Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Yaani hii kesi na ivyoripotiwa na matokeo miye hoi, pia kama ilikuwa vile ilivyoripotiwa na kumbe sivyo binti wamemuharibia sana kitaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo wendi hajashinda kesi bali upande maombi yamewasilishwa na Upande wa Serikali kutokuwa na niya ya kuendelea na shauri.Namna hawa mawakili wa serikali wanavyosimamia mambo yao mahakamani inatia shaka sana, kesi nyingi wanashindwa.
Kwa hali ilivyo siku hizi, hata muhalifu akipata wakili mzuri akamsimamia kwenye kesi yake atashinda kesi, tumeona kilichotokea kwa Sabaya licha ya yale yote aliyotenda.
Naamini hata huko mbele tuendako, maamuzi ya aina hii yataendelea kutokea mpaka pale hawa mawakili wa serikali watakapoamua kuwa serious na kazi yao, waache kufanya kazi kwa mazoea, hawana ushindani kabisa.
Ngoja tuomboleze msiba wa mashabiki wa watani zetu waliofariki jana usiku Msata
Mungu awalaze pema peponi marehemu watani zetu.Ngoja tuomboleze msiba wa mashabiki wa watani zetu waliofariki jana usiku Msata![]()