Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #61
Tofauti na wewe mwenye njaa , Lissu hapiganii mambo yake binafsi , anapambania watu woteBila ya huo "mpatanisho" Serikali hii bora ya awamu ya 6 ingemlipa stahiki zake na mamilioni yale ya kibunge.....Lissu mropokaji tu[emoji1787]
Wanasiasa wa CDM wenye misimamo mikali kama TL kinyume na Mbowe ni hatari kwa usalama wa Tanzania yetu.......Kwahiyo mbowe alijichukulia maamuzi peke yake ,ya kuukubali upatanisho!!
Sheikh Abubakar ndiye MWANASIASA bora wa CDM na si huyu mwanaharakati asiyeyumba......Mbona lakini Mkuu habari za TL hatuzipati vizuri naomba Mh Abubakari ampatie uenyekiti TL ili kuweza kuweka mikakati mipya maana Abubakari Huwezo wake umefika mwisho so let's give other peoples chance.
Bali hayazuii Chadema kuhoji chochote kile , haya mambo Mbowe ameyaweka wazi sana kwa ufafanuzi muruwa kabisa , sema kwa vile mna ajenda zenu hamtaki kujuaKatika hayo masuala ya msingi yanayohojiwa yapo pia ambayo yahusu maridhiano.
Kuna kitu hukijui kuhusu ChademaSheikh Abubakar ndiye MWANASIASA bora wa CDM na si huyu mwanaharakati asiyeyumba......
Masuala ya kuzuia kuhoji hata sijayazungumza mie, nilichosema ni kwamba Lissu anaonekana hana imani na hayo maridhiano tofauti na wengine kama Mbowe ambaye anaonyesha ana imani na haya maridhiano.Bali hayazuii Chadema kuhoji chochote kile , haya mambo Mbowe ameyaweka wazi sana kwa ufafanuzi muruwa kabisa , sema kwa vile mna ajenda zenu hamtaki kujua
Chadema chama changu kwenye Habari na Maelezo wana score Zero.Mbona lakini Mkuu habari za TL hatuzipati vizuri naomba Mh Abubakari ampatie uenyekiti TL ili kuweza kuweka mikakati mipya maana Abubakari Huwezo wake umefika mwisho so let's give other peoples chance.
Umeelewa alichosema?Kwahiyo mbowe alijichukulia maamuzi peke yake ,ya kuukubali upatanisho!!
Mbowe alishasema tangu awali kwamba yeye na wajumbe wake watapambana kwenye maridhiano ila sisi wengine tuendelee kuhoji kila kitu majukwaaniMasuala ya kuzuia kuhoji hata sijayazungumza mie, nilichosema ni kwamba Lissu anaonekana hana imani na hayo maridhiano tofauti na wengine kama Mbowe ambaye anaonyesha ana imani na haya maridhiano.
Ninaijua CHADEMA vyema kama ninavyoujua ugoko wa mguu wangu......Kuna kitu hukijui kuhusu Chadema
Duuuh [emoji23]Kwamba Tanzania ni jehanamu ya duniani??
Kama mkutano wa mtu 'kivutio' wa chama nyomi inakuwa ya hivi, hakyanani chadema kwishiney!
Nyie lini mlisema vina mwelekeo? subiri uchaguzi ndo utajuwa vina mwelekeo au havinaKwa sasa vyama pinzani havina mwelekeo, matumaini yanapotea.
Mbowe amesimama CREDIBLY ....Mbowe alishasema tangu awali kwamba yeye na wajumbe wake watapambana kwenye maridhiano ila sisi wengine tuendelee kuhoji kila kitu majukwaani
Mara zote anayedhani anajua kila kitu anaweza kuwa mgonjwaNinaijua CHADEMA vyema kama ninavyoujua ugoko wa mguu wangu......
Basi hayaKama mkutano wa mtu 'kivutio' wa chama nyomi inakuwa ya hivi, hakyanani chadema kwishiney!
Mara zote anayejua vilivyopo vichwani mwa wengine anaweza kuwa mgonjwa [emoji1787]Mara zote anayedhani anajua kila kitu anaweza kuwa mgonjwa
Serikali nayo imekuwa kitengo cha CCM na yale mabango ni propaganda tupu. Ukweli upo kwenye ripoti ya CAG yale mabango ni uchafu tu.Lissu anadai Arusha ndio mkoa unaoongoza kwa Mabango ya uongo yaliyopachikwa upatanishi , huku sisi wengine tukidhani lengo lao ni kudanganya watalii ili waone nchi sasa iko shwari.