Morogoro: Watu 22 Wamefariki dunia kwenye ajali ya Basi la Ahmed linalofanya safari kati ya Tanga-Mbeya. Limegongana na Lori

Morogoro: Watu 22 Wamefariki dunia kwenye ajali ya Basi la Ahmed linalofanya safari kati ya Tanga-Mbeya. Limegongana na Lori

Sheria ya latra inataka basi zinazosafiri zaidi ya km 400 ziwe double manned
Ni dhahiri basi hili lilikuwa na madereva wawili
Dereva inatakiwa awe na control speed in case inatokea tatizo.
 
bila kupepesa macho dereva anaonekana alikuwa speed akashindwa kuongoza basi, kama amepona aondolewe uhalali wa kuendesha usafiri wa umma akaendeshe gari lake nyumbani.
Wewe ndiyo hakim. Una hukumu bila kujua chanzo, kazi ipo
 
Wewe ndiyo hakim. Una hukumu bila kujua chanzo, kazi ipo
Mkuu iyo Ahmed ATH waiita ndege ya chini inatembea balaa, kutoka mbeya hua ata kina sauli na newforce awaoni kitu na inavyotoka tanga hua inazipita hadi bus nyingne za kutoka dar! Iyi impact apo inaonyesha kati ya bus au iyo lorry IT moja wapo ilikua speed kali Sana au zote zilikua mafuta
 
Wewe ndiyo hakim. Una hukumu bila kujua chanzo, kazi ipo
Mkuu iyo Ahmed ATH waiita ndege ya chini inatembea balaa, kutoka mbeya hua ata kina sauli na newawaoni kitu na inavyotoka tanga hua inazipita hadi bus nyingne za kutoka dar! Iyi impact apo inaonyesha kati ya bus au iyo lorry IT moja wapo ilikua speed kali Sana au zote zilikua mafuta
 
Sidhani kama kuna aliyepona muendelee kutujuza
 
Madereva wengi wa mabasi na maroli IQ yao no mdogo saana.
 
Mkuu iyo Ahmed ATH waiita ndege ya chini inatembea balaa, kutoka mbeya hua ata kina sauli na newawaoni kitu na inavyotoka tanga hua inazipita hadi bus nyingne za kutoka dar! Iyi impact apo inaonyesha kati ya bus au iyo lorry IT moja wapo ilikua speed kali Sana au zote zilikua mafuta
Mkuu, una uhakika na ulichokiandika?
 
Back
Top Bottom