wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Unaonekana hujaelewa bado,hebu fuatilia tena hili jambo then uje upya.Hii kamati ya Mwanjala naona ina " play safe."
Morrison kwa kujua hana mkataba na Yanga hata kama anashauri kibiashara lazima aendelee na maisha.
Hata kama hukumu ingekuwa dhidi yake ni yeye ndiye angepata madhara.
Vipi kama hii kamati haioni kuwa Morrison alikuwa anakimbizana deal yake kuwa closed kwa kusajiliwa na Simba. Kama angeikosa angemdai nani fidia.?
Wameona tu wanachama wa Utopolo watulie, wangesema Yanga wameshindwa kesi, Kaunda pasingekalikaHii kamati ya Mwanjala naona ina " play safe."
Morrison kwa kujua hana mkataba na Yanga hata kama anashauri kibiashara lazima aendelee na maisha.
Hata kama hukumu ingekuwa dhidi yake ni yeye ndiye angepata madhara.
Vipi kama hii kamati haioni kuwa Morrison alikuwa anakimbizana deal yake kuwa closed kwa kusajiliwa na Simba. Kama angeikosa angemdai nani fidia.?
Mkuu wapi wamesema Yanga wamefoji mkataba?Kamati haijafanya vizuri kwa sababu hapa kuna kesi ya kufoji mkataba ,ambapo Morrison anadai Yanga wamefoji mkataba hivi hawakuandikishana mkataba na Yanga ,sasa huyu dogo anakosa gani?
100% nakuunga mkono, yani badala ya Morrison kulipwa kwa usumbufu na kuchafuliwa jina eti wanapeleka kwenye kati ya maadili. Huyu mwenyekiti hamnazo kabisaHii kamati ya Mwanjala naona ina " play safe."
Morrison kwa kujua hana mkataba na Yanga hata kama anashauri kibiashara lazima aendelee na maisha.
Hata kama hukumu ingekuwa dhidi yake ni yeye ndiye angepata madhara.
Vipi kama hii kamati haioni kuwa Morrison alikuwa anakimbizana deal yake kuwa closed kwa kusajiliwa na Simba. Kama angeikosa angemdai nani fidia.?
Uneducated, Manyani fc, mambwa fc,iyo wamegushi mkataba unaitoa wapi, iyo pesa anazotakiwa rudisha alipewa katika mazingira gani (kama si ya kusaini mkataba) ama ilikuwa hongo
Hakuna hela aliyochukua angalia emails zake kashapost kuna hela iliingia kwenye account yake bila kujua imetoka kwa nani akamwandikia emails branch manager wa bank husika na akawacopy viongozi wote wa yanga $25,000 hakuna hela ya yanga aliyokulaKULE.KAMATI YA MAADILI KUNA MAWILI
1)ARUDISHE FEDHA YA YANGA MAISHAYAENDELE KAMATIYASHERIA AIKUWA NA MAMLAAKA HAYO..
MORRY NO2D
PICHA INAENDELEA .KULE UKIINGIZWA MKONOWA NANII UNAJUA NN NEXTY
MORRISON ATAFUNGIWA KWAMDAKIDOGO
Tulia, punguza jazba. Usiseme vilabu vinaua mpira, sema Yanga inakufaKuna njama za wazi kabisa kuwa Kamati ya TFF na maamuzi yake kumhusu Moris, inapanga kuibeba Simba. Hujuma kama hizi dhidi ya baadhi ya vilabu zinaua mpira hivyo ni vema serikali iingilie kati. Halafu nadhani pia Rais wa TFF achunguzwe vizuri malengo yake katika soka letu, simwelewi elewi!
Yaani Yanga ilishindwa kuwapa hao Wananchi wake waupitie Mkataba?Hii ndio shida ya kusign mikataba bila kuipitia na kuhakikisha hakuna mianya ya kutumika vibaya. Pole kwa watani