Mkuu najua wewe ni mnazi wa west tutabishana Bure tu, ila huwezi kuskip historia ambayo imetokea miaka Mia 4 mfululizo,
Yaani ni kama Tanzania tuskip kabisa historia ya ukoloni as if hauku exist halafu utoe sababu nyepesi kabisa kwamba huwezi fundishwa historia yote.
Mambo ya Moors ama Ottoman ni aibu kwa Nchi nyingi za ulaya wanaificha chini ya kapeti.
Unachanganya sana mambo chief. Huwezi soma yote darasani, ni kweli. Hoja hapa ni kuwa nini kinachofundishwa kwenye mainstream education. Mtazamo wa historia umepindishwa maeneo mengi. Mfano, ukisoma Historia rasmi ya Mapunduzi ya Zanzibar, ni 'utumbo mtupu', hapo suala sio vitabu, suala nini kile wanaotoa elimu wanataka wapokeaji, waielewe historia.Huwezi kufundishwa au kusoma kila kitu kenye syllabus ya darasani, huwezi kuwekewa vitabu vyote katika syllabus. Katika Historia ni machache sana utayapata darasani, mengi unayapata kwa jitihada za kujisomea mwenyewe kibinafsi. Hiyo sio lazima imaanishe kwamba ambayo hukusoma darasani yamefichwa.
Huyo ni diehard slave wa Wazungu na Westerners...ndo wale waliopewa Uhuru wakarudi utumwani...Unachanganya sana mambo chief. Huwezi soma yote darasani, ni kweli. Hoja hapa ni kuwa nini kinachofundishwa kwenye mainstream education. Mtazamo wa historia umepindishwa maeneo mengi. Mfano, ukisoma Historia rasmi ya Mapunduzi ya Zanzibar, ni 'utumbo mtupu', hapo suala sio vitabu, suala nini kile wanaotoa elimu wanataka wapokeaji, waielewe historia.
Unachanganya sana mambo chief. Huwezi soma yote darasani, ni kweli. Hoja hapa ni kuwa nini kinachofundishwa kwenye mainstream education. Mtazamo wa historia umepindishwa maeneo mengi. Mfano, ukisoma Historia rasmi ya Mapunduzi ya Zanzibar, ni 'utumbo mtupu', hapo suala sio vitabu, suala nini kile wanaotoa elimu wanataka wapokeaji, waielewe historia.
Sababu nimeshaona Hao wazungu wenyewe wakilalamika kwanini hawajafundishwa shule baada ya kujua ukweli ukubwani. Na kama inafundishwa mashuleni (na sio kozi za chuo ku opt) leta ushahidi hapa.Mimi ninaweza kukuletea hapa vitabu zaidi ya 10 vikubwa vinavyowahusu Moors vilivyoandikiwa na wazungu wa Ulaya.
Wewe umepitia syllabus zote za nchi za Ulaya ukajua Historia ya Moors haipo?
You dont get the point mkuu, kumfundisha mtu mweusi ama Mzungu slavery hii niMfumo wa elimu wa Zanzibar au Tanzania hauwezi kuwa rejea au kulinganishwa na mfumo wa elimu Ulaya au Marekani. Marekani na Ulaya slavery inafundishwa katika madarasa ya wazungu na blacks na pia vitabu vya historia hiyo vimejaa madukani.
West pamoja na kwamba ni Wakristo kwa sehemu kubwa masomo na historia za dini nyingine zote kubwa na nyingi zinafundishwa katika kozi za Historia, Sociology na anthropology katika vyuo vyao vikuu.
Sababu nimeshaona Hao wazungu wenyewe wakilalamika kwanini hawajafundishwa shule baada ya kujua ukweli ukubwani. Na kama inafundishwa mashuleni (na sio kozi za chuo ku opt) leta ushahidi hapa.
You dont get the point mkuu, kumfundisha mtu mweusi ama Mzungu slavery hii ni
1. Unampa Confidence mzungu kwamba yeye ni mtawala na mweusi mtawaliwa
2. Unamtoa Confidence mweusi kwamba maelfu na maelfu kazi yake ni kutawaliwa
Hapo ndo mazao ya hizo elimu unakuta mtu anasema bora kuzaliwa mbwa ulaya kuliko Binadamu Africa.
Ila utakapomfundisha mtoto mweusi babu yako Zamani alisafiri, ali conquer, alijenga majengo wakati wazungu wanaishi kwenye mapango utampa confidence ya kufikiri nje ya box.
Historia hufundishwi kwa kulishwa na kulazimishwa, historia halisi unaisoma na kuitafuta mwenyewe. Ukiona jamii haina historia, haijawahi kujiandikia historia yake ujue hiyo jamii haina ustaarabu, hawana IQ kubwa na ni primitive.Historia inaweza ikafichwa na vile vile ikawa ipo kwenye vitabu, kifupi hivyo vitabu ni mpaka mtu akutonye kama The Boss alivyoleta mada hapa, ila huvikuti kwenye Sylabuss.
Mashuleni wanafunfisha historia wanayotaka wao na sio ukweli.
Wewe unaleta hisia na huruma. Historia ni kama sheria, kilichotokea ndicho kinaandikwa utake usitake.You dont get the point mkuu, kumfundisha mtu mweusi ama Mzungu slavery hii ni
1. Unampa Confidence mzungu kwamba yeye ni mtawala na mweusi mtawaliwa
2. Unamtoa Confidence mweusi kwamba maelfu na maelfu kazi yake ni kutawaliwa
Hapo ndo mazao ya hizo elimu unakuta mtu anasema bora kuzaliwa mbwa ulaya kuliko Binadamu Africa.
Ila utakapomfundisha mtoto mweusi babu yako Zamani alisafiri, ali conquer, alijenga majengo wakati wazungu wanaishi kwenye mapango utampa confidence ya kufikiri nje ya box.
We mwenyewe wale wale unani Accuse mimi naongea kwa hisia nitashusha data hapa unihangaishe wee ilihali wewe unabwabwaja tu maneno bila ushahidiWewe unaleta hisia na huruma. Historia ni kama sheria, kilichotokea ndicho kinaandikwa utake usitake.
1. Marekani inaandika kwenye historia yake kwamba ilitawaliwa na Uingereza. Na Waingereza wanaandika walitawala Marekani.
2. Scotland na England zilipigana sana karne zilizopita kina Richard The Lionheart. Leo hii kisa zimeungana kuna UK hazifuti historia ya kupigana na kuuana na kuchongeshana kwa Wafaransa. Hazifuti ukweli zikasema tulikuwa tunapeana matunda.
3. Wewe unataka umfundishe mweusi kwamba babu yake aliconquer. Aliyafanya wapi?
Weusi kama 200 walikuwa wanachapwa viboko na Waarabu watano wenye gobole tatu, jambia na mijeredi tena na watawala weusi walikuwa wanawasaidia sometimes. Wanaswagwa kuanzia Kugoma mpaka Bagamoyo kisha Zanzibar soko la watumwa kisha kwenye meli kwenda plantations. Wewe unataka useme vinginevyo, kwamba walienda kutalii kwenye mashamba ya sukari ya Wafaransa?
Una tabia zilezile za Kiafrika zinazotufanya tuendelee kuwa jamii ya hivi tulivyo
Too much is harmfull, ni msemo mzuri sana, kila kitu kinahitaji balance, ndio kuwafundisha watoto kuhusu kutawaliwa tu kunadumaza mentality za watu. Angalia zao la vijana wetu we mwenyewe shahidi.Kwa hiyo sisi Waafrika hii Historia yetu ya kutawaliwa na wazungu tukiiondoa katika mitaala yetu isifundishwe shuleni na vyuoni itasaidia kuwapa na kuwajengea confidence ambao hawataisoma?!
Mimi naleta ushahidi wanguNyie mliokuja na hayo madai kwamba hiyo Historia imefichwa ndio mlipaswa kuja na ushahidi pia wa Syllabus kutoka hizo nchi za Ulaya za shule ya msingi, sekondari na vyuo hasa kwa hizo ncho zinazohusika na huko kutawaliwa kuonyesha hiyo Historia haipo katika mitaala yao.
Haya ni malalamiko yako tu kuhusu mfumo wa elimu wa Tanzania, kwamba utawala wa ki Sultan wa Zanzibar baada ya Uingereza kuichukua Zanzibar katikati ya karne ya 19 na kuutenga na kuufanya huru Usultan wa Zanzibar kutoka ule wa Oman haitiliwi mkazo. Hata mimi sioni maana yoyote ya kuitilia mkazo Historia hiyo kwa sababu usultan katika kipindi hiki ulikuwa chini ya utawala wa mkoloni wa Uingereza kama vile utawala wa machifu wa Tanganyika ulivyokuwa chini ya ukoloni wa Kijerumani, watawala wote wa Tanganyika na Zanzibar kipindi hicho walikuwa vibaraka wa wakoloni wao. Hakuna mashiko katika malalamiko na haya madai yako.We mwenyewe wale wale unani Accuse mimi naongea kwa hisia nitashusha data hapa unihangaishe wee ilihali wewe unabwabwaja tu maneno bila ushahidi
Nilileta kwa ushahidi na nishaongea sana Humu, kuna Vitabu hadi Marekani vinaelezea Utumwa Zanzibar na upo tofauti na Uliofundishwa wewe. Ukitaka nitaweka na majina na paragraph muhimu muhimu.
Mfano ninayotoa sana humu Masultan wa Zanzibar walikuwa weusi kibao, mfano ni Wa Ali bin Hamud Sultan wa Zanzibar miaka ya 1900s
1. Jamaa alikuwa ni mweusi tofauti Historia nyingi za Ki Africa zilizopotoshwa na kuna Picha kabisa amepigwa na zipo mitandaoni hakikisha kwa kugoogle hilo jina
View attachment 2593582View attachment 2593583View attachment 2593584View attachment 2593585
2. Alikuwa kichwa na tuzo kibao kuanzia Dola za kiisilamu kama Ottoman, Hadi Uingereza, Italy, Portugal na kwengineko, baadhi ya Honor zake
HONOURS
3. Huyu jamaa utawala wale ali invest na kutengeneza mambo mengi including huku bara, kama hufahamu ndie alimleta Aga khan na partialy ali finance Shule na Hospitali ambazo nyingi zimetaifishwa siku hizi zimekua za serikali, Including Muhimbili kama sijakosea.
- King Edward VII Coronation Medal-1902
- Special Class in brilliants of the Nishan-e-Osmanieh of the Ottoman Empire-1905
- Grand Cross of the Order of the Crown of Italy-1905
- Grand Cross of the Order of the Red Eagle, 1st Class of Prussia-1905
- Grand Cross of the Order of the Immaculate Conception of Vila Viçosa of Portugal-1905
- King George V Coronation Medal-1911
Je mtu kama Huyu vijana wetu hawapaswi kumjua? A tuendelee kuwadanganya tu ni waarabu wale walikua wakitesa Wa Africa?
Huyo ni wa karibu tu, Tuje kwenye mada hii, Moors walikua ni watu wa kweli na walikuepo Ulaya walitawala, wachache kwenye Uongozi walikua waarabu ila wengi walitoka Africa, North Africa na Nchi kama Mali na Niger walikuwepo weusi na zipo picha nyingi tu za kale kuthibitisha.
Vipi kuhusu Aksum Empire ambayo Existence yake ilikuwa ikifananishw na Super power wengine kama China, Persia na Roma wakati huo?
Vipi Mansa musa ambaye alikua Tajiri kiasi kwamba aliposafiri aliacha inflation kwenye nchi na kuathiri miaka kibao.
Tu wa ignore wote hao, Tumsome mangungo?
Kwahiyo huyo Sultan Ali nani kamficha?We mwenyewe wale wale unani Accuse mimi naongea kwa hisia nitashusha data hapa unihangaishe wee ilihali wewe unabwabwaja tu maneno bila ushahidi

Hii ndio unasema historia imefichwa. Hii ambayo hata vitabu vyake ninavyo. Hakuna mtaala unaweza fundisha historia nzima, haifundishwi kwa kulazimishwa in fact history iko ukitaka unaipata mwenyewe.Mimi naleta ushahidi wangu
"
In the 8th century, Muslims sailed from North Africa and took control of what is now Portugal and Spain. Known in Arabic as al-Andalus, the region joined the expanding Umayyad Empire and prospered under Muslim rule. But that legacy has been largely forgotten in the predominantly Catholic country.
In Portuguese schools, the five centuries of Muslim rule are studied only briefly. Textbooks place more emphasis on a triumphant “reconquest” of the territory by Christian rulers, aided by crusaders, that ended in the 13th century."
Hawa ni Aljazeera walikua wanaelezea namna Mtaala wa Portugal unavyofundisha wanafunzi comquest ya Crusaders kuliko Actual time ya Moors.
The Portuguese rediscovering their country’s Muslim past
Historians and archaeologists are showing just how integral Islam is to the country’s identity.www.aljazeera.com
Ingia hio link article ndefu inaelezea hadi wanavyoficha maovu ya Heroes wao kama Vasco da Gama kwenye mitaala,
We mwenyewe wale wale unani Accuse mimi naongea kwa hisia nitashusha data hapa unihangaishe wee ilihali wewe unabwabwaja tu maneno bila ushahidi
Nilileta kwa ushahidi na nishaongea sana Humu, kuna Vitabu hadi Marekani vinaelezea Utumwa Zanzibar na upo tofauti na Uliofundishwa wewe. Ukitaka nitaweka na majina na paragraph muhimu muhimu.
Mfano ninayotoa sana humu Masultan wa Zanzibar walikuwa weusi kibao, mfano ni Wa Ali bin Hamud Sultan wa Zanzibar miaka ya 1900s
1. Jamaa alikuwa ni mweusi tofauti Historia nyingi za Ki Africa zilizopotoshwa na kuna Picha kabisa amepigwa na zipo mitandaoni hakikisha kwa kugoogle hilo jina
View attachment 2593582View attachment 2593583View attachment 2593584View attachment 2593585
2. Alikuwa kichwa na tuzo kibao kuanzia Dola za kiisilamu kama Ottoman, Hadi Uingereza, Italy, Portugal na kwengineko, baadhi ya Honor zake
HONOURS
3. Huyu jamaa utawala wale ali invest na kutengeneza mambo mengi including huku bara, kama hufahamu ndie alimleta Aga khan na partialy ali finance Shule na Hospitali ambazo nyingi zimetaifishwa siku hizi zimekua za serikali, Including Muhimbili kama sijakosea.
- King Edward VII Coronation Medal-1902
- Special Class in brilliants of the Nishan-e-Osmanieh of the Ottoman Empire-1905
- Grand Cross of the Order of the Crown of Italy-1905
- Grand Cross of the Order of the Red Eagle, 1st Class of Prussia-1905
- Grand Cross of the Order of the Immaculate Conception of Vila Viçosa of Portugal-1905
- King George V Coronation Medal-1911
Je mtu kama Huyu vijana wetu hawapaswi kumjua? A tuendelee kuwadanganya tu ni waarabu wale walikua wakitesa Wa Africa?
Huyo ni wa karibu tu, Tuje kwenye mada hii, Moors walikua ni watu wa kweli na walikuepo Ulaya walitawala, wachache kwenye Uongozi walikua waarabu ila wengi walitoka Africa, North Africa na Nchi kama Mali na Niger walikuwepo weusi na zipo picha nyingi tu za kale kuthibitisha.
Vipi kuhusu Aksum Empire ambayo Existence yake ilikuwa ikifananishw na Super power wengine kama China, Persia na Roma wakati huo?
Vipi Mansa musa ambaye alikua Tajiri kiasi kwamba aliposafiri aliacha inflation kwenye nchi na kuathiri miaka kibao.
Tu wa ignore wote hao, Tumsome mangungo?
Too much is harmfull, ni msemo mzuri sana, kila kitu kinahitaji balance, ndio kuwafundisha watoto kuhusu kutawaliwa tu kunadumaza mentality za watu. Angalia zao la vijana wetu we mwenyewe shahidi.
Mpaka Vyuoni kozi kama Public relation, political science na kozi zifananiazo wanaendelea kukariri hayo madesa na ndio vilaza wanaotuongoza.
Alamy ni platform ya kuuzia picha, hio picha kuna mtu anauza anaweza kuwa mimi, wewe ama mtu mwengine yoyote, haina mantiki yoyote na sio kwamba wameihifadhi, na ukiona ina watermark ujue mtu ametumia Demo, ukinunua picha unapata Quality kamili.Kwahiyo huyo Sultan Ali nani kamficha?
Mansa Musa nani kamficha?
Aksum empire nani kaificha?
Na wengineo ambao hujataja kama Usman dan Fodio na Asuke nani kawaficha? Mbona historia za wazi kabisa hizo, zimefichwa kwenye nini na nani kazificha na kwa malengo gani.
Bila kina Alamy na Getty kutunza hizo picha ungezitoa wapi sijui.
Nimekupa ushahidi nimekuwekea na link ila umeipotezea kimya unadandia comment nyengine thats why natwamga tu maji kwenye kinu, endelea tu mkuu kuabudu unaoabudu.Historia inayofundishwa katika mfumo wa elimu rasmi Tanzania kwa sehemu kubwa ni summary tu na bado watu wanaiona complicated wanajitafutia vitabu vya summary zaidi! Wazungu wanafundishana na wameandika vitabu kwa upana sana kuhusu hata wa kutawaliwa kule walipotaliwa, kutawalana, kubaguana na kupigana vita vikubwa na vidogo kuanzia enzi na enzi.
Huko kwao utapata kwa uzuri sana historia za vita na tawala za jamii/makabila yao ya Vikings, Anglo-Saxons, Danes, Slavs, Empires zao, ukoloni wao, hatua za maendeleo, enzi za vita vya dunia na Hitler mpaka hapa tulipo sisi, huwezi kukuta wameacha kitu.