Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Singano,Kelvin Yondani,Ajibu hao vp?Utopolo fc kwa kufoji mikataba mko vizri
Hivi mashabiki wa Simba kwenye social media wako automated? Robo saa tu inatosha comments 500 huko fb,300 huko insta
Ilikuwa ni muhimu kumrifaa kwenye hiyo Kamati nyingine japokuwa hakuna kesi ya msingi.
“Eti kwanini asaini Simba wakati kuna kesi yake?! Si anasema tu “nimesaini kwasababu sikuwa mkataba na kilichofanyika ni kufoji. Na bahati nzuri kamati yako imelithibitisha hilo.”
Hapo hakuna kesi bosi. Watu wameamua kujitoa kiaina.
Huyu mtu haeleweki kabisa hastahili kuwepo kwenye soka letu japo pia club kubwa Kama Yanga inajiharibia kwa kufanya janja janja za namna hii.Time will tell hata Simba Morrison atakuja kuwasumbua sana.
kama unakumbuka TFF walitoa tamko wachezaji waendelee kutumika hata kama mikataba imeisha kutokana na Covidhivi hakuna mechi alizocheza baada ya mkataba kuisha? inabidi ichunguzwe wanyang'anywe points.
Uamuzi wa KIJINGA kama huu haujawahi kushuhudiwa katika zama za soka la kisasa.
Iweje TFF imruhusu Morrison achezee Yanga wakati mkataba wake ukiwa na 'walakini" kama wanavyojichanganya kamati ya TFF. Wakati FIFA inatumia teknolojia ya kisasa (VAR) kuhakiki kama goli lililofungwa ni halali ama laa, Wajinga wa TFF wanadai hawatambui matumizi ya teknolojia ya kisasa.
Lakini kilichowazi ni uthibitisho wa WAZI kuwa TFF ya sasa ni mawakala wa SSC, wapo pale si kwa kuendeleza soka la Tanzania, bali kuwabeba na kuwatumikia Simba....Shame on You!!!
Hii ni habari nzuri kwa washabiki wajinga wa Simba. Mimi kama shabiki imara wa Simba sishabikii Morrison kuja Simba. Morrison ni LAANA kwa viongozi wote wa Simba waliomleta kwenye Klabu yetu.
Sawa.Kwa nini ujidai wewe simba wakati nakujua ni yanga mwenzangu?acha unafiki wa kijinga.sisi yanga pia tulikuwa tunamtaka sana tu.ndo maana tukafanya uhuni wa kijinga
uwezo wako ni mdogo mno mwenyekiti kuwa yanga ili hali wajumbe 2/3 ni nyau unahisi mwenyekiti anatoa maamuzi yake binafsi. kumbe nawwe umeme mdodo kwa kichwa
kama morrisoni haku saini mkataba iyo pesa alichukua ya nini na anapelekwa kamatini tena kwa kosa gani?
P the mcHahahaa
SIMBA: oya nyie vibonde vipi mnaleta uoga wakidunya, mnavua nguo hamsemi ka mnaoga au mnaknya?..../
GSM: brother tuliwa-test tu kuwapiga mikwara, si unajua sisi ndio ma mbwiga wa vyura.../
JELL MURO na BODI NZIMA YA YANGA: Hapana sisi tulifanya kama matani, wala hatukumaanish TFF tusameheni tu jamani..../
KOCHA MSAIDIZI WA YANGA: Wakina flani bwana walitujaza bichwa, na ndio nikaenda tff kushtaki ili kutafuta sifa.../
SIMBA: nawe tshishimbi mwenye vi rasta ka nsyuka, subiri derby ifike tukusanye hivyo vinywele tuvikate hata na chupa.../
Vyura: "Haturudii tena jamani na wala hatutojitusu, bado siamini ka tff imetuacha bila kutushusha daraja sisi mashushushu..../
Mawengeeee
mwenyeki wa hiyo kesi yanga lia lia acha ubishiunakili bila kujua kwamba TFF wako upande wa nyau fc maana wasinge weza tambua upungufu wa mkataba kama hawajaoneshwa
kwani anaye amua ni mwenyekiti ama ni kamati aya wajumbe wa kamati ni timu ganimwenyeki wa hiyo kesi yanga lia lia acha ubishi
TFF ndo kachana kwa nini hawakuomba nakala ya mkataba toka yanga ambayo haijachanwaHivi Yanga kwanini wamechana sehemu za saini? Kwanini wasishtakiwe kwa kosa la udanganyifu? Wangeshtakiwa ili iwe funzo siku nyingine
kwamba yeye si mkosaji iyo pesa anatakiwa kurudisha ya nini, na bado anatakiwa kamatini tena kwa nini kubali viongozi wameongozwa na u nyau fc wanatoa maamuzi ya kibwege sana
ni mchanganyikokwani anaye amua ni mwenyekiti ama ni kamati aya wajumbe wa kamati ni timu gani
iyo wamegushi mkataba unaitoa wapi, iyo pesa anazotakiwa rudisha alipewa katika mazingira gani (kama si ya kusaini mkataba) ama ilikuwa hongo
TFF ndo kachana kwa nini hawakuomba nakala ya mkataba toka yanga ambayo haijachanwa