denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Kabisa, ashukuru Mungu Simba wamehusika kwenye hili suala lake, angekuwa ametakiwa na timu ndogo ya ndani, au nyingine ya nje, hao viongozi feki wa hiyo kamati lazima wangemchinjia baharini.Jamaa janja janaja sana. Na kikubwa ni kwasababu ‘Wabongo’ tunaongozwa na hisia badala ya uhalisia.!
Washajua wengi wetu ni ‘Mazuzu’ ndo mana wanafanya hayo makitu.
Mkuu niamini, kusingekuwa na Maslahi ya Simba kwenye hii kesi,huyu jamaa ndo tungemsahahu mazima.
Na tungeaminishwa yeye ndio Mkosaji.