Netanyahu anajuta kumshika masikio Trump. Kwa sasa bado anajifanya kichwa ngumu, lkn siku Marekani akiona gharama za vita zinamzidia na kuamua kujitoa, hapo ndo Israel kenge wataita mjusi, na mamba wataita kenge.
Iran atapata mwanya wa kujitandikia kila siku hadi dunia nzima itaingilia kati kuichangia Iran ili kuiokoa Israel.
Ogopa nchi inayotwangana na mataifa mawili ambayo Ulaya nzima wakati wa issue ya Greenland waliiogopa.