Morogoro: Watumishi wa Umma Walazimishwa kwenda kwenye mkutano wa Rais Samia leo hii

Morogoro: Watumishi wa Umma Walazimishwa kwenda kwenye mkutano wa Rais Samia leo hii

Hii ndio Taarifa ya Aibu ambayo imetufikia wakati tunaingia mitamboni, tushasema humu mara kadhaa kwamba ccm haina watu, Haiwezekani chama kisababishe dhiki ya kiwango hiki kiasi cha watu kuanza kuvaa viraka halafu kiungwe mkono, Never!

Sasa someni wenyewe hapa ili mjionee

View attachment 3062888
Lucas anaemaje kwani?

Watoto wa watu wanaenda kububujikwa machozi ya njaa barabarani.
 
Hii ndio Taarifa ya Aibu ambayo imetufikia wakati tunaingia mitamboni, tushasema humu mara kadhaa kwamba ccm haina watu, Haiwezekani chama kisababishe dhiki ya kiwango hiki kiasi cha watu kuanza kuvaa viraka halafu kiungwe mkono, Never!

Sasa someni wenyewe hapa ili mjionee

View attachment 3062888
Mbona kwenye hii barua sioni palipoandikwa shule zifungwe ili wanafunzi waende uwanjani??

Kualika walimu na watumishi wengine kwenye mkutano wa Rais wetu Mpendwa unaumia?? Hama nchi, Samia ni wetu mpaka 2030.
 
Hii ndio Taarifa ya Aibu ambayo imetufikia wakati tunaingia mitamboni, tushasema humu mara kadhaa kwamba ccm haina watu, Haiwezekani chama kisababishe dhiki ya kiwango hiki kiasi cha watu kuanza kuvaa viraka halafu kiungwe mkono, Never!

Sasa someni wenyewe hapa ili mjionee

View attachment 3062888

Halafu huyu huyu mkurugenzi wa manispaa ambaye ni kada mteule wa rais aliye Mwenyekiti wa CCM awe msimamizi wa uchaguzi 2024 / 2025 wa mfumo wa vyama vingi vya kisiasa ktk uchaguzi wa kitaifa kupitia kinachoitwa Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania.

Chama dola kongwe na serikali yake iliyo madarakani haioni aibu katika hili. Mkurugenzi wa Manispaa asimamie mchakato, ahifadhi ma box ya kura, huyu huyu kada ahesabu na pia kumtangaza aliyeshinda 2024 / 2025, hakika CCM inawafanya watanganyika na wazazibari kuwa hatuelewi michezo aliyosema Nape Nnauye kuhusu kupora uchaguzi mzima unavyofanywa na CCM.

Toka maktaba :
Kurunzi uchaguzi wa 2020
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Wilson Mahera Charles amesema Tume ya taifa ya uchaguzi Tanzania NEC imewarejesha wagombea 15 waliowasilisha rufaa huku wengine wakikataliwa...

View: https://m.youtube.com/watch?v=Bbb3ex0Adtk
 
Hii ndio Taarifa ya Aibu ambayo imetufikia wakati tunaingia mitamboni, tushasema humu mara kadhaa kwamba ccm haina watu, Haiwezekani chama kisababishe dhiki ya kiwango hiki kiasi cha watu kuanza kuvaa viraka halafu kiungwe mkono, Never!

Sasa someni wenyewe hapa ili mjionee

View attachment 3062888
tunaposema Rais Dr Samia suluhu Hassan ni kipenzi cha waTanzania hiyo ndio maana yake..

Chimbuko la uongozi wa kizalendo ni shule. ni muhimu na ni jambo la maana sana watoto wa shule ngazi tofauti tofauti kufanyishwa mazoezi ya kizalendo na kuambukizwa roho ya utumishi, uadilifu na uongozi tangu chini kabisaa....

maandalizi ya viongozi mbalimbali hususani Marais wa wakati ujao yana anza sasa na kama sio sasa ni sasa hivi 🐒

Mungu ibariki Tanzania,
Mungu wabariki chipukizi waTanzania
 
Back
Top Bottom