Halazimishi kupendwa, anadai haki yake,ndio maana kwenye madai hakuna sehemu anaomba warudiane,anadai fidia ya ugoni sababu Prof kaoa wakati huo bado ana mkataba wa ndoa kwahio anamdhalisha mke halaliAnalazimisha kupendwa, ukute yeye ndio chanzo cha mume wake kwenda kuoa mwanamke mwingine. Hakuna mwanaume anaeweza Acha mke mwema. Hadi mwanaume kuoa mke mwingine shida ni kasoro ya mke wa kwanza kashindwa kujua wajibu wake ni nini
Mpeleke Tawla akapate mawakili wa kujitoleaNimempenda huyo mke.
Kama mbwai iwe mbwai
Mambo ndoa mkishapelekana hukoNimempenda huyo mke.
Kama mbwai iwe mbwai
Ha ha ha; eti inakupa cheti kwa kila mwanamke utakayeoa! Ukisikia mwanaume mateso ndio kama hivyo! Oa upendavyo; muhimu cheti! Dah!Serikali haina zuio na idadi ya wake, bali inakupa cheti cha UHALALI wa Ndoa kwa kila Mke uliyeoa.
Hii kesi mama kashashindwa mapeeema, yaan bora angeenda kanisani angesaidiwa angalau km angeshindwa ndio angeenda mahakamani kwa ushauri wa baba paroko kwamba huku tumewashindwa nendeni mahakamani na barua wanapewa, sasa hukurupuki tu kukimbilia mahakamani unaikimbilia Marriage Act je! umefuata procedure ulienda kanisani kupata suluhu mkashindwana na kupewa kibari cha kwenda mahakamani au kalidharau kanisa?Haya makesi watu washayapitiaaa
Ila tuendele kufatilia hii kesi tu
Ova
Mgoni sasa hapo si anangalia namna ya kujiteteaHujajuaje kama mme wa mtu na kila siku anakuaga anaenda kwa mkewe.
Kwani ni serikali au mahakamaKwa vipi serikali iingilie mambo ya ndoa. Nadhani hizi zinapaswa kumalizia kanisani.
Mshtakiwa namba 1 ni huyo Prof wa Misitu na Nyuki. Bank Teller yeye Ni Kama msindikizaji tu. Halafu huyo demu eti ana Masters.Hapo huyo mwanamke wa crdb anaweza akajitetea,mm sijujuwa kama huyu alikuwa mme wa mtu
Msala anamuachia Prof wa sua tu
Yeye anachomoka
Ova
Heeee kivipi serikali iingilie mambo ya ndoa? Hujui hata iko cheti cha kanisani kimetoka serikalini? Kwanini hata mahari yanapotolewa mwenyekiti wa serikali ya mtaa anakuwepo?Kwa vipi serikali iingilie mambo ya ndoa. Nadhani hizi zinapaswa kumalizia kanisani.
Kama kuna mahali Mnyaazi Mungu ametupa haki sawa ni hapo au sio? Kila mmoja afaidi vinginevyo wangefaidi matajiri tu.Kwakweli mbususu ni tamu sana, hazina uproffesa wala nini dadekiiiii
Cocochanel i love youJe, kuna sheria inamkataza asipeleke mahakamani?
Ahahaha HahahaMshtakiwa namba 1 ni huyo Prof wa Misitu na Nyuki. Bank Teller yeye Ni Kama msindikizaji tu.
So madai atalipwa kulingana na uwezo wa mdaiwaHalazimishwi kupendwa, anadai haki yake,ndio maana kwenye madai hakuna sehemu anaomba warudiane,anadai fidia ya ugoni sababu Prof kaoa wakati huo bado ana mkakata wa ndoa kwahio anamdhalisha mke halali
Wakili anatakaje kesi isikilizwe faragha anaficha nini wakati tutasoma kila kitu kwenye hukumu pindi itakapotoka?😁😁Hakimu Mfawidhi Lukumai ameahirisha kesi hiyo baada ya upande wa utetezi kuweka pingamizi la kutaka kesi hiyo isikilizwe faragha na imepangwa kuanza kusikilizwa kwa pingamizi hilo Februari 21, 2023.
Kama hataki waandishi si angeyamaliza kwa amani tu nyumbani mara baada ya kupokea madai."Kwanza ningejua kuna waandishi ningeweka zuio la waandishi kupata taarifa hizi, hivyo kaandikeni mlichopata kwa wakili huyo mwingine,
Sasa kufunga ndoa kunawezaje kukaitwa UGONI?? Maana ugoni ni ile hali ya mtu aliyeoa au kuolewa kufumaniwa na mwenza wake, akiwa anafanya ngono na mtu mwingine. Kufunga ndoa tayari imekuwa ni ugoni?? Anyways, labda ana ushahidi kuwa hawa watu wamebanjuana, na vipi wakijitetea kuwa walikuwa wanajichunga wakisubiri mpaka NDOA na hata baada ya ndoa hawajabanjua kwa sababu labda mmoja alikuwa mgonjwa nk?"Kimsingi mteja wangu anadai kulipwa fidia ya shilingi milioni 100 kutokana na madhara ambayo ameyapata," alisema.
Wakili huyo alisema kuwa Oktoba 29, 2022 inadaiwa washitakiwa hao walifunga ndoa huku kukiwa bado kuna ndoa nyingine ya mlalamikaji ambaye ni Matrida na Profesa Kasanga.
Unaweza kabisa, na kuna mwamba ameweka kesi humu kuonesha mahakama ilivyoamua alipwe fidia, ila sasa lazima uthibitishe kuwa hao unaowadai fidia wamezagamuana. Kama kwenye kesi iliyowekwa, jamaa amempa mimba kabisa yule demu, anarukaje fidia!! Tofauti na mwamba Profesa hapa, haijawekwa wazi kama kuna mizagamuano zaidi ya kusema kuwa kuna ndoa ilifungwa.Hivi kumbe ugoni unaweza kudai fidia na ukalipwa
Ugoni uthibitisho wake sio ndoa, bali tendo la ndoa. Kama ishu ilikuwa ni ndoa ya mke mmoja, mke alitakiwa kupinga ndoa ya pili, sio kudai fidia ya ugoni bila kuthibitisha ugoni wenyewe. (Najua ni mapema sana, maana kesi haijaanza kusikilizwa, labda atathibitisha huo ugoni)Kesi ipo. Na kwamba wamefunga ndoa wakati mkataba wa ndoa ya kwanza ni mke mmoja. Hapo lazima Profesa atakaa na kulipa fidia.
Na mahakama pekee ndiyo wana uwezo wa kuwatenganisha au kutoa talakaHeeee kivipi serikali iingilie mambo ya ndoa? Hujui hata iko cheti cha kanisani kimetoka serikalini? Kwanini hata mahari yanapotolewa mwenyekiti wa serikali ya mtaa anakuwepo?