Moshi: Mahakama yamuachia huru Wendy Mrema aliyetuhumiwa kumuua mama yake mzazi na kumzika

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Wendi Mrema, yule mwanadada toka Moshi aliyetuhumiwa kumuua mama yake naye Kaachiwa huru.
Taarifa zaidi inafuata.

-----

wendi.jpg

Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imemuachia huru Wendi Mrema aliyekuwa akituhumiwa kumuua mama yake mzazi.

Uamuzi huo umetolewa na Hakimu, Naomi Mwirinde, leo Agosti 19, 2022 baada ya upande wa mashitaka kuwasilisha maombi ya kutokuwa na nia ya kuendelea na shauri hilo.

Pia soma: Moshi: Anayetuhumiwa kumuua mama yake kwa panga afikishwa mahakamani

Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja
 
Huenda hana hatia, kweni hana uhusiano wowote na Kisukari cha UDP.
 
Namna hawa mawakili wa serikali wanavyosimamia mambo yao mahakamani inatia shaka sana, kesi nyingi wanashindwa.

Kwa hali ilivyo siku hizi, hata muhalifu akipata wakili mzuri akamsimamia kwenye kesi yake atashinda kesi, tumeona kilichotokea kwa Sabaya licha ya yale yote aliyotenda.

Naamini hata huko mbele tuendako, maamuzi ya aina hii yataendelea kutokea mpaka pale hawa mawakili wa serikali watakapoamua kuwa serious na kazi yao, waache kufanya kazi kwa mazoea, hawana ushindani kabisa.
 
Hiii kesi ina utata kidogo toka huyo mama auawe mali nyingi sana ziliuzwa wanadai zinaweza kua na thamani ya milioni300 ila huyo dada alikua na maisha magumu sana alikua anashindia maparachichi na kuvaa nguo za mamake kwa mujibu wa wanafamilia.
 
Duuh
 
Kisa na mkasa?
Upande wa mashtaka ndio nani Jamhuri?

Back
Top Bottom