Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

Ukistaafu nn? Bill gate ana miaka 66 haafikirii neno kustaafu, bilionea namba 5 duniani warren buffet ana miaka 90 hajui neno kustaafu lipoje.

Huku Mwalimu wa Shule ya Msingi Majengo anakuambia akistaafu..............
Motivational speakers mmeanza Sasa
 
Ndio Mkoa wenye wahamiaji wengi baada ya DSM.

Mikoa mingine wamejaa wazawa.
Kitendo cha watu wengi kuhamia Mkoa Fulani ni moja ya viashiria kuwa Mkoa huo ni mzuri katika Nyanja mbalimbali za maisha
Nimependa ulivyo ielezea hii mada na umechambua vizuri ina make sense sana na inafanya mtu ambae hajafika morogoro kutamani kufika.
Naomba kujua bei ya shamba kwa hekari inaweza kupatikana kwa bei gani kwaajili ya kilimo.
Na unarecommend mtu akitaka kununua shamba kwa ajili ya kilimo say cha matunda na mboga mboga na mahindi(mazao mchanganyiko) unarecommend anunue wapi kwa mtu mwenye makazi ya kudumu dsm?
 
Mwaka wa 7 huu nipo morogoro na sijawahi kuugua huo ugonjwa, kuugua huo ugonjwa ni umakini wako tu wa kutumia maji, karibu moro, niko Kola
Moro hapafai. Nani aje augue typhoid ? Hapo panawafaa watu wasio na namna ya kuishi mikoa ya maana.
 
uko sahihi, na fanya vyote ila usizae na binti wa kilugulu hawana akili hao japo mapenzi wanajua na unaweza ukachakata mbususu familia nzima kuanzia mama, dada, wadogo zake,yeye na ndugu zake kama wapo.
 

Ni uongo….hiii ni uongoooo
 
Sehemu zangu pendwa ifakara,kilombero,mbingu
Changamoto ni maji tu kuna yale maji ya kilombero aisee! Ukinywa ni kama umeungia na chumvi umoumo maji pendwa kule ni udzungwa ukipita kwenye milima yake kuna kaubaridi na kaharufu flani ka uoto wa asili hasa alfajiri na jioni.
 
Wana vyuo vikuu vikubwa Sokoine na Mzumbe, last time kuwa Morogoro ni zaidi ya miaka 20 ila napakumbuka ni sehemu nzuri sana, ila waluguru hawapendi kusoma
 
Napapenda zaidi Morogoro kwa kuwa hata kupatikana kwa Mademu wa 'Kuwabandua' ni rahisi kuliko Mikoa mingine TZA.
Human is a last Born in God's creation [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji137]umeona hilo tu la mademu?
 
Ila moro ni kubwa wakuu inapakana na pwani,iringa,songea mpaka dodoma.
 
Napapenda zaidi Morogoro kwa kuwa hata kupatikana kwa Mademu wa 'Kuwabandua' ni rahisi kuliko Mikoa mingine TZA.
Unazungumzia sifa za Karatu na Mbulu sasa, huko ndo Kuna wale wa kuvuta tu
 
Moro kuzuri kwa urahisi wa kujenga na chakula. Nimeishi Morogoro ,nimesoma Morogoro na tumejenga Moro . Ukitoa shida ya maji pia mzunguko wa pesa ni mdogo sana ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…