MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
DuuhHiii kesi ina utata kidogo toka huyo mama auawe mali nyingi sana ziliuzwa wanadai zinaweza kua na thamani ya milioni300 ila huyo dada alikua na maisha magumu sana alikua anashindia maparachichi na kuvaa nguo za mamake kwa mujibu wa wanafamilia.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imemuachia huru Wendi Mrema aliyekuwa akituhumiwa kumuua mama yake mzazi.
Uamuzi huo umetolewa na Hakimu, Naomi Mwirinde, leo Agosti 19, 2022 baada ya upande wa mashitaka kuwasilisha maombi ya kutokuwa na nia ya kuendelea na shauri hilo.
Pia soma: Moshi: Anayetuhumiwa kumuua mama yake kwa panga afikishwa mahakamani
Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja