Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Safi Sana Sasa mwaka tunawapiga 5.. Morrison..kagere..Chama..kahata..mkude..fraga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi pesa Morison alishaziongelea Muda sana, uto walipoona mambo magumu wakamuingizia hizi pesa akasema hazitakihapa ndio nazidi kuchanganyikiwa, kumbe alipokea USD30,000 na anadai atazirudisha zilikuwa za nini?
Uamuzi wa KIJINGA kama huu haujawahi kushuhudiwa katika zama za soka la kisasa.View attachment 1535178
Baada ya vikao nenda rudi kwa siku takribani 3 hatimaye TFF wamejitokeza na kusema kuwa wamefikia uamuzi baada ya vikao vizito
Mchezaji raia wa Ghana, Bernard Morrison amepewa uhuru wa kujiunga na Simba Sc baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) kusema kuwa Mkataba wake na Yanga Sc una mapungufu.
Pamoja na Yanga kuwasilisha picha wakati Morrison anasaini mkataba, kamati imesema inafanyia kaza nyaraka na picha haitoshi kuthibitisha.
Kuhusu fedha, Morrison amekiri kupokea dola 25,000 kisha kupokea 5,000 nyingine ambazo amesema atazirejesha Yanga.
> Morrison alisaini kujiunga na Simba Sc akitokea Yanga
Morrison hakuchukua hiyo pesa, GSM ndio waliomuwekea Morrison hiyo pesa kwenye acc yake baada ya kujua anaweza kwenda Simba ili wamshawishi asaini mkataba wa miaka miwili, matokeo yake Morrison akazikataa hizo pesa, na mkataba wao hakusaini.Hayo mapungufu ni yapi? Hapa kuna kitu wamejaribu kukificha, kwa kusema hivyo ina maana Morisson na Yanga walikua na mkataba wa miaka miwili.
Kwa maana hiyo ule mkataba wa awali wa miezi 6 ulikua batili, Yanga walifoji na adhabu ilikua kushushwa daraja ila wametumia busara tu kusema mkataba wa miaka 2 una mapungufu, kama ulikua una mapungufu kwanini Morisson alivuta dola 25,000?
Usitufokee mkuuUamuzi wa KIJINGA kama huu haujawahi kushuhudiwa katika zama za soka la kisasa.
Iweje TFF imruhusu Morrison achezee Yanga wakati mkataba wake ukiwa na 'walakini" kama wanavyojichanganya kamati ya TFF. Wakati FIFA inatumia teknolojia ya kisasa (VAR) kuhakiki kama goli lililofungwa ni halali ama laa, Wajinga wa TFF wanadai hawatambui matumizi ya teknolojia ya kisasa.
Lakini kilichowazi ni uthibitisho wa WAZI kuwa TFF ya sasa ni mawakala wa SSC, wapo pale si kwa kuendeleza soka la Tanzania, bali kuwabeba na kuwatumikia Simba....Shame on You!!!
Wacha porojo wewe..! Kama ishu ni Usimba na Uyanga, M/kiti wa kamati hiyo ni Yanga lia lia hapo unasemaje?!Uamuzi wa KIJINGA kama huu haujawahi kushuhudiwa katika zama za soka la kisasa.
Iweje TFF imruhusu Morrison achezee Yanga wakati mkataba wake ukiwa na 'walakini" kama wanavyojichanganya kamati ya TFF. Wakati FIFA inatumia teknolojia ya kisasa (VAR) kuhakiki kama goli lililofungwa ni halali ama laa, Wajinga wa TFF wanadai hawatambui matumizi ya teknolojia ya kisasa.
Lakini kilichowazi ni uthibitisho wa WAZI kuwa TFF ya sasa ni mawakala wa SSC, wapo pale si kwa kuendeleza soka la Tanzania, bali kuwabeba na kuwatumikia Simba....Shame on You!!!
Hapa pazuri sana; hapa TFF wanaonekana kuwalinda Yanga wakati dhahiri inaonekana kuna mtu Yanga alighushi mkataba wa Morrison, lakini pia, ndani ya TFF kuna mtu/watu wanatakiwa kuadhibiwa kwa kukubali kupokea mkataba wa Morrison toka Yanga wenye mapungufu, hivyo hapo utaona wote, Yanga na TFF wanastahili adhabu kwenye hili.Uamuzi wa KIJINGA kama huu haujawahi kushuhudiwa katika zama za soka la kisasa.
Iweje TFF imruhusu Morrison achezee Yanga wakati mkataba wake ukiwa na 'walakini" kama wanavyojichanganya kamati ya TFF. Wakati FIFA inatumia teknolojia ya kisasa (VAR) kuhakiki kama goli lililofungwa ni halali ama laa, Wajinga wa TFF wanadai hawatambui matumizi ya teknolojia ya kisasa.
Lakini kilichowazi ni uthibitisho wa WAZI kuwa TFF ya sasa ni mawakala wa SSC, wapo pale si kwa kuendeleza soka la Tanzania, bali kuwabeba na kuwatumikia Simba....Shame on You!!!
Hii ni habari nzuri kwa washabiki wajinga wa Simba. Mimi kama shabiki imara wa Simba sishabikii Morrison kuja Simba. Morrison ni LAANA kwa viongozi wote wa Simba waliomleta kwenye Klabu yetu.View attachment 1535178
Baada ya vikao nenda rudi kwa siku takribani 3 hatimaye TFF wamejitokeza na kusema kuwa wamefikia uamuzi baada ya vikao vizito
Mchezaji raia wa Ghana, Bernard Morrison amepewa uhuru wa kujiunga na Simba Sc baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) kusema kuwa Mkataba wake na Yanga Sc una mapungufu.
Pamoja na Yanga kuwasilisha picha wakati Morrison anasaini mkataba, kamati imesema inafanyia kaza nyaraka na picha haitoshi kuthibitisha.
Kuhusu fedha, Morrison amekiri kupokea dola 25,000 kisha kupokea 5,000 nyingine ambazo amesema atazirejesha Yanga.
> Morrison alisaini kujiunga na Simba Sc akitokea Yanga
Jamaa janja janaja sana. Na kikubwa ni kwasababu ‘Wabongo’ tunaongozwa na hisia badala ya uhalisia.!ukiangalia yanga wanasema walimsainisha Morison tarehe 20/03/2020 lakini tarehe 31/03/2020 kuna e mail toka kwa kaimu katibu mkuu wa yanga inamtaka Morison aende kujadiliana juu ya mkataba mpya.
Karatasi yaenye sahihi ya Morison ilionywesha kukatwa TFF walitakiwa waende mbali sio kuishia kutoa maamuzi
Jamaa wanaamini pesa zao zitawapa kila kitu, wana jeuri ya kishamba sana.GSM matapeli. Imenikumbusha kashfa zao enzi za JK.Ndo maana walimwagiwa tu tindikali.
Usd 30,000 ndio makelele kibao Town? Mie nilijua 6 figure deal.View attachment 1535178
Baada ya vikao nenda rudi kwa siku takribani 3 hatimaye TFF wamejitokeza na kusema kuwa wamefikia uamuzi baada ya vikao vizito
Mchezaji raia wa Ghana, Bernard Morrison amepewa uhuru wa kujiunga na Simba Sc baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) kusema kuwa Mkataba wake na Yanga Sc una mapungufu.
Pamoja na Yanga kuwasilisha picha wakati Morrison anasaini mkataba, kamati imesema inafanyia kaza nyaraka na picha haitoshi kuthibitisha.
Kuhusu fedha, Morrison amekiri kupokea dola 25,000 kisha kupokea 5,000 nyingine ambazo amesema atazirejesha Yanga.
> Morrison alisaini kujiunga na Simba Sc akitokea Yanga
Sir, jambo moja unalopaswa kulisanukia humu JF ni kwamba wengi wa watoa hoja hawalijui soka la kucheza wala la mdomo.Wacha porojo wewe..! Kama ishu ni Usimba na Uyanga, M/kiti wa kamati hiyo ni Yanga lia lia hapo unasemaje?!
Lazima ifikie hatua tukemee haya maujinga kwenye soka letu. Jamaa wanajua fika wamefanya figisu ila bado wanakomaa na kesi, Rubbish..!
Kimsingi ni nafasi ya TAKUKURU sasa kufanya mambo yake ili kukomesha huu ujinga.
kwa ujinga wa kamati inakuwaje mchezaji hajasaini ila kapokea hela, kwamba izo hela walikuwa na biashara gani wakampa.Utopolo wanapigwa kotekote!
Upo sahihi kabisa, yaani Morrison angeonewa na kutupiwa shutuma zote, tena na hivi hajui Kiswahili!Mkuu niamini, kusingekuwa na Maslahi ya Simba kwenye hii kesi,huyu jamaa ndo tungemsahahu mazima. Na tungeaminishwa yeye ndio Mkosaji.