Morogoro: Tundu Lissu awasha moto, ashangaa mabango ya kupatanishwa yaliyobandikwa nchi nzima

Mpuuzi sana Lisu sasa anataka wafufuliwe ndio wapatanishwe, hapa anataka alipwe tu akimbie tena zikiisha aje na jipya , huyu dawa yake ilikuwa ile ile tu

USSR
mbona unaleta uchama? Kile ni kichwa ujue
 
Jamani tuwe makini katika hili, tushirikiane kwa pamoja tuiue CCM 2025 na kuwakamata viongozi wezi kama kina Makamba, Nchemba, na wengineo. Hii nchi haiwezi kuendelea chini ya CCM hata iweje, tunapigwa changa la macho tu.
 
Nina majukumu mazito sana nje ya nchi , siwezi kuwa kuwa kama Kikeke , yaani unaiacha ulaya ili uje upigwe zongo bongo na kulogwa !
Mhh, zengwe alilolipata Kikeke huko Ulaya atakuja hadithia mwenyewe! Hainiingilii akilini wiki chache, tena baada ya maandalizi ya kihistoria na ya muda mrefu ya coronation ya Ufalme ndio aondoke. Kwa wenye kuangalia haya kwa mapana Utaona isingekuwa rahisi kuacha kuwa mtangazaji kirahisi hivyo tena kwa kuzingatia jinsi kwamba yeyote yule aliyehusika, na hapa kwa watangazaji, kubakia katika rekodi za Dunia kwa centuries and centuries Kuacha, kujiuzulu au kukoma bin vuuu tu.
Heko kwa Bwana Kikeke kutambua kuwa Nyumbani ni Nyumbani

Pole na Majukumu Erythro,
Hata hivyo nitaendelea kuipambania nchi yangu kwa njia nyingine
Usikubali utumike tu, Kikeke naamini alitambua hilo.
 
Mbowe na wenzake : Maridhiano

Lissu ,Imhotep , Erthyrocyte: Harakati
 
Nina majukumu mazito sana nje ya nchi , siwezi kuwa kuwa kama Kikeke , yaani unaiacha ulaya ili uje upigwe zongo bongo na kulogwa !

Hata hivyo nitaendelea kuipambania nchi yangu kwa njia nyingine
[emoji1787][emoji1787] Mnyakyusa unaGRANDIOSITY wewe....umeyavaa lini hayo majukumu makubwa ya huko usemako ?!!! [emoji1787][emoji1787]

Kwa hiyo 7/7 hutokuwepo pale bandani ?!!! [emoji1787][emoji1787]
 
Mpuuzi sana Lisu sasa anataka wafufuliwe ndio wapatanishwe, hapa anataka alipwe tu akimbie tena zikiisha aje na jipya , huyu dawa yake ilikuwa ile ile tu

USSR
Mimi namuunga mkono lissu ili tusameheyane tuujuwe ukweli ya ndugu zetu waliopotea na wliouwawa na waliohusika wachukuliwe hatua na wanaostahiki kusameheyana ifanyike hivyo Kwa roho safi kama ilivyofanyika south Africa katika utawala wa magufuli aliyeondoka ni magufuli tu wengine wote wapo kwa hivyo hautua zichukuliwe ili Mambo yale yasijekutokea tena.
 
Mbowe na wenzake : Maridhiano

Lissu ,Imhotep , Erthyrocyte: Harakati
Umeona eh! Ila wana ka script chao wamepewa....wanasema "Sisi ni chama kimoja cha kisiasa....." "CHADEMA we are a democratic party", tuna uhuru wa kutoa maoni" n.k n.k
......Hatuna mpasuko, na hata kama unaonekana ndiyo afya ya Chama!.....

Sasa subiri wale kina moise, galgano na uvccm waje na mabango yao ya matusi😁😅
 


Tundu Lissu anaenda kinyume na Mwenyekiti wake, kwa hiyo Mwenyekiti wa CHADEMA akisema maridhiano yamefikiwa, yeye Lissu anasema hapana, basi ndani ya CHADEMA tuna wenyeviti wawili? Nani mkubwa ktk Chadema?

Naona CHADEMA kuna msuguano ndani kwa ndani, kwa hiyo yale maridhiano hayana maana, leo Tundu Lissu anaongea Morogoro, hajui ni matokeo ya maridhiano?

Nilisema humu, Lissu sio mtu wa shukrani hata kidogo, hivyo, CCM bahati nzuri inajua kuna watu hata uwape nini, ni bure. Hivyo, CCM insiders tunajua sana, kuna majitu utawapa uhuru wote, bado watakurudisha nyuma wanakumbushia ya awamu ya JPM, tulisema hayo yamepita na haturudi huko, kwani JPM aliumiza Chadema peke yake? Hata CCM waliumia sanaaa, ila tumesahau na maisha yanaendelea, tuko na SSH, sasa Lissu anaturudisha wapi?
 
Lissu anapenda "siasa za uasi".....

Kwa baadhi ya watu anaonekana ni mtengenezaji lakini ni kinyume chake.......

#SiempreJMT[emoji120]
 
Mpuuzi sana Lisu sasa anataka wafufuliwe ndio wapatanishwe, hapa anataka alipwe tu akimbie tena zikiisha aje na jipya , huyu dawa yake ilikuwa ile ile tu

USSR
Najua sukuma gang bado mnatabika sana!!kubalini MACKENZIE wenu hayupo tena!!ina maana hata kilichofanyika S.Africa na Rwanda huna habari nacho?au ulikuwa hujazaliwa??
Shame on u!!eti kufanya upatanisho ni kuwafufua wafu!!kwa akili hizi ndio maana jamaa ali wa brainwash kirahisi sana!!MUNGU FUNDI
 
Katika hayo masuala ya msingi yanayohojiwa yapo pia ambayo yahusu maridhiano.

..mazungumzo kati ya Ccm na Cdm yanapaswa kuhitimishwa na kuundwa kwa Tume ya Ukweli, Haki, na Upatanishi.

..Tume hiyo ifanane na ile iliyoundwa Afrika Kusini na kuongozwa na Askofu Desmond Tutu.

..Walioumizwa na dola ktk awamu zote tangu tupate Uhuru wakasikilizwe na Tume na kutendewa haki kama njia ya upatanishi.
 

..Chadema kuna uhuru wa maoni, na mawazo.

..Ccm mnasubiri atakachosema Mwenyekiti hata kama hakina mantiki mnaunga mkono.
 
Unaweza kutuletea ushahidi wa maridhiano kufikiwa ?
 
Bila ya mpangilio wala mtiririko maalum, nasema

Tume ya Ukweli na Haki, na Maridhiano ya Afrika ya Kusini haikuleta tija kwa wale ambao waliathirika. Binafsi naona Tume hii ilitumika na ilifunika na kuzima maovu ya mabeberu Afrika ya Kusini.
Kwa lugha nyingine....
Baadhi za Utafiti uliofanywa baada ya Tume kumaliza maridhiano walikuta wahusika wakuu walipata msamaha hata pale ilipoonekana hawakustahili..

Tume au kitu chochte kile kitakachofanana na hicho, kihakikishe haki inapatikana, ukweli unajulikana yaani wahusika wote, wa upande wowote wafikishwe mahakamani na washitakiwe-hakuna cha Msamaha.

Tume ya Afrika kusini ilitengenezwa, kwa maoni yangu, kuwapa Wazungu mabeberu mbadala wa kuishi wakati wengi wao walikuwa wanyongwe. Tusiruhusu kitu kama hicho Tanzania. Iwe walitekana na kuchafua Serikali, iwe waliteka, waliiua au waliwapoteza wanaosemekana walipotea...yaani tusiruhusu wahusika kurandaranda mitaani -wote mahakamani.
 
Mpuuzi sana Lisu sasa anataka wafufuliwe ndio wapatanishwe, hapa anataka alipwe tu akimbie tena zikiisha aje na jipya , huyu dawa yake ilikuwa ile ile tu

USSR
Hiyo dawa ndo alipewa Magu, sasa hivi funza wameanza kula fuvu.. maana nyama walimaliza siku nyingi!!!
 
Mbowe alishasema tangu awali kwamba yeye na wajumbe wake watapambana kwenye maridhiano ila sisi wengine tuendelee kuhoji kila kitu majukwaani
Mkuu hicho ndio nilichokisema kwamba Mbowe bado ana imani katika hayo maridhiano ndio maana bado anayapigania, ila wengine imani zao zimepungua katika hayo maridhiano huonyesha mashaka yao kwenye kuhoji kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…