ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
❌
Ni✅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
❌
Sawa ticha 🤣❌
Safari✅
Kuna ukweli fulaniKuishi Tanzania nia laana
Duuuh! Ngoja nitulie ru sasa❌
Ni✅
Hapana kuongozwa na CCM ndio laanaKuishi Tanzania nia laana
Bado hatujapata kiongozi mwenye maono na uchungu na nchiNipo na Wafanyakazi wa NHC wanalalamika maboss wamejilipa posho wao hawana kitu chochote cha kufurahia ujio wa Mama.
SawaHapana kuongozwa na CCM ndio laana
Lucas anaemaje kwani?Hii ndio Taarifa ya Aibu ambayo imetufikia wakati tunaingia mitamboni, tushasema humu mara kadhaa kwamba ccm haina watu, Haiwezekani chama kisababishe dhiki ya kiwango hiki kiasi cha watu kuanza kuvaa viraka halafu kiungwe mkono, Never!
Sasa someni wenyewe hapa ili mjionee
View attachment 3062888
HahahaHapana kuongozwa na CCM ndio laana
Hata wakati wa awamu ya kwanza ilikuwa hivi hivi, naona u-turn kama tuliwahi kutoka huko!!Kwa mwendo huu bado tuna safari ndefu sana ya kufikia maendeleo
ru❎Duuuh! Ngoja nitulie ru sasa
Mbona kwenye hii barua sioni palipoandikwa shule zifungwe ili wanafunzi waende uwanjani??Hii ndio Taarifa ya Aibu ambayo imetufikia wakati tunaingia mitamboni, tushasema humu mara kadhaa kwamba ccm haina watu, Haiwezekani chama kisababishe dhiki ya kiwango hiki kiasi cha watu kuanza kuvaa viraka halafu kiungwe mkono, Never!
Sasa someni wenyewe hapa ili mjionee
View attachment 3062888
Hii ndio Taarifa ya Aibu ambayo imetufikia wakati tunaingia mitamboni, tushasema humu mara kadhaa kwamba ccm haina watu, Haiwezekani chama kisababishe dhiki ya kiwango hiki kiasi cha watu kuanza kuvaa viraka halafu kiungwe mkono, Never!
Sasa someni wenyewe hapa ili mjionee
View attachment 3062888
Hamia Burundi!Naona aibu sana kuwa Raia wa Tanzania
Kazi ipo aiseeHalafu huyu huyu mkurugenzi wa manispaa ambaye ni kada mteule wa rais aliye Mwenyekiti wa CCM awe msimamizi wa uchaguzi 2024 / 2025 wa mfumo wa vyama vingi vya kisiasa ktk uchaguzi wa kitaifa kupitia kinachoitwa Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania.
tunaposema Rais Dr Samia suluhu Hassan ni kipenzi cha waTanzania hiyo ndio maana yake..Hii ndio Taarifa ya Aibu ambayo imetufikia wakati tunaingia mitamboni, tushasema humu mara kadhaa kwamba ccm haina watu, Haiwezekani chama kisababishe dhiki ya kiwango hiki kiasi cha watu kuanza kuvaa viraka halafu kiungwe mkono, Never!
Sasa someni wenyewe hapa ili mjionee
View attachment 3062888