Moshi: Mama afariki Dunia akiwa nyumbani kwa kukosa pesa ya matibabu, aacha watoto wadogo

Watu wote walozunguka pale walishindwa msaidie aende hospital ,?mwenyekit anashindwa changisha watu huku mgonjwa yupo hospital mbona wanachangisha pesa za mlinzi mara sijui nin ,πŸ™†πŸΌβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΌβ€β™‚οΈ
Ugonjwa wa kuhara sio malaria usubirie michango.
 
Na watapika siku ya msiba sijui pesa watakua wame toa wapi
 
Laanq zote hizi zitawarudia CCM na huyu Rais anayetesa wananchi kwa kuwasababishia unasikini na kuwaonhezea umasikini kwa tozo kupandisha bei za bidhaa juu na migao ya umeme maji n.k huku wao wakiendelea kulamba asali.One day
Sio wa kulaumiwa ni janga la dunia,
Corona ililetwa Ili kushusha uchumi wa Dunia Ili ukitaka kukopa ni lazima uukubali ushoga.
 
Za serikali..
Unaanza kufungua file na 2000
Pengine hakuwa na nauli au hiyo 2000 πŸ₯²πŸ₯²
Hospitali gani iyo ya serikari kufungua file ni buku 2 ?? Nme kaa paleee
 
Ajabu wanakijiji ukute msibani wamechinja ng'ombe, mbuzi, kuku, kondoo n.k na pesa ya sanda na jeneza inapatikana haraka sana... Ndugu wa mbali watapata nauli za kujia msibani.
 
Daaah, Mwigulu umeona unachofanya lakini? Trillion 12 unaenda kulipa mariba matupu.., halafu watu wanakosa hata nauli ya kwenda hospitali, hivi hamna huruma? Nyie binadamu wenzetu kweli?
 
Rambi rambi tupeleke wapi?

hela za mchele na viungo?

the only thing africans can cooperate
 
Watu wote walozunguka pale walishindwa msaidie aende hospital ,?mwenyekit anashindwa changisha watu huku mgonjwa yupo hospital mbona wanachangisha pesa za mlinzi mara sijui nin ,πŸ™†πŸΌβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΌβ€β™‚οΈ
Yaaaaan inasikitishaa
 
Ni moja ya safari zetu hapa duniani, apumzike kwa amani mpendwa wetu Happy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…