Monalisa apata presha mtoto wake aliye Ukraine kimasomo, vita ya Urusi yamvuruga mama mtu

Monalisa apata presha mtoto wake aliye Ukraine kimasomo, vita ya Urusi yamvuruga mama mtu

San
Humu Kuna comments za chuki....watanzania wana wivu asee!

Mtu asitoboe, atakoma siku akipata tatizo!

Kuna hadi wanaowish huyo mtoto apotee kabisa waseme si tulikuambia we monalisa, kiko wapi sasa[emoji26][emoji26] so sad
Sana aisee watu wana hate mmmh
 
Ukraine ni masikini mno yaani unemployment rate ni kubwa mno na lugha yao inawafanya wawe masikini zaidi.

Huyo binti atakuwa anajiuza tu kwenye night club.
Kinachonishangaza mtu unapeleka nje mtoto akasome masomo ya arts ya accounting and auditing kweli? Vyuo vyetu kibao vinatoa hizo course

Ila kama ni mfadhili analipia hapo sawa lakini unatoa kabisa pesa mfukoni mtoto akasome accounting and auditing. Humtendei haki wala wala hujitendei haki wala pesa yako huitendei haki
 
Wanawapeleka watoto wao kusoma nje wakirudi wanaishia kuajiriwa mshahara laki tatu [emoji16], afadhali ya housegirl alieajiriwa nchi za kiarabu anakula laki 6 hadi 9 per month.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kusoma Ukraine ni kutoboa?
Humu Kuna comments za chuki....watanzania wana wivu asee!

Mtu asitoboe, atakoma siku akipata tatizo!

Kuna hadi wanaowish huyo mtoto apotee kabisa waseme si tulikuambia we monalisa, kiko wapi sasa[emoji26][emoji26] so sad
 
Ni ulimbukeni tu.
Tatizo la watanzania wengi hua wanadhani kila nchi ya huko ulaya ni nzuri na mtu akisoma huko atapata elimu nzuri.

Hawajui kuna nchi za ulaya ambazo ni za hovyo kuliko hata tz na kuliko kwenda huko bora kubaki tu hapa hapa.
 
Kusoma Ukraine ni kutoboa?
Halafu mtu Kaenda kusoma Degree ya accounting and auditing kuna kutoka gani HAPO?

Angeenda kusoma nuclear science au aeronautical engineering angalau mtu unasema kaenda kusoma atoboe.Ila degree ya Auditing and accounting !! Mmmm Vyuo vyetu mbona degree hizo zimejaa kibao
 
Binti mwenyewe alitamba hawezi somea chuo cha bongo hivyo wakatafuta cha nje chenye kumkubali fasta wasijepata aibu
Halafu form alifaulu vizuri mno

Kumpeleka Ukraine kusomea Accounting and auditing hajamtendea haki kwa akili alizonazo mtoto.Very sad
 
Lakini si alisema mwanae Hana hadhi ya kusoma TZ? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ampeleke Ukraine kusoma Accounting and Auditing? Degree ya hadji ya chini.mno hata akienda soko la ajira aliyesoma hiyo degree Tanzania hadhi iko juu zaidi kuliko huyo wa ukraine
 
Muigizaji mkongwe wa Bongo Muvi, Monalisa ameelezea jinsi ambavyo mgogoro wa Urusi na Ukraine unavyompa hofu kwa kuwa mwanaye yupo nchini Ukraine.

Rais wa Urusi, Vladimir Putin alitangaza kuanza oparesheni ya kijeshi katika baadhi ya maeneo ya Ukraine baada ya mvutano wa muda mrefu baina ya mataifa hayo mawili.

Monalisa ameandika: “Tumbo linanicheza kama mzazi. Ukraine! Hakuna ndege, nampataje mwanangu? Mungu wasimamie watoto wetu.”

Ameandika maandishi hayo katika ukurasa wake wa Instagram akiambatanisha na picha moja ikionyesha moto katika moja ya maeneo inayodhaniwa kuwa ni Ukraine.

Binti huyo, Sonia inaelezwa kuwa anasoma katika Chuo Kikuu cha Sumy State kilichopo katika Mji wa Sumy akisomea kozi ya Uhasibu na Ukaguzi (Accounting and Auditing) kwa kipindi cha miaka minne.

Sonia mwenyewe aliwahi kunukuliwa akisema: "Sababu ya kuchagua kwenda kusoma nchi hiyo ni kwanza wametutangulia kiteknolojia kwa hiyo tunapoenda huko kusoma tunaweza hamisha teknolojia kwa njia ya elimu kuja hapa Tanzania.

"Kitu kingine Ukraine na Urusi ni nchi ambazo zina fursa nyingi za utalii hivyo tunavyoenda huko kusoma ni nafasi yetu kuwaambia Tanzania kuna nafasi nyingi za Uwekezaji, kuna Mlima Kilimanjaro, Tanzanite na mengine mengi ambayo Tanzania tunajivunia," amesema Sonia.

View attachment 2129730

View attachment 2129731
Mitoto yao Inafeli shule inashindwa kuwa Adimited UDSM wanaipeleka Zion college za uturuki na Msoma utalii za uturuki
 
Account ya Happ kwetu ipo vzr sna na Kama Ni account apate na CPA ya Happ ndani utakuwa vzr aseme tu kuwa amepata ufadhili
Alifeli hakuwa na sifa za kuwa adimited UDSM kakimbilia Zion college ya uko ukilane
 
Binti mwenyewe alitamba hawezi somea chuo cha bongo hivyo wakatafuta cha nje chenye kumkubali fasta wasijepata aibu
Hakana Akili vyuo bora kibao vipo South Africa kameenda collage za ukraine
 
Halafu mtu Kaenda kusoma Degree ya accounting and auditing kuna kutoka gani HAPO?

Angeenda kusoma nuclear science au aeronautical engineering angalau mtu unasema kaenda kusoma atoboe.Ila degree ya Auditing and accounting !! Mmmm Vyuo vyetu mbona degree hizo zimejaa kibao
Kaenda piga picha za insta si unajua mambele picha zinakuwaga safi hivi ukichagiza na mibarafu[emoji1787]
 
Hakana Akili vyuo bora kibao vipo South Africa kameenda collage za ukraine
Uko sahihi mtoto mwenye akili angeenda south Afrika, Ulaya Magharibi na Marekani sio Ukraine au urusi
 
Back
Top Bottom