Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Mahakama na majaji na mahakimu pamoja na mawakili tz ni team wahuni Pascal Mayalla hua anabishaMahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imemuachia huru Wendi Mrema aliyekuwa akituhumiwa kumuua mama yake mzazi.
Uamuzi huo umetolewa na Hakimu, Naomi Mwirinde, leo Agosti 19, 2022 baada ya upande wa mashitaka kuwasilisha maombi ya kutokuwa na nia ya kuendelea na shauri hilo.
Pia soma: Moshi: Anayetuhumiwa kumuua mama yake kwa panga afikishwa mahakamani
Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja