Morrison huru kujiunga na Simba SC, kamati yasema mkataba wake na Yanga una mapungufu

Morrison huru kujiunga na Simba SC, kamati yasema mkataba wake na Yanga una mapungufu

Usitufokee ,mmefoji mkataba halafu lawama kwa simba,simba walishaona mapungufu ya mkataba ndo maana hawajasubiri TFF kumsajili morison ,walaumu utopolo na TFF siyo simba ,hata hiyo bodi ya sheria unajua mwenyekiti wake ndo huyo huyo aliyegombea uenyekiti wa yanga na msolwa ?hata hivo mlitakiwa mpigwe adhabu kubwa
unakili bila kujua kwamba TFF wako upande wa nyau fc maana wasinge weza tambua upungufu wa mkataba kama hawajaoneshwa
 
Umeshaambiwa sehemu ya kusaini mkataba kati ya viongozi wa Yanga na Morrison hapaonekani, pamechanwa, unadhani ni nani waliofanya uhuni huo kama sio GSM?!
ndo mwenyekiti wa kamati kasema haya ama haji manara
 
Mkataba wa miezi sita ndo ulikuwa SAHIHI ila huo wa miaka 2 ndo janja janja walifanya.
Kilichoamuliwa ni kuwa MCHEZAJI YUPO HURU KUJIUNGA NA TIMU YOYOTE
Ni uwalakini upi hauo? Baada ya kukuta walakini wamechukuliwa hatua gani za kisheria?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tui
unakili bila kujua kwamba TFF wako upande wa nyau fc maana wasinge weza tambua upungufu wa mkataba kama hawajaoneshwa
Kutaka mkataba wa mchezaji yeyote pale TFF utaupata, unalipa 50,000/= unajaza fomu unaandika na barua, after that TFF wakiipata barua yako wata-print mkataba unaoutaka, watauweka kwenye bahasha wakiambatanisha na risiti ya fedha uliyolipia, ni simple tu, hapo hakuna cha Simba wala Yanga.
 
kwamba yeye si mkosaji iyo pesa anatakiwa kurudisha ya nini, na bado anatakiwa kamatini tena kwa nini kubali viongozi wameongozwa na u nyau fc wanatoa maamuzi ya kibwege sana
Acha ushabiki maandazi. Kwani hawawezi kumuwekea hela kwenye akaunti yake benki ili itumie kama kigezo cha kuwa ana mkataba?
Unajua hela imewekwa lini na mkataba Yanga wanadai alisaini lini?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hao jamaa sio wa kuwaamini hata kidogo.
Tulikuwa tunamuona morrison dish limeyumba kumbe wao ndo wana matatizo..
Kumbe mtu alikuwa anadai haki yake.
tusamehe morrison.
Umeshaambiwa sehemu ya kusaini mkataba kati ya viongozi wa Yanga na Morrison hapaonekani, pamechanwa, unadhani ni nani waliofanya uhuni huo kama sio GSM?!

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Acha ushabiki maandazi. Kwani hawawezi kumuwekea hela kwenye akaunti yake benki ili itumie kama kigezo cha kuwa ana mkataba?
Unajua hela imewekwa lini na mkataba Yanga wanadai alisaini lini?
hahahaha ona mawazo yako ya kibwege mwanzo mwisho, yaani ni yale mawazo yua kufikirika anakwambia alipokea 25,000 akaja ongezwa 5,000 we unaleta stori za aliwekewaa kwenye benki hahahahah kinyemela
 
Nilisema, Hans Pope kwa fitna hawatamuweza. Ukiona Hans amekomaa na jambo kaa pembeni ...
Sio fitna, ni taratibu, yeye mwenyewe anakwambia simple tu, mbili na mbili ni nne.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
yaani wewe una habari ambazo hata kamati hawana hahahahahahaha
Haya hiyo hapo, endelea kuchekelea.
tapatalk_1597247149943.jpg
 
hahahaha ona mawazo yako ya kibwege mwanzo mwisho, yaani ni yale mawazo yua kufikirika anakwambia alipokea 25,000 akaja ongezwa 5,000 we unaleta stori za aliwekewaa kwenye benki hahahahah kinyemela
We nawe unabisha tu, hujui lolote.
 
Tunashukuru kwa hii taarifa, lakini hili sio jukwaa la michezo bali la siasa. Unakwama wapi boss? Au ndio mambo ya kuleta siasa kwenye kila kitu?
Ni kukosea tu mkuu.
 
Back
Top Bottom