Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

Fursa nyingi zipo moro vijijini huko
Fursa za mjini ni za wazawa tu wa huko

Ova
 
Nafikiri nikistaafu nitaishi Morogoro, napapenda tu sijui kwanini.
Ukistaafu nn? Bill gate ana miaka 66 haafikirii neno kustaafu, bilionea namba 5 duniani warren buffet ana miaka 90 hajui neno kustaafu lipoje.

Huku Mwalimu wa Shule ya Msingi Majengo anakuambia akistaafu..............
 
Ukistaafu nn? Bill gate ana miaka 66 haafikirii neno kustaafu, bilionea namba 5 duniani warren buffet ana miaka 90 hajui neno kustaafu lipoje
Huku Mwalimu wa Shule ya Msingi Majengo anakuambia akistaafu..............
I ant NO Bill Gate, I ain't no Warren Buffet.
 
Yawezekana Moro bado huijui vizuri Mzumbe ipo pembezoni kabisa Wilaya ya Mvomero , ina impact ndogo Sana kwa Moro town . Hebu taja mkoa wako hapa nisijekuwa nabishana na mlughalugha wa huko sitimbi
Nenda taratibu naona unachanganya mambo.
MZUMBE ina impact ndogo kwa kuwa iko mbali na mji? Shopping zao wanafanyia Mikumi?
Swala la mkoa wangu nikiliingiza hapa tutachanganya mada. Mkoa unaochambuliwa ni Morogoro.
 
Reactions: apk
Mwenda pia, wale wa mwanamtandeni, kingalu, hgg nk wote nawapa salamu.
wazee wa rubasazi,kolelo,lukange,duthumi,mngazi, bwakira, gomelo kisaki,mtamba, mvuha, magogoni turo wote nawapeni salamu zangu.
Hivi Mvuha siyo pale makao makuu ya Morogoro Vijijini? Au nimekosea jina?
 
Nenda taratibu naona unachanganya mambo.
MZUMBE ina impact ndogo kwa kuwa iko mbali na mji? Shopping zao wanafanyia Mikumi?
Swala la mkoa wangu nikiliingiza hapa tutachanganya mada. Mkoa unaochambuliwa ni Morogoro.
Kwahiyo point yako ni kwamba Mzumbe Kama ikihamishwa hapa Moro Basi Moro itayumba kwasababu ya shopping za wanachuo wa Mzumbe? Nikajua hoja yako inamaana kumbe zero kabisa.
Yaani mkoa uyumbe kisa Mzumbe kuondolewa[emoji23][emoji23]
 
angalia kwanza idadi ya wachaga, ukiona wapo wengi, huo mkoa ni mzuri kuishi. hata hizi kazi mnaomba, angalia secta hiyo ina wachaga wengi? ukiona wapo, ng'ang'ania, secta hiyo ina pesa.
 
Karibuni Morogoro,nadhani pia ni moja ya mikoa yenye kambi nyingi za jeshi la wananchi la Tanzania
1.kizuka
2.Ngerengere
3.Mzinga
4.Pangawe
 
Nafikiri mtoa mada hana nia ya kukupinga ila ameandika alichokiona/anachokifaham
Nafikiri uandike pia unaishi sehemu gani mjini Moro kwani inaonekana huujui matatizo ya wanaoishi viunga tofauti na cha kwako!
 
Haya ujenzi moro ni rahisi sana hasa kwa tofali za kuchoma
 
Morogoro hapafai na siyo pa kukimbilia kuishi ule mkoa kupata typhoid ni kugusa tu
Mwaka wa 7 huu nipo morogoro na sijawahi kuugua huo ugonjwa, kuugua huo ugonjwa ni umakini wako tu wa kutumia maji, karibu moro, niko Kola
 
Umesahau kutoka sehemu moja kwenda nyingine ndani ya Moro baadhi ya sehemu ni ghali na inachukua muda mwingi kuliko kwenda Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…