Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Kusoma Ukraine ni kutoboa?
Co ukraine tuu,,hata marekani na nchi za ulaya waweza kusoma lakini ukafika huku ukaishia kuajiriwa mshahara wa laki mbili mpaka 3,, kwa ulaya wataishia kubeba maboksi na udereva wa malori.
Ushauri wangu, hicho kisomo walichonacho wakafanye kazi za ndani uarabuni/ulaya watapata salary nzuli sana.