Moshi: Mahakama yamuachia huru Wendy Mrema aliyetuhumiwa kumuua mama yake mzazi na kumzika

Mahakama na majaji na mahakimu pamoja na mawakili tz ni team wahuni Pascal Mayalla hua anabisha
 
  • Polisi walisema wanakamilishha upelelezi
  • Wakakamilisha upelelezi, wakasema mtuhumiwa amekili kuhusika
  • Akafikishwa mahamani
  • Nini kinamfanya mwendesha mashtaka aseme hana nia ya kundelea na kesi kama mhusika alikili kutenda kosa?
Tatizo ni kuwa polisi wetu hawaaminiki, wanasema uongo, hawana weledi kwenye upelelezi, yaani ni hovyo kabisa. Hivyo basi hayo maelezo ya mwanzo unaweza kukuta waliyatunga au walitumia kipigo ikabidi mtoto akiri wakati hana kosa. Pia inawezekana walihisi tu na hawana ushahidi. Au kuna hongo imetumika. Kwenye maelezo wanasema mama ni mtanzania mwenye asili ya kijerumani. Je, huyo marehemu ana ndugu wowote wanaoweza kufuatilia? All in all. Inahitaji uchunguzi wa kina. Tatizo Tanzania hakuna media zenye waandishi wenye weledi. BTW ni kukiri na siyo kukili!
 
Sasa tuamini lipi? Alieonyesha mwili na mtoto au hao wengine?
 
Kesi ya kuuwa siyo tena ya Jamuhuri vs muuwaji

Naomba kueleweshwa
Yani upande wa pili wakikosa interest kesi inaisha??
 
Tatizo ni kuwa polisi wetu hawaaminiki, wanasema uongo, hawana weledi kwenye upelelezi, yaani ni hovyo kabisa. Hivyo basi hayo maelezo ya mwanzo unaweza kukuta waliyatunga au walitumia kipigo
Ili waonekane wanafanya kazi
 
Aliyeamua sio hakimu...ni serikali iliyosema haina nia ya kuendelea na kesi.
Kama ilivyofanya kwa Mbowe, kuna msukumo ulitokea kwa nyuma, very likely na hii imekaa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…