Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Kusoma Ukraine ni kutoboa?
Nje kuna fursa na connection, plus exposure. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu mtu Kaenda kusoma Degree ya accounting and auditing kuna kutoka gani HAPO?
Angeenda kusoma nuclear science au aeronautical engineering angalau mtu unasema kaenda kusoma atoboe.Ila degree ya Auditing and accounting !! Mmmm Vyuo vyetu mbona degree hizo zimejaa kibao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio ampeleke Ukraine kusoma Accounting and Auditing? Degree ya hadji ya chini.mno hata akienda soko la ajira aliyesoma hiyo degree Tanzania hadhi iko juu zaidi kuliko huyo wa ukraine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu nyie jaman, akati huyo alisema UDSM haijui anaisikia tyuuh.Mitoto yao Inafeli shule inashindwa kuwa Adimited UDSM wanaipeleka Zion college za uturuki na Msoma utalii za uturuki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anawehuka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie khaaahCo ukraine tuu,,hata marekani na nchi za ulaya waweza kusoma lakini ukafika huku ukaishia kuajiriwa mshahara wa laki mbili mpaka 3,, kwa ulaya wataishia kubeba maboksi na udereva wa malori.
Ushauri wangu, hicho kisomo walichonacho wakafanye kazi za ndani uarabuni/ulaya watapata salary nzuli sana.
Mtoto anauma jamani hapo hapo halai,halali ,hanyi wabongo mnamkashifu!Siku hizi Mona sijuwi kawaje, yaan hadi nishaanza kumdharau msieeew, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2133471
Alipata division 1 ya point 5 advance!Alifeli hakuwa na sifa za kuwa adimited UDSM kakimbilia Zion college ya uko ukilane
Kwa Mona bora alivoenda nje maana kwa hapa bongo angepata shida sana pale chuo wasingekaa kwa raha!sema tu kwa ufaulu wa Sonia angeenda hata Turkey au South Africa au Scandinavian Countries[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu nyie jaman, akati huyo alisema UDSM haijui anaisikia tyuuh.
Kaka Sina muda wa kujieleza Sana kwako, utakachowaza kuhusu mimi kiwaze bila mipaka yoyote, wewe tu na uwezo wako wa kuwazaMaisha hayaendi bila unafiki
Hata wewe leo umenafikiling somewhere bisha!!?[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23] tatizo kila kitu analeta mtandaoni, mie kaniuzi lugha ya mipasho, angeweka ktk mfumo mzuri, mbna mie niko upande wake.Mtoto anauma jamani hapo hapo halai,halali ,hanyi wabongo mnamkashifu!
Mlongo nasimama na Monalisa[emoji28][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Yaan bora angeenda south Africa tyuuh.Kwa Mona bora alivoenda nje maana kwa hapa bongo angepata shida sana pale chuo wasingekaa kwa raha!sema tu kwa ufaulu wa Sonia angeenda hata Turkey au South Africa au Scandinavian Countries
Kafata kitonga cha bure besti ndo maanaYaan bora angeenda south Africa tyuuh.
Ukraine Kuna exposure? Si kila ulaya ni ulaya kweli, Kuna Ulaya mashariki huko ni kama upo africaNje kuna fursa na connection, plus exposure. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleee yakeKafata kitonga cha bure besti ndo maana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaah wee watu hawajui hilo.Ukraine Kuna exposure? Si kila ulaya ni ulaya kweli, Kuna Ulaya mashariki huko ni kama upo africa
Hao Global link wafungwe miaka Saba jela. na viboko 12 siku wanaingia na 12 siku wanatoka.Global link imepeleka maelfu imewapeleka huko kusoma Vyuo ukraine
Wako watoto wa kitanzania maelfu huko