dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Nai Laminate hi commentAnalazimisha kupendwa, ukute yeye ndio chanzo cha mume wake kwenda kuoa mwanamke mwingine. Hakuna mwanaume anaeweza Acha mke mwema. Hadi mwanaume kuoa mke mwingine shida ni kasoro ya mke wa kwanza kashindwa kujua wajibu wake ni nini
Kifungu kifungu kina nini ndoa imesainiwa kanisani au procedure hawazijui? Usuruhishi unaanza kwa baba paroko mkishwindana uko ndio mnapelekana mahakamani, hukurupuki tu, hio kesi huyo mama anaenda kushindwa vibayaSoma kifungu # 72 ya sheria ya ndoa 1971
Ova
Hapati hata senti hapo alie tu....Mbona kadai pesa kiduchu hivyo? Hili ni swala kuharkbiwa hadhi na maisha yake.... Alitakiwa aanzie 0.5bn au hata 1bn .
Ningekuwa mimi ni huyo Kissanga hiyo 0.1bn ningempa bila hata ya kwenda mahakamani.
Mahakama itataka ushahidi wa ndoa ya Kwanza na kama zipo divorce papers. Prof wanandoa hawaachani kienyeji umeenda Benki umekuta slay queen tayari unatangaza ndoa.Kwa vipi serikali iingilie mambo ya ndoa. Nadhani hizi zinapaswa kumalizia kanisani.
Kwema San nimefurahi kukuona hapaSalama kwema ndugu yangu.
Kwa maoni yangu ni afadhali kuliko kuondoka mikono mitupu au kuuana.KWA hiyo malipo yake ndio hayo for the 10 years ambayo amekuwa akitoa huduma mfululizo?
Serikali haina zuio na idadi ya wake, bali inakupa cheti cha UHALALI wa Ndoa kwa kila Mke uliyeoa.Serikali inakataza kuoa mke mwengine?
Hivi watu wanachukulia poa kesi km hizi wanaona ni za kawaida tu, yaan unatoa tu maamuzi bila kuangalia vithibitisho na mtiririko wa kesi?Mahakaman itataka ushahidi wa ndoa ya Kwanza na kama zipo divorce papers
Mwaka huu utakuwa mrefu sana.Biashara ya fumanizi imechangamka sana hasa ukikuta wagoni wana wadhifa. 🤣🤣🤣 Mmoja benki mmoja profesa!
Hiyo kugawana mali ni kwenye talaka.Matilda anadai fidia ya ugoni na ni lazima alipwe.Profesa alikosea kuingia kwenye ndoa mpya kabla hajavunja ya zamaniSasa mbona hakuna ugoni wowote hapo! Nilichogundua, Matilda Sigaret ni mwanamke mtata (pilipili)! Na asiyetaka kukubali matokeo.
Bora angewekeza nguvu zake kwenye kugawana mali na huyo Profesa (kama waliishi pamoja). Badala ya kutaka kulipwa hela za bure.
Huu mwaka utakuwa mrefu sana
1. Marriage certificate (ndoa namba 1) ipo?Abdallah_Kichwaz wakili toa neno
KufumaniwaUgoni ni nini bro
Bushlawyer kwema?Serikali haina zuio na idadi ya wake, bali inakupa cheti cha UHALALI wa Ndoa kwa kila Mke uliyeoa.
Halafu uelewe kwamba hili ni shitaka la ugoni tu..bado madai ya talaka. Mwaka huu, huyo mgoni ataona rangi zote.Hapati hata senti hapo alie tu....
Haya makesi watu washayapitiaaaKifungu kifungu kina nini ndoa imesainiwa kanisani au procedure hawazijui? Usuruhishi unaanza kwa baba paroko mkishwindana uko ndio mnapelekana mahakamani, hukurupuki tu, hio kesi huyo mama anaenda kushindwa vibaya
Ndio maana wakili wa upande wa utetezi kagoma kuizungumzia kwa waandishi maana sheria hawajizui taratibu zinakuaje, hutakiwi kuruka kipengele, au walifunga ndoa kwa mkuu wa mkoa?
Kutoka katika ibara namba 3 kifungu cha 450 katika sheria ya ndoa ya mwaka 1945Sababu namba 6800 kwanini usioe.
Mimi nimeoa wake kumi na wote ni Wake Halali kisheria...Bushlawyer kwema?
Hujajuaje kama mme wa mtu na kila siku anakuaga anaenda kwa mkewe.Hapo huyo mwanamke wa crdb anaweza akajitetea,mm sijujuwa kama huyu alikuwa mme wa mtu
Msala anamuachia Prof wa sua tu
Yeye anachomoka
Ova