peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbali sana ndugu madereva wanachoka.saa kumi jioni yuko hapo sanga sanga.970 km
Sheria ya latra inataka basi zinazosafiri zaidi ya km 400 ziwe double mannedMbali mno aisee.
Mbali sana ndugu madereva wanachoka.
Dereva inatakiwa awe na control speed in case inatokea tatizo.Sheria ya latra inataka basi zinazosafiri zaidi ya km 400 ziwe double manned
Ni dhahiri basi hili lilikuwa na madereva wawili
Umewahi endesha kipande cha chalinze mlandizi?Dereva inatakiwa awe na control speed in case inatokea tatizo.
Wewe ndiyo hakim. Una hukumu bila kujua chanzo, kazi ipobila kupepesa macho dereva anaonekana alikuwa speed akashindwa kuongoza basi, kama amepona aondolewe uhalali wa kuendesha usafiri wa umma akaendeshe gari lake nyumbani.
Toka lini ajali zilikata. Jiongeze.kwani unajuaje kama Kuna ajali bila kutangazwa. Changamsha damu kichwani nduguHivi mbona ajali zimeanza kufululiza Tena,
Mkuu iyo Ahmed ATH waiita ndege ya chini inatembea balaa, kutoka mbeya hua ata kina sauli na newforce awaoni kitu na inavyotoka tanga hua inazipita hadi bus nyingne za kutoka dar! Iyi impact apo inaonyesha kati ya bus au iyo lorry IT moja wapo ilikua speed kali Sana au zote zilikua mafutaWewe ndiyo hakim. Una hukumu bila kujua chanzo, kazi ipo
Mkuu iyo Ahmed ATH waiita ndege ya chini inatembea balaa, kutoka mbeya hua ata kina sauli na newawaoni kitu na inavyotoka tanga hua inazipita hadi bus nyingne za kutoka dar! Iyi impact apo inaonyesha kati ya bus au iyo lorry IT moja wapo ilikua speed kali Sana au zote zilikua mafutaWewe ndiyo hakim. Una hukumu bila kujua chanzo, kazi ipo
Hivi Rais/IGP anasubiria nini kumfuta Kazi mkuu wa traffic Mbeya,Songwe na sehemu nyingine kwenye ajali?
Namba A halijaanza kutumika rasmi?Hata haliajaanza kutumika rasmi tayri limepata ajali cjui bima Huwa inahusika. R.IP wote
Naongelea IT!!!??hilo loriNamba A halijaanza kutumika rasmi?
punguza ujuha walau kidogo, ni lini ajali ziliacha kufululizaHivi mbona ajali zimeanza kufululiza Tena,
Mkuu, una uhakika na ulichokiandika?Mkuu iyo Ahmed ATH waiita ndege ya chini inatembea balaa, kutoka mbeya hua ata kina sauli na newawaoni kitu na inavyotoka tanga hua inazipita hadi bus nyingne za kutoka dar! Iyi impact apo inaonyesha kati ya bus au iyo lorry IT moja wapo ilikua speed kali Sana au zote zilikua mafuta