Umekosea. Mpiga propaganda wa Sadam Hussein alikuwa anaitwa Mohammed Saeed al-Sahhaf. Chemical Ally alikuwa Ali Hassan Al Majid ambaye alikuwa Jenerali wa jeshi na kazi yake kubwa ilikuwa kuwamwagia chemical za sumu wapinzani wa SaddamHuyu hana tofauti na Chemical Ally, yule mpambe na mpiga propaganda wa marehemu Sadam Hussein
you just cant be seriousHajarithi. Amekuwa vetted na kukidhi vigezo kivyake. He just happened to be a son of his predecessor.
Kiongoz mkuu wa iran si ndo ayatollah au?Huyu hajapewa u Ayatollah, bali ni Kiongozi Mkuu wa Iran
ccm haijawai sema kuwa hakuna kurithishana uongozi ila baada ya mapinduz ya 1976 ilisemekana uayatollah hautakuwa wa kurithishana kama ufalme, unajua sababu ya yule rais wa iran aliyepotea kwa chopa?Mbona CCM wanarithishana madaraka mkuu? Mama anamteua mwanae, mkwewe na shemeji zake.
Kama wao wameona kwa sasa Mojtaba ndie anawafaa, ni wao.
Kama ambavyo CCM, imeona huyu mama anafaa na hamna haja ya uchaguzi mpaka 2030.
Some people wanadhani kuna guarantee of life!Sasa kama alikoswa koswa kufa pengine hana mguu au kaumia viungo vya ndani sasa kuna nini kingine cha kupoteza? Maana angekua ameshakufa hata wakati hakuwa kiongozi wala tishio kwa Israel.
Kabla haujaongea huo upuuzi Iran ni nchi ya pili middle east yenye wayahudi wengi baada ya Israel wakiishi na kuabudu kwa uhuru.Hizi nchi kama Iran zingekuwa superpower dunia nzima tungesalishwa mara tano na kile kitoweo pendwa kingekuwa marufuku,wapigwe tuu
Kapigiwa kura acha ubishi.you just cant be serious
Tuambie wewe Ebrahim Raisi aliyekufa kwa ajali ya chopa kisa chake kikoje!?ccm haijawai sema kuwa hakuna kurithishana uongozi ila baada ya mapinduz ya 1976 ilisemekana uayatollah hautakuwa wa kurithishana kama ufalme, unajua sababu ya yule rais wa iran aliyepotea kwa chopa?
ccm ni ukoo wa panya, uayatollah nao pia?
Hiyo siku haitakaa ije, labda marekani wafilisike kiuchumi.Netanyahu anajuta kumshika masikio Trump. Kwa sasa bado anajifanya kichwa ngumu, lkn siku Marekani akiona gharama za vita zinamzidia na kuamua kujitoa, hapo ndo Israel kenge wataita mjusi, na mamba wataita kenge.
Iran atapata mwanya wa kujitandikia kila siku hadi dunia nzima itaingilia kati kuichangia Iran ili kuiokoa Israel.
Ogopa nchi inayotwangana na mataifa mawili ambayo Ulaya nzima wakati wa issue ya Greenland waliiogopa.
Rais ndo alikuwa ayatollah ajaye, khamenei alishamuandaa mojtaba, akapunguza competetionTuambie wewe Ebrahim Raisi aliyekufa kwa ajali ya chopa kisa chake kikoje!?
Kama amerithishwa tu wangemteua kiongozi wa mpito ili wafanye uchaguzi!??
Wabongo mnatumiaga akili gani aisee!?
ameshindanishwa na nani? kwa hyo kupigiwa kura na wanazuoni kunaondoa dhana ya kutokurithishwa siyo?Kapigiwa kura acha ubishi.
Jopo la wanazuoni la Iran likamuona yeye anafaa.
Sasa hapo amerithishwa vipi?
Opening a new church in Iran is generally not possible for converts, as only recognized historical minority religions (Christianity, Judaism, Zoroastrianism) can worship in established, state-sanctioned locations, and converting from Islam is forbiddenKabla haujaongea huo upuuzi Iran ni nchi ya pili middle east yenye wayahudi wengi baada ya Israel wakiishi na kuabudu kwa uhuru.
Achilia mbali mamilioni ya wakristo wanaoishi na kuabudu kwa uhuru.
Hivyo udini unawatoa akili mnakua WENDAWAZIMU kwa kulazimisha uongo.
Pole yako. Khamenei hakutakaga Mojtaba awe kiongozi hata wosia wake unasema hivyo ukimtaja kutokuwa na wisdom.Rais ndo alikuwa ayatollah ajaye, khamenei alishamuandaa mojtaba, akapunguza competetion
Unafahamu maana ya kurithisha!?ameshindanishwa na nani? kwa hyo kupigiwa kura na wanazuoni kunaondoa dhana ya kutokurithishwa siyo?
Kuna converts more than 500k in Iran na wame establish church pasi na shida yeyote.Opening a new church in Iran is generally not possible for converts, as only recognized historical minority religions (Christianity, Judaism, Zoroastrianism) can worship in established, state-sanctioned locations, and converting from Islam is forbidden
. Consuming pork is illegal and prohibited in Iran, with pork products virtually unavailable.
Kuna converts more than 500k in Iran na wame establish church pasi na shida yeyote.Opening a new church in Iran is generally not possible for converts, as only recognized historical minority religions (Christianity, Judaism, Zoroastrianism) can worship in established, state-sanctioned locations, and converting from Islam is forbidden
. Consuming pork is illegal and prohibited in Iran, with pork products virtually unavailable.
Umekosea. Mpiga propaganda wa Sadam Hussein alikuwa anaitwa Mohammed Saeed al-Sahhaf. Chemical Ally alikuwa Ali Hassan Al Majid ambaye alikuwa Jenerali wa jeshi na kazi yake kubwa ilikuwa kuwamwagia chemical za sumu wapinzani wa Saddam
Wewe ni muongo na mpotoshaji mkubwa ,Kabla haujaongea huo upuuzi Iran ni nchi ya pili middle east yenye wayahudi wengi baada ya Israel wakiishi na kuabudu kwa uhuru.
Achilia mbali mamilioni ya wakristo wanaoishi na kuabudu kwa uhuru.
Hivyo udini unawatoa akili mnakua WENDAWAZIMU kwa kulazimisha uongo.