iran Majitaka Khamenei alitoa ujumbe wake wa kwanza tangu achukue madaraka, lakini hakuonekana hadharani. Taarifa hiyo ilisomwa na mtangazaji kwenye televisheni ya taifa ya Iran, na kuibua maswali kuhusu hali yake na mahali alipojificha.

Katika ujumbe huo, Khamenei aliapa "kulipiza kisasi kwa damu" ya Wairani waliouawa katika mashambulizi ya Marekani na Israeli na kutoa wito wa kuendelea kutumia "njia ya kuzuia Mlango-Bahari wa Hormuz." Pia alionya kwamba Iran itaendelea kulenga kambi za Marekani katika eneo hilo na kuwasifu washirika wake ikiwa ni pamoja na Hezbollah, Houthi, na wanamgambo wa Iraq.
 

Attachments

  • IMG_20260313_045703_872.jpg
    105.4 KB · Views: 16
Hali Tete I
i Sana Iran Kuonekana Hadharani
Unajipunguzia Umri Wa Kuoshi
kuishi, Bora Uungurume Ndani Ya Bunker Taratibu
LLaylatul~Qadir
 
Endelea kuota ndoto za mwendawazimu!!
 
Sijui kama yu na afya njema,japo mie sina ubaya nae
 
Kuna possibilities zote kuwa aweza kuwa amekufa pia. Tuzidi kusubiri
 
jina lake kamili ni ayatollah mojtaba ali khamenei mtoto wa ali khamenei siyo?

mbona kulikuwa na makubaliano kuwa uayatollah hautakuwa wa kurithishana kama ufalme baada ya mapinduz ya 1976?
Ni bora hao wako wazi kuliko ujambazi wa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…