Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TFF wanaficha uozo wao walioufanya. Inaonekana hii tabia ya kufoji mikataba ipo muda mrefu sana.Morison yupo huru sawa, kwa nini anapelekwa kamati ya maadili?
Inasemekana hizo pesa Yanga walimuwekea Morrison kwenye akaunti yake bila yeye kujua ili akasaini mkataba wa miaka miwili, wakidhani jamaa angeenda kusaini mkataba wao, matokeo yake Morrison akazikataa hizo pesa na mkataba wao hakusaini.Kiaje sasa?anashinda kesi hlf analipishwa?[emoji849][emoji849]
Wale inaonekana janja janja sana. Kama suala la mkataba wa mchezaji lipo hivi,vipi kuhusu masuala mazima ya Kodi katika biashara zao?!Jii Esi Emu wanywang'anywe passport kabla hawajatoroka nchini. Kuna kesi nyingine ya jinai inafuata
Tulia wewe, haya mambo GSM hawayajui wao wamezoea kutanguliza pesa tu kwenye kila kitu, ndio wajifunze kutulia wafuate taratibu.TFF wamejaa simba, mchezaji ataisini vipi club nyingine kabla suala lake halijaisha? Simba watakuwa walikuwa wanajua matokeo kabla